"Chacha Died - I won't" Kauli ya Zitto baada ya mgogoro wake na CHADEMA

"Chacha Died - I won't" Kauli ya Zitto baada ya mgogoro wake na CHADEMA

Huo mgogoro ndani ya chadema uko wapi? tofauti ya mawazo ndio mgogoro? watu waache kutengeneza maneno maana maneno huumba.
 
Kwa nini tusiamini hata kupigwa risasi Lissu ni kazi ya ndani ya chadema. Ngojeni siku lissu atoke chadema kama hatukuambiwa nani alikua nyuma ya jaribio la yeye kuuliwa. Hawezi kusema kweli akiwa chadema . Amemsingizia Jpm bila haya kote akienda hadi huko ulaya kwani wanafurahia uongo huo.
Mkuu aliye sema na kuagiza maaskari wafanye jinsi wanavyojua msaliti hufanywa ni nani???

Ni JPM au Mbowe???

JPM aliagiza shambulio hilo kwa hukumu ya mashtaka gani???

Katika mahakama ipi na kwa ushahidi upi Mkuu???

Mkuu usifikiri watu wamesahau filamu ile ilivyokuwa inajiri siku hiyo!!!
 
Hata lile tukio la Lissu nina wasiwasi, huenda alionekana tishio. Ingekuwa kulikuwa na mkono wa serikali, ni risasi moja tu ingetumika, wale walikuwa wahuni tu waliotumwa.
Serikali ikimtaka mtu haina haja ya kupiga risasi hivyo ni kufinywa kimya kimya na hakuna atakayejua ulipo ni kuminywa na kuzikwa ..

Kwakuwa kila kitu walitaka wakionesha ni cha kisiasa wakaamua wamsakazie JPM.

This time. Hawataweza miss target Chadema wao kwa wao wanatafutana..
 
What specifically have you changed in this state?
Yes, mabadiliko huanza na mimi,but why should I push for mabadiliko in issues am not interested in?
I repeat my question,with your political awareness,what specifically have you changed in this nation?
Mkuu we agree, it is your right no to care at all, but still caring to others matters so much, let them be!

Mkuu If it happens (just an example) your spouse suffers from cancer, would not care at all simply because you can't change or alluviate the painful situation she is going through???

Caring start with us, even if it is not in our favor Mkuu
 
Serikali ikimtaka mtu haina haja ya kupiga risasi hivyo ni kufinywa kimya kimya na hakuna atakayejua ulipo ni kuminywa na kuzikwa ..
si lazima muda wote wafinye mtu kimya kimya, kuna muda lazima kwa kariba ya mtu kama magufuli lazima aue hadharani ili watu wengine wenye kuendelea kuongea waogope.

Waulize wakazi walio karibu na msitu wa mabwepande bunju Jinsi watu walikuwa wakikutwa kwenye viroba, na vile viroba vya ufukweni?

Lini ushawahi kusikia kunafanyika uchunguzi?
 
Mkuu we agree, it is your right no to care at all, but still caring to others matters so much, let them be!

Mkuu If it happens (just an example) your spouse suffers from cancer, would not care at all simply because you can't change or alluviate the painful situation she is going through???

Caring start with us, even if it is not in our favor Mkuu
I didn't say 'I don't care about politics' I just said 'I care less about politics'
Hope you can see the difference.
Comparing my ailing spouse with politics is a nasty comparison,etremely nasty.
 
I didn't say 'I don't care about politics' I just said 'I care less about politics'
Hope you can see the difference.
Comparing my ailing spouse with politics is a nasty comparison,etremely nasty.
🙏
 
Mkuu in your personal perspective your completely right but still it matters a lot to care than not doing so.

This nation has plenty of political idiots! Though the thread of caring is so thin and waning but still holding the little sanity you are also enjoying!

So Mkuu caring is the only iota of hope standing as of now!!!
I have a lot of important issues with which to occupy my mind.
I was once highly interested in politics,till the moment I realised those who are in the front line campaigning for political changes are doing so for personal interests like acquaring political positions and promoting their parties.
 
