Ameamua kusema ukweli na kuweka kando unafiki. Ila sijui ana malengo gani.
Mm na familia yangu sio Mali ya CCMUkweli unauma. Kama unaona kakosea nenda kaandamane.
Sio tu vyombo vya ulinzi, hata wananchi wote ni mali ya CCM.
Kama huwezi kuliona hilo, vaa miwani.
Wacha weeeee!!!"CCM haitatoka madarakani kwa makaratasi"
Ukweli unauma. Kama unaona kakosea nenda kaandamane.
Sio tu vyombo vya ulinzi, hata wananchi wote ni mali ya CCM.
Kama huwezi kuliona hilo, vaa miwani.
Kwanini wakanushe waache ivo ivo wachafuke wakose kuaminiwaKikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM
Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa maslahi ya CCM na sio wananchi wote
Nawasihi hivi vyombo vitoke hadharani kukanusha kuwa havimilikiwi na CCM na **** onyo Chacha ikiwezekana kumshitaki
Mwanaume wa shoka, ndiye huyu! Hongera kwa kuwa na mtizamo Chanya. Mgombea binafsi ndiyo suluhu ya demokrasia hapa TZ maana Vyama vyote miyeyushoNinachukia watu wanaotaka kulazimisha kila mmoja awe na chama anachoshabikia au alichomo. Tuko ambao hatuna ushabiki au uanachama wowote. Binafsi ninataka kuwe na wagombea binafsi.