Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hana akili tangu alipokuwa hapa Tabora mkuuuHuyu alikuwa na heshima nzuri tu,alipewa kitengo kwenye chama cha mbogamboga baasi,kama ilivyo ada ukishateuliwa unaacha ubongo chooni halafu unachukua akili za majalalani
Huyu alikuwa na heshima nzuri tu,alipewa kitengo kwenye chama cha mbogamboga baasi,kama ilivyo ada ukishateuliwa unaacha ubongo chooni halafu unachukua akili za majalalani
Mbona ana hasira! Si anyooshe maelezo aseme "Makamu wa Rais aliyepinduliwa kibabe, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi yuko nyumbani kwake akiwa salama na mwenye afya njema"Katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni wa CCM, Paul Matiko Chacha, amekemea viongozi wanaofanya makosa na kujificha nyuma ya chama, akisema CCM itachukua hatua dhidi ya kiongozi au mwanachama yeyote atakayekiuka Katiba, kanuni na taratibu za chama na jumuiya zake.
Chacha pia amehoji wanaoendelea kuuliza alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, akisema, “Mmekwenda nyumbani kwake mkamkosa?” Amesema hayo Septemba 26, 2026, wakati akihutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Mkoa wa Iringa uliofanyika katika Ukumbi wa Ihemi.
Soma pia
sas ulisikia wapi mwanaume anatongozwa na mwanamke halafu anaenda kumwitia mwanamke polisi?!?Hana akili tangu alipokuwa hapa Tabora mkuuu
Heshima Gani alikuwa nayo? Si ndio huyo aliyetongozwa na Mwanamke akaanza kutoa milio mpaka kwenda kushtaki polisi? Hiyo ndio heshima?Huyu alikuwa na heshima nzuri tu,alipewa kitengo kwenye chama cha mbogamboga baasi,kama ilivyo ada ukishateuliwa unaacha ubongo chooni halafu unachukua akili za majalalani