Hili sio suala la chadema ni suala la mama Tanzania pumbaf..Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata faida gani?
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Mimi nimeshachukua hatua zangu huku niliko. Always, ukitaka kuchukua hatua kali dhidi ya dhuluma, kamwe usimwambie mtu yeyote awaye yote, yaani hata awe mke au mme wako. Chukua hatua kimya kimya, watu waone tu matokeo. Wakishayaona hayo matokeo, hakika wataacha dhuluma wenyewe tena bila shuruti. Huku kwetu wameshaiona show, kwa hiyo sidhani kama watafanya hujuma siku ya uchaguzi.Hili sio suala la chadema ni suala la mama Tanzania pumbaf..
Wewe umechukua hatua gani?!
Wananchi wakiteswa sana, na kuwa traumatized kwa muda mrefu, tena na serikali zao, na wakagundua hawana nguvu ya kupambana na serikali zao, njia pekee ya kujipunguzia machungu ni kuumizana wenyewe! Wewe unaonyesha kila dalili ya msongo,usiwalaumu chadema, tafuta nguvu za kupambqna na ccm, kwa kila Hari na nyenzo,chadema sio tatizo, wanafanya makubwa, waunge mkonoKwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata faida gani?
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Katika watu wasio itakia mema CHADEMA, na kwa Tanzania kwa ujumla, wewe utakuwa ni miongoni mwa watu hao.Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata faida gani?
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Siku itakayo tokea CHADEMA wakubali ujinga huu, hiyo ndiyo siku itakayo kuwa imeimaliza CHADEMA.CHADEMA watafute namna ya kuwafanya CCM/SERIKALI wawafuate na wawaalike kwenye meza ya majidiriano wasikubali kuwa WANYONGE.
Wewe una hoja inayo hitaji mjadala mpana. Mada inayo jitegemea kujadili hili inafaa kuanzishwa.Kwa VIOJA vya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa 2024,CHADEMA inabidi mkae chini , mjitafakari na mje na MKAKATI na MBINU NZiTO..
Ninyi ndio walau tegemeo la mustakabali wa kisiasa na haki nchini..hebu JIPANGENI
Asante MkuuKwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata faida gani?
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
dahUko sahihi mleta mada. Huu ni muda wa kuchapana na kuuwana ili tuheshimiane
Hiyo iliisha fail, watafute njia mbadala, au teseme labda wameamua KULIALIA ndio njia mbadala kwao.Siku itakayo tokea CHADEMA wakubali ujinga huu, hiyo ndiyo siku itakayo kuwa imeimaliza CHADEMA.
CHADEMA hawahitaji kualikwa kwenye meza ya uchafu wa CCM. CHADEMA inacho hitaji ni kuimarisha juhudi zake na waTanzania, ambao ndio pekee watakao iondoa madarakani CCM, itake isitake.
Hii ni kuwapa ujiko CCM, na ndicho hasa wanacho kitafuta kwa juhudi kubwa. Kuna njia bora zaidi ya huku unako kuita kuchapana,; bila ya kueleza huko kuchapana kutaanzia wapi na kutawahusu nani.Uko sahihi mleta mada. Huu ni muda wa kuchapana na kuuwana ili tuheshimiane
Tatizo la Watanzania Wengi ni kwamba wanaona huu uchafu unaofanywa na CCM as if wao hauwahusu kama Wewe ulivyoandika hapaAmini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Hizi ni akili za kitoto mno, hiki ulichoandika Ndio kina reflect niliyoyasemaUchafu huo unafanywa kwenu. Mwenyekiti ameifanyia mambo makubwa sn nchi hii, CCM imeiletea nchi mambo makubwa sn.
Hiii Idea yako niliwahi pia kuwa nayo. Hakika umesema vyema Sana sanaMimi nimeshachukua hatua zangu huku niliko. Always, ukitaka kuchukua hatua kali dhidi ya dhuluma, kamwe usimwambie mtu yeyote awaye yote, yaani hata awe mke au mme wako. Chukua hatua kimya kimya, watu waone tu matokeo. Wakishayaona hayo matokeo, hakika wataacha dhuluma wenyewe tena bila shuruti. Huku kwetu wameshaiona show, kwa hiyo sidhani kama watafanya hujuma siku ya uchaguzi.