Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Umekwiva hii channel inavitu konki daah ukitazama programmes zao kuna vitu tupo nyuma wanafunza mengi.Mamia ya watoto wa kichina wanafundishwa vipindi kupitia Screen kubwa na wataalamu wakitoa mafunzo kutoka anga za juu .. Huku kule Tanzania watoto wenye umri sawa wakiwa wanakaa chini na kumsoma kinjekitile gware
Nimekuwa mlevi wa programmes zao napenda kujifunza vitu bora kadiri niwezavyo.