Alikuwa hana heshima yoyote....mwizi kama wengine huyu tulikuwa naye enzi za JPM kitengo cha usalama na itifaki ni mshenzi kama washenzi wengine tuHuyu alikuwa na heshima nzuri tu,alipewa kitengo kwenye chama cha mbogamboga baasi,kama ilivyo ada ukishateuliwa unaacha ubongo chooni halafu unachukua akili za majalalani
haya mapumbavu Yana KIBURI cha UZIMA. Time will tellKatibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni wa CCM, Paul Matiko Chacha, amekemea viongozi wanaofanya makosa na kujificha nyuma ya chama, akisema CCM itachukua hatua dhidi ya kiongozi au mwanachama yeyote atakayekiuka Katiba, kanuni na taratibu za chama na jumuiya zake.
Chacha pia amehoji wanaoendelea kuuliza alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, akisema, “Mmekwenda nyumbani kwake mkamkosa?” Amesema hayo Septemba 26, 2026, wakati akihutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Mkoa wa Iringa uliofanyika katika Ukumbi wa Ihemi.
Soma pia
Ndio watu wa CCM hao, kichwani ni empty mpaka aibu.Huyu Chacha Anaropoka sana, tangu aseme ametongozwa na mwanamke na kumtupa yule mama lock up, nimemdharau sana,
He is not smart upstairs, has no emotional intelligence no good communication skills,
Siku hizi ccm haina Viongozi wenye speech nzuri mbele ya umma.