Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Umekwiva hii channel inavitu konki daah ukitazama programmes zao kuna vitu tupo nyuma wanafunza mengi.Mamia ya watoto wa kichina wanafundishwa vipindi kupitia Screen kubwa na wataalamu wakitoa mafunzo kutoka anga za juu .. Huku kule Tanzania watoto wenye umri sawa wakiwa wanakaa chini na kumsoma kinjekitile gware
Kwa hiyo kutoangalia TV ndiyo uanaume? Huo ni ujinga pia, jifunze mambo, usidharau mtu.Hivi mwanaume kamili hua anatoa wapi muda wa kuangalia vipindi kwenye TV...??[emoji848]
Changamoto sana.Kwa hiyo kutoangalia TV ndiyo uanaume? Huo ni ujinga pia, jifunze mambo, usidharau mtu.
Tutaandamana mpaka usiku, usiku wa mananeHivi mwanaume kamili hua anatoa wapi muda wa kuangalia vipindi kwenye TV...??🤔
Yes wana programmes nzuri sana za kujifunza.Bandiko safi sana mtoa mada, startimes nilichekigi week flani 2-3years back advancement za china kuanzia reli za kasi , operation za bandari na utunzaji mazingira. Ilikua fresh sana hii ctgn nitaanza pia
MKuu sio tu vipindi vya tv, pale korea kuna series inaitwa "Jang Yeoung-sil" inamuongelea mwanasayansi huyu wa kikorea wa miaka ya 1400 pale Korea (Joseon dynasty) katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali kama clocks na vitu vya unajimu, nataja hii japo ni wakorea lakini mule ndani wameonyesha kwamba alienda china ambao walikua advanced akaongeza ujuzi na pia kuacha skills zake chache kwenye ile series site zote mwisho wa kila episode zinaelezewa kwa kigupi na majengo yametunzwa na kuboredhwa mpaka leo hii,Hivi mwanaume kamili hua anatoa wapi muda wa kuangalia vipindi kwenye TV...??🤔
Sio Channel ya bure hiyo king'amuzi kikikata na yenyewe inazima.Wanajitahidi, lakini embu lipia kingamuzi achana na channel za bure...
Asante kwa kutoa elimu hii.MKuu sio tu vipindi vya tv, pale korea kuna series inaitwa "Jang Yeoung-sil" inamuongelea mwanasayansi huyu wa kikorea wa miaka ya 1400 pale Korea (Joseon dynasty) katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali kama clocks na vitu vya unajimu, nataja hii japo ni wakorea lakini mule ndani wameonyesha kwamba alienda china ambao walikua advanced akaongeza ujuzi na pia kuacha skills zake chache kwenye ile series site zote mwisho wa kila episode zinaelezewa kwa kigupi na majengo yametunzwa na kuboredhwa mpaka leo hii,
So kwenye Tv ni ww inategemea unaangalia nini kwa manufaa gani
Nimeweka hili kwa sababu ukicheki hiyo miaka ya 1400 alafu leo hii hapa kwetu pale Bakwata wanajadili na serikali kupata vifaa vya kufatilia muandamo wa mwezi 2023 huoni kama tupo nyuma kwa vitu vingi , ili kujua kama tupo nyuma lazima ujifunze kwa programs kama hizi
Najua nawewe pia upo huko daslam...😎Kwa hiyo kutoangalia TV ndiyo uanaume? Huo ni ujinga pia, jifunze mambo, usidharau mtu.
Asante kwa kunieleza somo mtambuka kihana, maana bila hivyo minajua huku kijijini kwetu mpigamiti hautujui hayo makorea 1400 mkuu...🤨MKuu sio tu vipindi vya tv, pale korea kuna series inaitwa "Jang Yeoung-sil" inamuongelea mwanasayansi huyu wa kikorea wa miaka ya 1400 pale Korea (Joseon dynasty) katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali kama clocks na vitu vya unajimu, nataja hii japo ni wakorea lakini mule ndani wameonyesha kwamba alienda china ambao walikua advanced akaongeza ujuzi na pia kuacha skills zake chache kwenye ile series site zote mwisho wa kila episode zinaelezewa kwa kigupi na majengo yametunzwa na kuboredhwa mpaka leo hii,
So kwenye Tv ni ww inategemea unaangalia nini kwa manufaa gani
Nimeweka hili kwa sababu ukicheki hiyo miaka ya 1400 alafu leo hii hapa kwetu pale Bakwata wanajadili na serikali kupata vifaa vya kufatilia muandamo wa mwezi 2023 huoni kama tupo nyuma kwa vitu vingi , ili kujua kama tupo nyuma lazima ujifunze kwa programs kama hizi
Kwa nini mzee ?Kama haina maudhui ya ngono sahau kuhusu hilo kwa waafrika
Duuh! Basi tunasafari ndefu kama hatupendi kujifunzaNasema nature yetu hatupendi kujifunza zaidi ya kutumia mtandao kutazama negative