Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wao kila likitokea tatizo au tukio wanatangaza maandamano ambayo hayafanikiwi na wanatangaza kufungua ksi ambazo sijawahi kuona zimefunguliwa yaani wanai kutokana na matukio likipita hili wanatoa tamko hewa wanasubiri tuko lingine hivyohivyo mradi siku zinaendaViongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo.
Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali.
Ndugu zangu, kulalamika hakuwezi kusaidia chochote kile zaidi ya kujiburudisha tu.
Imefika wakati hata watesi wenu wameshawasoma kwamba, ninyi hata mfanyiwe hujuma namna gani, hamtachukua hatua yoyote ile zaidi ya kwenda kwenye Vyombo vya habari, kwa hiyo, wataendelea kuwafanyia kila aina ya hujuma kwa sababu hamna meno.
Mimi nadhani kwa sasa tuchague moja kati ya Mambo mawili. Ama tuchukue hatua kali zenye maumivu makali dhidi ya uonevu au tuachane na siasa.
Kwenda kwenye Vyombo vya habari au kwenda mahakamani hakuwezi kuleta mafanikio dhidi ya uonevu bali ni kuchukua hatua kali zenye maumivu makali.
CHADEMA mnachokifanya sasa ni kama vile unamkuta jamaa anakuibia mke wako, badala ya kumshikisha adabu, wewe unamwacha jamaa anaendelea na shughuli halafu wewe unakimbilia kwenye Vyombo vya habari kulalamika. Hizo ni akili au matope?
FREEDOM, REAL FREEDOM - WEWE HUONI WATU WANATEKWA? au password imeibiwa?
Kama CHADEMA wananyanyaswa mtu pekee wa kuwapa haki Yao ni mwananchi na sio polisi Wala mahakama
Lakini CHADEMA wamefeli kuwasilisha malalamiko Yao Kwa wananchi na Sasa wananchi wamekaa pembemi wanawaangalia
Sawa hata sheria zinaruhusu haki ya kujilinda!Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo.
Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali.
Ndugu zangu, kulalamika hakuwezi kusaidia chochote kile zaidi ya kujiburudisha tu.
Imefika wakati hata watesi wenu wameshawasoma kwamba, ninyi hata mfanyiwe hujuma namna gani, hamtachukua hatua yoyote ile zaidi ya kwenda kwenye Vyombo vya habari, kwa hiyo, wataendelea kuwafanyia kila aina ya hujuma kwa sababu hamna meno.
Mimi nadhani kwa sasa tuchague moja kati ya Mambo mawili. Ama tuchukue hatua kali zenye maumivu makali dhidi ya uonevu au tuachane na siasa.
Kwenda kwenye Vyombo vya habari au kwenda mahakamani hakuwezi kuleta mafanikio dhidi ya uonevu bali ni kuchukua hatua kali zenye maumivu makali.
CHADEMA mnachokifanya sasa ni kama vile unamkuta jamaa anakuibia mke wako, badala ya kumshikisha adabu, wewe unamwacha jamaa anaendelea na shughuli halafu wewe unakimbilia kwenye Vyombo vya habari kulalamika. Hizo ni akili au matope?
Hatuwezi kuwa sawa kimtizamo, Fahamu hilo, utadefend upande chadema lakini chadema wana poor calculation, hawajui huu ni muda wa kufanya kipi? Kwa wakati gani?, ndio maana tunasema mwenyekiti amechoka apumzike, tafakari capability imezeeka.Watu kama nyie wapuuzi, hata akili zenu zimeganda. CCM wanamwaga sera, wanaruhusu Chadema wamwage sera? Si hata wakitaka kumwaga sera wanashikwa? Hata tesources, distribution mbovu, ujuavyo logistics, chadema hata wawe na billioni haitoshi kuzunguka mikoa yote ya kaskazini hayo ma V8 500 au 1000 ambayo yanaagizwa na serikali ni kwa logistics ya CCM + kuwa na watu kama nyie punguani zeros; pia inakuwa ni contributing factor. You simply don't think. All what you know is rave rage and rant!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watu kama nyie wapuuzi, hata akili zenu zimeganda. CCM wanamwaga sera, wanaruhusu Chadema wamwage sera? Si hata wakitaka kumwaga sera wanashikwa? Hata tesources, distribution mbovu, ujuavyo logistics, chadema hata wawe na billioni haitoshi kuzunguka mikoa yote ya kaskazini hayo ma V8 500 au 1000 ambayo yanaagizwa na serikali ni kwa logistics ya CCM + kuwa na watu kama nyie punguani zeros; pia inakuwa ni contributing factor. You simply don't think. All what you know is rave rage and rant!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msiba wa nani tena, ndugu yangu?Karibu Msibani,,tufarijiane.
Wa BabaMdogo Hosea hapa Mburahati.Msiba wa nani tena, ndugu yangu?