I am pushed to say something baada ya maoni yako haya. Na nitatofautiana na wewe kwenye baadhi ya hoja. Na pale nitakapotumia lugha ngumu na kali kidogo kijibu hoja zako, utanisamehe...
Hili mimi sina usemi. Ninachojua mwanasiasa anachotaka ni madaraka na hivyo yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya madaraka.
Nakubaliana na wewe kwa hili. Na ni wanasiasa wote iwe wa chama kilichoshika serikali [wakitaka kuendelea kubaki madarakani] au walio nje ya serikali a.k.a upinzani [wakitaka kuwanyang'anya dola wanaoshikilia]
Ila kwangu mimi Magu was trashy na nitaendelea kusema hivyo kwasababu sina cha kupoteza.
I agree with you. He was absolutely a trash. But it's also an deniable fact that he was our president...!!
COVID ipo na inaua. Ila kwa kawaida matibabu ni hiari ya mhusika. Kwenye hili elimu ni muhimu zaidi lakini siyo ahenda ya namna ya kulazimisha.
Kwanza Afya ni kitu kilichogubikwa na imani nyingi sana, na hivyo kila mtu huwa anajua akipata madhara ya kiafya anakimbilia wapi.
Yes, you are very right. Afya ni personal matter ya mtu mwenyewe na ina uhusiano mkubwa na imani ya mtu husika. Kila mtu ashughulike na afya yake kwa namna yake...
Hata hivyo, elimu inaweza kubadili mitizamo na uelekeo wa watu kwa kiasi fulani kuhusu afya zao....
CDM kwasasa inaongozwa kwa mihemko, hawajali wanamshambulia nani na kwanini
Kwasasa CDM wameshakosana karibia na kila taasisi. Ukiwakosoa tu hutaelewana nao.
Hapa ukaanza kukengeuka na kuchukua uelekeo wa mapenzi na rangi yako halisi...
Kwanza naanza kwa kusema, THIS IS NOT TRUE AT ALL...!!
Mtu yeyote makini hawezi kukubaliana na wewe kwenye hili kwa sababu;
1. Siyo kila ukosoaji una manufaa kwa anayekosolewa. Wenye mawazo kama haya yako, obviously yakikataliwa au kupuuzwa, watasema "hawa CHADEMA hawakubali kukosolewa"
2. CHADEMA haijashambulia mtu wala taasisi yote. Kama una evidence, onesha au weka hapa...
CHADEMA haijashambulia taasisi yoyote. Kama una evidence, weka hapa...
Wao ndio wanashambuliwa na wanapambana na kujilinda na kila anayewashambulia...
Hiyo ni SAHIHI na HAKI kabisa. Hata wewe huwezi kuwa kama kondoo tu pale unaposhambuliwa. Ni lazima uamke na ujilinde kwa namna yoyote....
Hiki ndicho kinachofanywa na CHADEMA and this damn right na ndiyo maana CHADEMA ya sasa is stronger, more famous and more organized than that of 20yrs ago...
CDM kwasasa inaendeshwa kama kitega uchumi cha wachache na kitu cha ajira. Watu wanaojitolea wanapungua kila siku, wengi wanataka malipo hata kama ni kwa kuchangisha wanachama.
Mkaruka, huna data kwenye hili. Na hapa ni ukweli usiopingika kuwa, kwa hili umejiandikia tu. Kumbuka kanuni hii muhimu ya mjadala na utoaji maoni;
No research, No right to write/speak..
Ukweli mdogo tu ulio wazi kwa kila mtu huu ni huu;
Kwamba, CHADEMA ya sasa haina ruzuku lakini iko very strong than ever na ndiyo maana ya fujo hizi zinazoendelea kufanywa na wapinzani wao CCM kwa kutumia faida ya kuwa chama - dola na hivyo na hivyo kwa kututumia udhaifu wa KATIBA ya JMT ya 1977 na marekebisho yake, wanazitumia TISS na Tanpol kwa manufaa yao ili ku - accomplish dirty missions zao dhidi ya washindani wao kisiasa especially CHADEMA ili kuwatoa ktk ramani ya siasa za Tanzania...
Kwa uthibitisho huu tu mtu yeyote mwenye akili na ufahamu anaweza kuelewa kuwa, wanaCHADEMA wanatumia rasrimali zao binafsi kwa ajili ya chama....!
Mtu mchoyo na mtaka maslahi binafsi hawezi kutoa cha kwake kwa ajili ya wengine. Kama unabisha au kuukana ukweli huu, leta hoja ya kukanusha, nasi tutakuelewa....!
Mfano mzuri ni m/kiti wa chama taifa ndg Freeman Mbowe kufungiwa bank account zake zote, kubambikiwa kodi ktk biashara zake, kuharibiwa mali zake nk nk. Yote haya ni ili CHADEMA ikose nguvu na ili kutimiza usemi wa, "piga mchungaji, kondoo watawanyike..."
