Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM

Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa maslahi ya CCM na sio wananchi wote

Nawasihi hivi vyombo vitoke hadharani kukanusha kuwa havimilikiwi na CCM na **** onyo Chacha ikiwezekana kumshitaki
 
Ukweli unauma. Kama unaona kakosea nenda kaandamane.

Sio tu vyombo vya ulinzi, hata wananchi wote ni mali ya CCM.

Kama huwezi kuliona hilo, vaa miwani.

Kusema kuwa wananchi wote ni CCM, ni tusi kubwa na baya sana kwa wananchi!! Kila mtu mwenye akili timamu, na mwenye Roho wa Mungu, anajua kuwa CCM ni nyumba ya shetani. Kusema watanzania ni mali ya CCM,
ni sawa na kusema kuwa Watanzania wote ni mali ya shetani!!
 
Kuongea wapi uongo? Ndio maana utaona wanasiasa wanaoteseka kwa kesi za kubambikiwa ni wa vyama ambavyo sio CCM, lakini walio wa CCM wakiongea lolote wala hutasikia, kuna kiongozi wa CCM alisema watu wakipotea jamii isihangaike kuwatafuta na utekaji umeshamiri lakini yupo anadunda uraiani, Lissu yuko ndani
 
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM

Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa maslahi ya CCM na sio wananchi wote

Nawasihi hivi vyombo vitoke hadharani kukanusha kuwa havimilikiwi na CCM na **** onyo Chacha ikiwezekana kumshitaki
Kwanini wakanushe waache ivo ivo wachafuke wakose kuaminiwa
 
Yupo sahihi kwa 100%, yule mwingine ni RC wa mkoa ule, na anavaa magwanda kabisa ya kijani, na juzi juzi alikuwa anavaa uniform. Yupo sahihi sana tu.
 
Ninachukia watu wanaotaka kulazimisha kila mmoja awe na chama anachoshabikia au alichomo. Tuko ambao hatuna ushabiki au uanachama wowote. Binafsi ninataka kuwe na wagombea binafsi.
Mwanaume wa shoka, ndiye huyu! Hongera kwa kuwa na mtizamo Chanya. Mgombea binafsi ndiyo suluhu ya demokrasia hapa TZ maana Vyama vyote miyeyusho
 
Back
Top Bottom