Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Care less politics at your own peril.Nowdays I care less about politics.
Serekali anaongoza nani? Mbowe amdhuru mtu halafu Masauni waziri wa mapolisi na Mbunge wa ccm acheke, inawezekana kweli? Mbowe si tayari angalikuwa kesi kuliko ile ya Ugaidi? Propganda nyengine hazihitaji shule kuzijuaNimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!
Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.
Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake
Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru
Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!
NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
I am extremely calculative.This has helped me to never fight a losing war.Care less politics at your own peril.
Those politicians still make decisions that will affect you or your children!
bless your heartI am extremely calculative.This has helped me to never fight a losing war.
If I can't change it I ignore it.
hapo ndiyo mjue risasi 16 zilitoka humohumo chadema sumu haionjwi kaka na kishasema kuna gari linamfuatiliajamani mbowe?Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!
Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.
Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake
Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru
Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!
NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
Fact.Care less politics at your own peril.
Those politicians still make decisions that will affect you or your children!
Kwa nini Serikali ilikaa kimya na Lisu akavuliwa ubunge kwa kile serikali ya ccm kuamini kwamba haijui Lisu yuko wapi?hapo ndiyo mjue risasi 16 zilitoka humohumo chadema sumu haionjwi kaka na kishasema kuna gari linamfuatiliajamani mbowe?
Wewe mbona unafahamika humu ni msemaji wa Zitto Kabwe,ungeandika kitu tofauti na hiki ningeshangaa.Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!
Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.
Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake
Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru
Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!
NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
Wewe mbona unafahamika humu ni msemaji wa Zitto Kabwe,ungeandika kitu tofauti na hiki ningeshangaa.
If you don't care about politics, then politics will take care of you.Nowdays I care less about politics.
Same hereNowdays I care less about politics.
Politics inaathiri maisha ya kila mmoja hata yule aliyeko tumboni mwa mamaye, either anajali au hajali kuhusu hilo.Nowdays I care less about politics.