"Chacha Died - I won't" Kauli ya Zitto baada ya mgogoro wake na CHADEMA

"Chacha Died - I won't" Kauli ya Zitto baada ya mgogoro wake na CHADEMA

Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!

Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari linamfuatilia kila anapoenda nahofia wabaya wake wanaweza kutumia hisia za uwepo wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama kumfanyia hujuma.

Tukumbuke huyu Lissu ni adui wa establishment, ana watu wasiompenda pia hata ndani ya chama chake

Anapiga spana rushwa hadi ndani ya chama chake, kwa hiyo usikute kagusa pabaya na sasa wabaya wake ndani ya chama wanaweza kuunganisha nguvu na wabaya wake ndani ya mfumo kumdhuru

Nikikumbuka maneno ya Zitto nasema Lissu alindwe sana!

NAUONYA MFUMO USIJARIBU KUTAKE ADVANTAGE YA MGOGORO NDANI YA CHADEMA KUMDHURU TUNDU, WANANCHI TUMESTUKA!
Ndo maana Mpina anasema kifo Cha magufuli kichungizwe huenda ni chadema hao wanao toa adhabu ya vifo kwa wanasiasa

Serikali ya ccm wameshindwa kufanya uchunguzi wa vifo vyenye utata

Lakini wakiombws waruhusu wapelelezi binafsi Toka nje kwenye mashirika yenye weledi kuwazidi hawataki

Tuite watu Toka nje waje watusaidie upelelezi
Mbona hela ya kuendesha serekali tunaomba nje

Hivi karibuni tutaomba na hela ya uchaguzi
 
Pole
 
He “won’t die “ or he won’t get killed?

Everyone will and must die.

If Wangwe die, he too will die.
 
Back
Top Bottom