Kwa nini Serikali ilikaa kimya na Lisu akavuliwa ubunge kwa kile serikali ya ccm kuamini kwamba haijui Lisu yuko wapi?
USIPOTOA TAARIFA BKWA MAANDISHI KUITARIFU BUNGE KISHERIA LAZIMA ISEME HIVYO HATA KAMA WANASIKIA UPO WAPI SHERIA KITU KINGINE WE SIKIA HIVYOHIVYO TU
 
Tunajali sana na hatua stahiki zimeshachukuliwa. Na tunajua kuwa katika situation kama hii adui mkubwa wa Chadema hachezi mbali. Katika sakata la Marehemu Chacha Wangwe ni CCM waliokuwa wanachochoea ule mgogoro na ulipofika kileleni wanamuua Chacha Wangwe na haraka wakatuma watu kwenye vyombo vya habari kueneza uvumi kuwa Mbowe na Chadema ndiyo wamemuua Chacha Wangwe na mmoja wa watu waliopewa kandarasi ya kueneza uvumi huo alikuwa Marehemu Mtikila. Hivyo tunajua nini CCM wanataka kufanya. Nafikiri hata wewe umesoma au kusikia kauli za wanaccm wanavyomchombeza Msigwa ahamie kwao eti kwa sababu Chadema wanamuonea. Huu wema wa CCM kwa Lissu na Msigwa una fumbo kubwa ndani yake.
AISEE KUNA WATU SIASA HAWAIJUI YAANI WEWE UMECHELEWA SANA KAMA HATA WANGWE HUJUI NANI MHUSIKA BASI ACHA KUCHANGIA MAMBO YA SIASA
 
Huo mgogoro ndani ya chadema uko wapi? tofauti ya mawazo ndio mgogoro? watu waache kutengeneza maneno maana maneno huumba.
kwasababu unaishabikia ndiyo maana unasema kutofautana mawazo wenzio mpka wanataka kuhama chama
 
AISEE KUNA WATU SIASA HAWAIJUI YAANI WEWE UMECHELEWA SANA KAMA HATA WANGWE HUJUI NANI MHUSIKA BASI ACHA KUCHANGIA MAMBO YA SIASA
Wewe unazungumzia ushabiki mimi nazungumzia fact,na katika eneo hilo wewe ni mtoto mdogo sana. Endelea kushabikia na ninakuacha kama ulivyo kwani yaelekea kwa ufahamu wako hata nikikupa darasa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
Duh

Watanganyika mmeamua kuweka Siasa pembeni 😄

Zitto siyo wa kumuamini sana🐼

Lisu na Makonda waongezewe Ulinzi ni watetezi wa rasilimali za Nchi
Chadema wameshindwa kumdhuru Zitto wamebaki kumchafua tu, Mbowe ni kirusi hatari katika siasa za upinzani Tanzania.
 
Wewe unazungumzia ushabiki mimi nazungumzia fact,na katika eneo hilo wewe ni mtoto mdogo sana. Endelea kushabikia na ninakuacha kama ulivyo kwani yaelekea kwa ufahamu wako hata nikikupa darasa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
baki na ubishi wako watu tuna juwa mambo wewe unatumia vya kusikia
 
Ndiyo maana nilisema CCM wanahofu sana na CHADEMA hizi mbinu wamezitumia sana, labda kwa vijana wa 2000 hawawezi jua kitu.
 
baki na ubishi wako watu tuna juwa mambo wewe unatumia vya kusikia
Mimi najua kuliko hizo stori zako za kushabikia ujinga. Kama hiyo dhana yako ni kweli unafikiri Mbowe angekuwa uraiani leo hii? Wewe ni mtoto mdogo sana kwenye haya mambo.
 
USIPOTOA TAARIFA BKWA MAANDISHI KUITARIFU BUNGE KISHERIA LAZIMA ISEME HIVYO HATA KAMA WANASIKIA UPO WAPI SHERIA KITU KINGINE WE SIKIA HIVYOHIVYO TU
Sheria gani????Ya mwaka gani???Na kifungu kipi???Na kesi hiyo ya namna hiyo iliwahi tokea lini???
 
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!

Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.

Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake

Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru

Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!

NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
Nimependa ayo maneno ya mwisho ya kwamba "Unauonya mfumo"
 
Back
Top Bottom