Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo.
Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali.
Ndugu zangu, kulalamika hakuwezi kusaidia chochote kile zaidi ya kujiburudisha tu.
Imefika wakati hata watesi wenu wameshawasoma kwamba, ninyi hata mfanyiwe hujuma namna gani, hamtachukua hatua yoyote ile zaidi ya kwenda kwenye Vyombo vya habari, kwa hiyo, wataendelea kuwafanyia kila aina ya hujuma kwa sababu hamna meno.
Mimi nadhani kwa sasa tuchague moja kati ya Mambo mawili. Ama tuchukue hatua kali zenye maumivu makali dhidi ya uonevu au tuachane na siasa.
Kwenda kwenye Vyombo vya habari au kwenda mahakamani hakuwezi kuleta mafanikio dhidi ya uonevu bali ni kuchukua hatua kali zenye maumivu makali.
CHADEMA mnachokifanya sasa ni kama vile unamkuta jamaa anakuibia mke wako, badala ya kumshikisha adabu, wewe unamwacha jamaa anaendelea na shughuli halafu wewe unakimbilia kwenye Vyombo vya habari kulalamika. Hizo ni akili au matope?
Pia soma:Kuelekea 2025 - CHADEMA, mtalia mpaka lini?