Kwa hiyo hoja yako hii haina mantiki na ni uongo kwa sababu hujafanya utafiti...!!
Ni ngumu kwa CDM kutetea kitu ambacho wao hawana manufaa nacho.
Really? Really?
Uko sawa kweli kiufahamu ndugu
Mkaruka? Hebu soma pointi inayofuata..
Wako tayari kuandamana kwaajili ya katiba mpya, tume huru ya uchaguzi au uchaguzi umeporwa au mgombea wao kaenguliwa lakini matatizo ya wananchi kama bei ya mazao, rushwa, ajira ni tatizo lako mwenyewe kwanza wao hawana matatizo hao maana viongozi wote wa CDM siyo masikini.
Hujui uandikacho. Na ndiyo maana nimesema hapo juu una tatizo la kiufahamu, siyo bure...!
Hivi unaelewa hata maana na kazi ya KATIBA YA NCHI?
Unajua kuwa katiba ya nchi ndiyo determinant factor ya mfumo wa utawala wa nchi husika...?
Unajua kuwa, katiba mbovu huzaa mfumo mbovu wa kiutawala na hivyo kuzaa matatizo mengine yote kama rushwa, ufisadi, ukosefu wa huduma bora za kijamii, ukosefu wa ubunifu na matatizo mengine....?
Sasa kama wanadai KATIBA MPYA kwa maandamano na kwa njia zingine zozote halali kikatiba huoni kuwa hawa wananchi [CHADEMA] ndiyo watetezi halisi wa nchi hii kutaka kuuleta utawala wa nchi hii mikononi mwa wananchi wenyewe kutoka mikononi mwa kikundi cha watu wachache..?
Kama huelewi hili, utanisamehe sana kusema kuwa, basi wewe ni obvious utahitaji kwenda shule uànze kusoma tena...!!
Kwasasa watanzania wamechoka. Ukitegemea wataingia barabarani kupigania maslahi ya mwanasiasa umapanga kushindwa.
Yale yale. Yaani ni "fikra za kijinga" tu .
Njia ya kuingia barabarani [maandamaano] is the last resort..
Lakini it will come a time, hata wajinga wasiojielewa wenye fikra kama zako, watalazimika kuitumia njia hii kudai haki zao zilizokandamizwa na watawala..
Kwa sasa tembea na fikra hizi. Lakini hakuna mtu anayeweza kusukumwa hadi ukutani kisha asi - retaliate...
CDM wameshapambana kuingiza watu barabarani zaidi ya mara 10 bila mafanikio.
Mpaka sasa CCM ndio wanamilik8 serikali za mitaa kwa 100% sasa hapa sijui unaongelea kina nani ?
So what? Hujui kuwa hata wewe unaweza (ukitaka) kumiliki kisicho halali yako? Mtu huyu huitwa MWIZI...
CCM wanamiliki serikali zote kwa 100% lakini waoga wa kukosolewa. Na unajua ni kwa sababu gani?
Ni wezi. Hawakuchaguliwa na watu. Walijiweka madarakani wao. Mwizi siku zote ana mashaka na hujihami wakati wote na anaweza kurushia risasi hata kivuli chake ktk kujihami. Hawa ndiyo CCM...!!
Furahieni kwa muda huu mchache mlio nao. Lakini zinakuja nyakati za kilio na kusaga meno kulipia makosa na dhuluma yenu. NO SIN YOU HAVE COMMITED WILL GO UNPUNISHED...!!!
In short, Magu is gone. Na hatasimama tena kugombea kwahiyo kumfanya agenda kupotea. Huyu Magu watuachie sisi tusio na vyama ndio tuteme nyongo.
MAGUFULI as a person has gone. Lakini historia yake kama mtu aliyewahi kutenda unyama ktk nchi hii ipo kama ambavyo za akina Hitler, Iddi Amin Dada, Benito Mussolini, Mobutu Seseseko, na wengine zipo na zinaathiri maisha ya watu mpaka leo...
Jina lake litatajwa sambamba na historia ya matendo yake mabaya vizazi vingi vijavyo kama sehemu ya kuwafundisha watoto wetu kuwa hatupaswi kuwa kama mtu aliyewahi kuitawala Tanzania kwa mkono wa chuma aitwaye Magufuli....!
CCM wana machinery nzito ya uchaguzi kuanzia chini kabisa.
Serikali za mitaa, wanachama hasa wazee na wanawake, watendaji (hawa ndio wasimamizi wa chi i kabisa wa uchaguzi chini ya mDEDs ), walimu n.k
CCM imefunga ndoa na Dola maana hwlawatupani, hakuna mwenye cheo kikubwa jeshini anaestaaf akakoswa kazi zauRC, DC, bodi n.k.
Unathibitisha kuwa, Tanzania ina mfumo mbaya wa kiutawala. Na kwa maana hiyo usitegemee kupiga hatua za maana na haraka za maendeleo ya kiuchumi & kijamii kwa kutumia mfumo huu usiowajibika kwa wananchi...
