Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Kuna watu humu hamna hekima. Mnamshambulia wa nini wakati yeye kaelezea ukweli ulivyo??? Wanasheria wa bunge wapo na wao walielimishwa mkataba hauna shida. Na tunasema haina gogoro kabisa.
waelimishwe hawajui kusoma kwann wasipewe nakala wakasome wao wenyew , kuna logarithm au sequence humo mpk mtu ashindwe kusoma mwenyew , hustuki bado kuona uhuni wa serikali na bunge
 
ilibid mkataba uingizwe mtaan , madiwan waongee na wananchi hlf wapeleke maoni ndipo bunge lipitie kipengelee kwa kipengele , Rais kwenye hili kam haki ikifuatwa inabid ajiuzulu tu , kaharibu sana
Ndiyo anatakiwa kujiudhuru maana kapoteza imani kwa kiasi kikubwa sana kwa wananchi. Vinginevyo nchi inaweza kuingia kwenye machafuko kwa sababu ya mambo ya kijinga kijinga kama haya!
 
Wa bungeni pamoja na katibu wa bunge wanafanya kazi kwa maslahi ya mhimili wa serikali zaidi. Hao ni mkono wa serikali ndani ya bunge.
Siyo hivyo. Wapo kwa ajili ya bunge na wabunge.
 
We mbunge Bora ungepiga kimya unajiaibisha Sana,yaani unakaa kwenye chombo Cha maamuzi halafu kumbe ni maimuna! Looooooh! Na kesi tunazoshindwa huko nje na kulipa mapesa ya faini kumbe mfumo ndiyo huu huu.kwa hivyo kumbe akina mwabukusi wako sahihi!
Huko bungeni mliwatisha na kupitisha Kwa nguvu
 
Watu wa Mbeya mjini wanaweza wampe mtu adhabu ambayo hataisahau jinsi mambo yanavyoenda.
 
Kwa ninawajua wanachama wa chama hicho kesho ataomba radhi chama na kusema maneno aliyoyatoa yalitokana na kulewa soda ya tangawizi
 
Tulia ndo aliwqburaza mpaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…