Mbona iko wazi vinamilikiwa na hicho chama, kulikuwa na matawi mpaka kwenye hivyo vyombo. Wanajeshi wanashirikishwa kwenye siasa kama kawaida, wapo wakuu wa wilaya na mikoa hadi wabunge walikuwepo tena wakiwa na magwanda yao. Kapteni Ukiwaona Ditopilo Mzuzuri, Luteni Yusuph Makamba, Kanali Jakaya Kikwete, Kanali Joseph Simbakalia, Kapteni John Chiligati, Kina James Yamungu, Ibunge, Brigedia Moses Nnauye. Mbungo, Siro na polisi wenzake wapo kwenye vyeo vya kiaraia. Majeshi yote ni mali ya CCM hili halina ubishi