"Chacha Died - I won't" Kauli ya Zitto baada ya mgogoro wake na CHADEMA

Ina maana wewe hujali hata kidogo malalamiko ya Lissu kuwa kuna watu wanafuatilia msafara wake kwa gari maalum ambao wanatia mashaka?
Tunajali sana na hatua stahiki zimeshachukuliwa. Na tunajua kuwa katika situation kama hii adui mkubwa wa Chadema hachezi mbali. Katika sakata la Marehemu Chacha Wangwe ni CCM waliokuwa wanachochoea ule mgogoro na ulipofika kileleni wanamuua Chacha Wangwe na haraka wakatuma watu kwenye vyombo vya habari kueneza uvumi kuwa Mbowe na Chadema ndiyo wamemuua Chacha Wangwe na mmoja wa watu waliopewa kandarasi ya kueneza uvumi huo alikuwa Marehemu Mtikila. Hivyo tunajua nini CCM wanataka kufanya. Nafikiri hata wewe umesoma au kusikia kauli za wanaccm wanavyomchombeza Msigwa ahamie kwao eti kwa sababu Chadema wanamuonea. Huu wema wa CCM kwa Lissu na Msigwa una fumbo kubwa ndani yake.
 
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!

Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.

Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake

Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru

Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!

NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
SAFARI HII WAKIMSHAMBULIA HAWATAKOSEA WATALENGA KICHWA, MAANA WASONULIKANA WAMERUDI NA NASIKIA CKU HIZI KUNA WADUDU
 
Politics inaathiri maisha ya kila mmoja hata yule aliyeko tumboni mwa mamaye, either anajali au hajali kuhusu hilo.

Na kwasababu hiyo basi, every sane person anatakiwa kujali.
Mpumbavu pekee ndiye anaweza kuumiza akili kwa jambo ambalo hawezi kulibadilisha.
If Chacha was murdered by his political opponents and if Zitto was in a row,why should I care?
What have you changed in this wretched state just for being politically aware?
 
Hata lile tukio la Lissu nina wasiwasi, huenda alionekana tishio. Ingekuwa kulikuwa na mkono wa serikali, ni risasi moja tu ingetumika, wale walikuwa wahuni tu waliotumwa.
 
Changed some, you can do it too mate.

Si kuna ule msemo wa mabadiliko huanza na wewe.
 
Unafikiri kama ilikuwa handwork ya Chadema wale watu wangefika hata Morogoro kabla ya kukamatwa? Tena ingekuwa turufu ya kuifuta kabisa Chadema. Ile ilikuwa dola 100%. Ndiyo maana ilikufa natural death.
 
Duh

Watanganyika mmeamua kuweka Siasa pembeni 😄

Zitto siyo wa kumuamini sana🐼

Lisu na Makonda waongezewe Ulinzi ni watetezi wa rasilimali za Nchi
Usimchanganye Lissu na watu wanaokumywa damu za watu
 
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!

Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.

Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake

Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru

Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!

NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
Kwa nini tusiamini hata kupigwa risasi Lissu ni kazi ya ndani ya chadema. Ngojeni siku lissu atoke chadema kama hatukuambiwa nani alikua nyuma ya jaribio la yeye kuuliwa. Hawezi kusema kweli akiwa chadema . Amemsingizia Jpm bila haya kote akienda hadi huko ulaya kwani wanafurahia uongo huo.
 
Changed some, you can do it too mate.

Si kuna ule msemo wa mabadiliko huanza na wewe.
What specifically have you changed in this state?
Yes, mabadiliko huanza na mimi,but why should I push for mabadiliko in issues am not interested in?
I repeat my question,with your political awareness,what specifically have you changed in this nation?
 
Mabadiliko yote yaliyotokea politically since kuanza kwa vyama vingi wengi tuna mkono.. Point sio wewe kufahamu mimi nimefanya nini..

I did little, you can do too mate.
 
I expected blah blah from you,just as I expect brah brah from any political bigot.
 
Serekali anaongoza nani? Mbowe amdhuru mtu halafu Masauni waziri wa mapolisi na Mbunge wa ccm acheke, inawezekana kweli? Mbowe si tayari angalikuwa kesi kuliko ile ya Ugaidi? Propganda nyengine hazihitaji shule kuzijua
Kumbe ni kweli kuna wakati saa mbovu inakuwa sawa, my first time nimekuelewa.
 
Mpumbavu pekee ndiye anaweza kuumiza akili kwa jambo ambalo hawezi kulibadilisha.
If Chacha was murdered by his political opponents and if Zitto was in a row,why should I care?
What have you changed in this wretched state just for being politically aware?
Mkuu in your personal perspective your completely right but still it matters a lot to care than not doing so.

This nation has plenty of political idiots! Though the thread of caring is so thin and waning but still holding the little sanity you are also enjoying!

So Mkuu caring is the only iota of hope standing as of now!!!
 
Hata lile tukio la Lissu nina wasiwasi, huenda alionekana tishio. Ingekuwa kulikuwa na mkono wa serikali, ni risasi moja tu ingetumika, wale walikuwa wahuni tu waliotumwa.
Mkuu fafanua walitumwa na nani??

Je ni kweli risasi ya serikali hutumika moja tu kuua raia???

Je, kwa ndugu Kombe ilitumika risasi ya serikali moja tu kumuua licha ya kunyosha mikono???

Kama kweli sio serikali ilihusika kwa nini ishindwe kufanya uchunguzi??? Hata kuanza tu!!

Tafadhali tujibu kwa upole tukuelewe vizuri!!
 
Back
Top Bottom