CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua

Kama CHADEMA wananyanyaswa mtu pekee wa kuwapa haki Yao ni mwananchi na sio polisi Wala mahakama

Lakini CHADEMA wamefeli kuwasilisha malalamiko Yao Kwa wananchi na Sasa wananchi wamekaa pembemi wanawaangalia
 
wao kila likitokea tatizo au tukio wanatangaza maandamano ambayo hayafanikiwi na wanatangaza kufungua ksi ambazo sijawahi kuona zimefunguliwa yaani wanai kutokana na matukio likipita hili wanatoa tamko hewa wanasubiri tuko lingine hivyohivyo mradi siku zinaenda
 
FREEDOM, REAL FREEDOM - WEWE HUONI WATU WANATEKWA? au password imeibiwa?

Unajua kwa nini vyama vya kikabila, kikanda au kidini havitakiwi?

Imani zilizomo kwenye ukabila, ukanda au udini unazijua?

Imani thabiti za kimsimgi za namna hiyo za kuwaunganisha watu wa makabila, Kanda na dini tofauti ziko wapi?
 
Kama CHADEMA wananyanyaswa mtu pekee wa kuwapa haki Yao ni mwananchi na sio polisi Wala mahakama

Lakini CHADEMA wamefeli kuwasilisha malalamiko Yao Kwa wananchi na Sasa wananchi wamekaa pembemi wanawaangalia

Wamefeli kuunda umoja wao wenyewe na hata na wananchi.

Hawajui athari za kuwaita wengine majina au kuwanyanyapaa.

Hatujifunzi hata kwa kina Kamala na kina Trump wanavyosaka uungwaji mkono na communities zote pasipo na exceptions.

Mfano: imhotep, PakiJinja, Moisemusajiografii hivi mnajua mnaowaita kobazi au wafuasi wa mnyaazi kizezeta zezeta ni wananchi na wengine ni CDM?

Au mnadhani mnapomkwaza mtu, kumbe mta share naye kipi, wapi?
 
Sawa hata sheria zinaruhusu haki ya kujilinda!
 
Hatuwezi kuwa sawa kimtizamo, Fahamu hilo, utadefend upande chadema lakini chadema wana poor calculation, hawajui huu ni muda wa kufanya kipi? Kwa wakati gani?, ndio maana tunasema mwenyekiti amechoka apumzike, tafakari capability imezeeka.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_17295963808556702.jpg
    259.9 KB · Views: 2
Nimemsikiliza kwa makini sana Kiongozi wa CHADEMA Iringa. Ametoa msimamo mkali kuhusu hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa serikali za mitaa, huko Iringa.
Nadhani huo ndo msimamo unaotakiwa kuchukuliwa na viongozi wote Nchi nzima ambao Wagombea wao wameenguliwa.
Lakini vitendo ni muhimu zaidi.
Sasa tumeanza kuamka. Huwezi kumkuta jamaa anakuibia mke wako badala ya kum---------, wewe unakimbilia kwenye vyombo vya habari kulalamika.
Kulalamika tu bila kumshikisha adabu aliyekuhujumu ni UJINGA.
Hongera sana Kiongozi wa CHADEMA Iringa.
 
Nashindwa kuamin kama n kwel hvi vitu vipo, ila kama n kwel bas wanakuwa wanafeli maana huo n uoga kiwango Cha flyover maana kila kitu unacho wewe ila kitu kidogo unahaha,chama tawala ifikie wakati waache wananchi waamuae wao ila co kuleta ubabae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…