mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
Wanakataza ili usipate utambuzi fanya reseach kwa jamaa yako utagundua ana confidence pia si falafala kama anatumiaga daily inampa afya njema si mgonjwa mgonjwa anaweza maliza miaka hajaona hospitalMbona wakubwa zetu hutukataza?
HeheSiku Moja moja uwe unakuja
Huku Bahalin Tulipulize Wote
Mmm kuna dume na jike tena?I like the packing kwa kweli [emoji108]
Ila hiyo ni dume ina kushabu nyingi, its suppose to be jike ...
Njoo Buana afu Ni VzrHehe