Ndiyo maana tunahitaji KATIBA MPYA YA WANANCHI itakayotupa mfumo mpya wa utawala unaowajibika kwa wananchi moja kwa moja...!
Na je, CCM inaweza kutoka madarakani ?
Absolutely, BIG YES na si muda mrefu kuanzia sasa...!!!
Ukweli ni kwamba kuitoa CCM kwa kura haiwezekani. Labda siku wananchi wenyewe waamue kuitoa tena siyo kwa maandamano ya siku 2. Lazima watu waandamane miezi hata 5 ili shughuli za kiserikali zisimame, serikali ishindwe kujiendesha ianguke.
Here you come..!!
Na kumbe unaelewa..!?? Sasa argument zako zote kule juu za nini?
Ungana na wananchi wakiongozwa na CHADEMA sasa kufanya hili litokee haraka...
Ni kweli as for now, kuwang'oa hawa jamaa [CCM] madarakani chini ya mfumo huu wa uchaguzi na utawala, HAIWEZEKANI na CHADEMA wameshaliona hili na ndiyo maana wanasema, HAKUNA UCHAGUZI MKUU 2025 UNLESS NCHI HII IMEPATA KATIBA MPYA YA WANANCHI ambayo itaunda mfumo mpya wa utawala na taasisi mpya na huru ikiwemo polisi, TISS, NEC nk nk za kusimamia uchaguzi..!
Hii mifumo iliyopo hairuhusu chaguzi huru kwa ajili ya watu kuchagua viongozi wao kwa kuzingatia vigezo huru na vya haki, bali inaweka watu uongozini na badala yake nchi inakuwa na viongozi mabwege mengi....!!
Na hili hutokea kwa kuwa triggered na aidha dini au kabila au kitu chenye uwezo wa kuunganisha watu wote.
Hapa unaonesha una akili na unawaza katika uwezo wako. It's true, nakubaliana nawe...
Lakini kwa aina ya siasa za CDM ni ngumu maana haiwezekani waluguru wa Moro wanapambania chama mwanzo mwisho halafu mbunge wa viti maalumu kutokea Moro anakuwa mchagga Joyce Minja ripota wa ITV Moro.
Watu wanaona.
Hapa umeingiza ujinga wako. Unaharibu yote mazuri machache uliyosema hapo juu...
======
Yote kwa yote CDM wameshasema hawatashiriki uchaguzi mpaka ipatikane tume huru na katiba mpya.
In short, CDM is gone. Imebaki mihemko tu.
You are 100% wrong....!!
Tatizo lako unachanganya facts na propaganda zako. Wewe si mtu huru
Nani kakudanganya chama kisiposhiriki uchaguzi kinakufa?
Unajua kuwa uhai wa chama cha siasa ni kuwa ktk mioyo na nafsi za watu?
Unafahamu kuwa CHADEMA kipo na kinaishi kwenye mioyo ya watu..?
ANC ya SOUTH AFRICA kuanzia 1960 ilikuwa completely frozen na utawala wa makaburu na ilikuwa kosa la jinai kujitambulisha kuwa wewe ni ANC member maana Mara hiyo unashitakiwa kwa ugaidi....
Kwa miaka mingi ANC haikushiriki uchaguzi chini ya makaburu na kwa hiyo hawakuwa na mbunge wala uwakilishi ktk serikali ya makaburu...
Viongozi wengi wa ANC walishitakiwa kwa makosa ya kubambikiwa ya uhaini au ugaidi na kufungwa jela mfano mzuri Nelson Mandela...
Wengine kama kinaThabo Mbeki walikimbia nchi na kuishi uhamishoni na kuendesha mapambano toka huko huko....
SWALI KWAKO; ANC ilikufa kwa sababu ilikuwa haishiriki uchaguzi, haina Diwani au mbunge....?
Unachelewa kujibu. Ngoja nikusaidie:
JIBU: Hakikufa..!
WHY?
Kwa sababu ANC ilikuwa kwenye vichwa na mioyo ya watu. Ndivyo ilivyo CHADEMA leo...
Tazama, Mandela wao yuko behind the bars kwa tuhuma za kosa la ugaidi. Si ajabu akapelekwa jela kimeno meno. Yaani hana kosa lakini makaburu weusi hawa wanaamua kumfunga tu....!!
Mkaruka, CHADEMA haitashiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa hata ule mkuu wa 2025 isipokuwa tu KATIBA MPYA YA WANANCHI iwe imepatikana. HII ndiyo agenda yao, HII ndiyo agenda ya wanànchi (labdà kasoro watu wachache dizaini yako). Na katika kupigañia mambo kama hili la KATIBA MPYA ndiyo maana CHADEMA inaishi ktk akili na mioyo ya wananchi....!!
Sasa kitu kama hiki, kitakufaje..???