Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Atakuwa sahihi, Maana Amiri jeshi mkuu ni CCM,na mara nyingi wakistaafu,utasikia anagombea Jimbo flani!Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM
Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa maslahi ya CCM na sio wananchi wote
Nawasihi hivi vyombo vitoke hadharani kukanusha kuwa havimilikiwi na CCM na **** onyo Chacha ikiwezekana kumshitaki
Eti Bwana, wakati wengine tungekuwepo enzi za Nuhu kujenga Safina tungesaidia na kutimba Ndani ya Safina!Kusema kuwa wananchi wote ni CCM, ni tusi kubwa na baya sana kwa wananchi!! Kila mtu mwenye akili timamu, na mwenye Roho wa Mungu, anajua kuwa CCM ni nyumba ya shetani. Kusema watanzania ni mali ya CCM,
ni sawa na kusema kuwa Watanzania wote ni mali ya shetani!!
😂😂😂Ukweli unauma. Kama unaona kakosea nenda kaandamane.
Sio tu vyombo vya ulinzi, hata wananchi wote ni mali ya CCM.
Kama huwezi kuliona hilo, vaa miwani.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma ni mwanajeshi, Sirro alikua IGP sahivi ni RC Kigoma.Yupo sahihi kwa 100%, yule mwingine ni RC wa mkoa ule, na anavaa magwanda kabisa ya kijani, na juzi juzi alikuwa anavaa uniform. Yupo sahihi sana tu.
Haviwezi kuukanusha huo ukweli based on the circumstantial realities on the ground.Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM
Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa maslahi ya CCM na sio wananchi wote
Nawasihi hivi vyombo vitoke hadharani kukanusha kuwa havimilikiwi na CCM na **** onyo Chacha ikiwezekana kumshitaki
Mkuu, ndiyo ukweli, wanaodai kupigania haki ya wa TZ wote wanavutia kwenye vyama vyao. Sijamsikia anayetuongelea ambao siyo mashabiki wao. Na kibaya tangu kuondoka kwa mchungaji Mtikila ndiyo imezimika.Mwanaume wa shoka, ndiye huyu! Hongera kwa kuwa na mtizamo Chanya. Mgombea binafsi ndiyo suluhu ya demokrasia hapa TZ maana Vyama vyote miyeyusho
Hawana ubavu huo, si kafafanua kabisa CCM ndo inayowaweka hao viongozi kwa hiyo hao viongozi hawana jeuri ya kuikemea CCM.Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM
Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa maslahi ya CCM na sio wananchi wote
Nawasihi hivi vyombo vitoke hadharani kukanusha kuwa havimilikiwi na CCM na **** onyo Chacha ikiwezekana kumshitaki
inaumaMkuu, ndiyo ukweli, wanaodai kupigania haki ya wa TZ wote wanavutia kwenye vyama vyao. Sijamsikia anayetuongelea ambao sio mashabiki wao. Na kibaya tangu kuondoka kwa mchungaji Mtikila ndiyo imezimika.