KAMA UNAUMWA USIPOONYESHA VYETI NA VIKAWEKWA KUMBUKUMBU NANI ATAJUWA KUWA ULIKUWA UNAUMWA USIFIKIRI BUNGE NI LA SHEMEJI YAKO HILOSheria gani????Ya mwaka gani???Na kifungu kipi???Na kesi hiyo ya namna hiyo iliwahi tokea lini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA UNAUMWA USIPOONYESHA VYETI NA VIKAWEKWA KUMBUKUMBU NANI ATAJUWA KUWA ULIKUWA UNAUMWA USIFIKIRI BUNGE NI LA SHEMEJI YAKO HILOSheria gani????Ya mwaka gani???Na kifungu kipi???Na kesi hiyo ya namna hiyo iliwahi tokea lini???
Wewe unaumwa ugonjwa wa mawazo.KAMA UNAUMWA USIPOONYESHA VYETI NA VIKAWEKWA KUMBUKUMBU NANI ATAJUWA KUWA ULIKUWA UNAUMWA USIFIKIRI BUNGE NI LA SHEMEJI YAKO HILO
I am not your fellow moron. I have my own uncompromisable standards,unlike you who feed on anything provided.You speak naive.
If you can't change join them folk
👏🏿I am not your fellow moron. I have my own uncompromisable standards,unlike you who feed on anything provided.
Ndo maana Mpina anasema kifo Cha magufuli kichungizwe huenda ni chadema hao wanao toa adhabu ya vifo kwa wanasiasaNimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!
Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.
Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake
Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru
Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!
NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana na Chadema 😔
PoleNdo maana Mpina anasema kifo Cha magufuli kichungizwe huenda ni chadema hao wanao toa adhabu ya vifo kwa wanasiasa
Serikali ya ccm wameshindwa kufanya uchunguzi wa vifo vyenye utata
Lakini wakiombws waruhusu wapelelezi binafsi Toka nje kwenye mashirika yenye weledi kuwazidi hawataki
Tuite watu Toka nje waje watusaidie upelelezi
Mbona hela ya kuendesha serekali tunaomba nje
Hivi karibuni tutaomba na hela ya uchaguzi
Siasa siooo kabisa