CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.

Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?

Baada ya kulia mmepata faida gani?

Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.

Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
 
Too late, wameishameza ndoano...waliingia mkenge wa muafaka feki, wakafutiwa Kesi mbaya za jinai, wakarudi kutoka uhamishoni ambapo hadi Leo hatujuhi nini kiliwapeleka huko, wakaambiwa sio lazima kuwa na Katiba mpya wakakubali, bila kuwa na ushahidi wakaamishwa kuwa mwendazake ndio alikuwa anataka kuwamaliza!

Ukweli mbona umewahi Sana kujidhihilisha sasa,
 
Uko sahihi mleta mada. Huu ni muda wa kuchapana na kuuwana ili tuheshimiane
 
Nawashauri chadema kwamba, wajiondoe kwenye huo uchaguzi, ili wasihalalishe ushindi kwa ccm, tunajua ccm watashida mitaa yote lakin kisiasa hawatakuwa na uhalali.
 
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.

Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?

Baada ya kulia mmepata faida gani?

Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.

Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Hili sio suala la chadema ni suala la mama Tanzania pumbaf..
Wewe umechukua hatua gani?!
 
Wakati ccm wakijiandaa wao walikuwa wanamsikiliza dada poa wa amerikan juu ya maandamano, zungusha ngumi pipooo! - - - - pawaaaa 😀
 
Kwa VIOJA vya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa 2024,CHADEMA inabidi mkae chini , mjitafakari na mje na MKAKATI na MBINU NZiTO..
Ninyi ndio walau tegemeo la mustakabali wa kisiasa na haki nchini..hebu JIPANGENI
 
Hili sio suala la chadema ni suala la mama Tanzania pumbaf..
Wewe umechukua hatua gani?!
Mimi nimeshachukua hatua zangu huku niliko. Always, ukitaka kuchukua hatua kali dhidi ya dhuluma, kamwe usimwambie mtu yeyote awaye yote, yaani hata awe mke au mme wako. Chukua hatua kimya kimya, watu waone tu matokeo. Wakishayaona hayo matokeo, hakika wataacha dhuluma wenyewe tena bila shuruti. Huku kwetu wameshaiona show, kwa hiyo sidhani kama watafanya hujuma siku ya uchaguzi.
 
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.

Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?

Baada ya kulia mmepata faida gani?

Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.

Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Wananchi wakiteswa sana, na kuwa traumatized kwa muda mrefu, tena na serikali zao, na wakagundua hawana nguvu ya kupambana na serikali zao, njia pekee ya kujipunguzia machungu ni kuumizana wenyewe! Wewe unaonyesha kila dalili ya msongo,usiwalaumu chadema, tafuta nguvu za kupambqna na ccm, kwa kila Hari na nyenzo,chadema sio tatizo, wanafanya makubwa, waunge mkono
 
Hahah huwa nasema Bila LEVERAGE hutosikilizwa mezani na hata kuitwa hutoitwa.

Mnadhani kwanini HAMAS na kipigo choote wanachokipata lakini HAWAWAACHII MATEKA? Ni hao mateka wanaowapa Nafasi kuitwa kwenye MEZA ya majadiriano.

CHADEMA watafute namna ya kuwafanya CCM/SERIKALI wawafuate na wawaalike kwenye meza ya majidiriano wasikubali kuwa WANYONGE.

Watafute au wafanye kitu wawe na LEVERAGE.
 
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.

Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?

Baada ya kulia mmepata faida gani?

Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.

Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Katika watu wasio itakia mema CHADEMA, na kwa Tanzania kwa ujumla, wewe utakuwa ni miongoni mwa watu hao.
Sita shangaa sana kama si mmoja wa hao wanaopanga mipango ya kuimaliza CHADEMA ndani ya hicho chama cha CCM.
Kinachoweza kunishangaza na ushauri huu wa kijinga ni kutojuwa kwamba CHADEMA ilikwisha vuka siku nyingi sana mitego ya kizembe ya aina hii.

Anguko la CCM ni swala la muda tu sasa, na halitahitaji damu za waTanzania kumwagika kama mnavyo himiza itokee.
 
CHADEMA watafute namna ya kuwafanya CCM/SERIKALI wawafuate na wawaalike kwenye meza ya majidiriano wasikubali kuwa WANYONGE.
Siku itakayo tokea CHADEMA wakubali ujinga huu, hiyo ndiyo siku itakayo kuwa imeimaliza CHADEMA.
CHADEMA hawahitaji kualikwa kwenye meza ya uchafu wa CCM. CHADEMA inacho hitaji ni kuimarisha juhudi zake na waTanzania, ambao ndio pekee watakao iondoa madarakani CCM, itake isitake.
 
Kwa VIOJA vya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa 2024,CHADEMA inabidi mkae chini , mjitafakari na mje na MKAKATI na MBINU NZiTO..
Ninyi ndio walau tegemeo la mustakabali wa kisiasa na haki nchini..hebu JIPANGENI
Wewe una hoja inayo hitaji mjadala mpana. Mada inayo jitegemea kujadili hili inafaa kuanzishwa.

Hili siyo swala la CHADEMA tena. Hili ni swala la waTanzania wote kwa ujumla wetu. Hata huko ndani ya hiyo CCM yenyewe kutakuwa na watu wengi tu wasio afiki na upumbavu huu unaoendeshwa na genge la watu walio pachikwa kwenye nafasi maalum kutekeleza upumbavu huu.
 
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.

Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?

Baada ya kulia mmepata faida gani?

Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.

Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.
Asante Mkuu
Hilda ataandika
Pambalu ataandika
Mnyika ataandika
Lema ataandika
nk
Then what?

Mnachosha mjue
Kaeni kimya msitusumbue na malalamiko yenu..
 
Siku itakayo tokea CHADEMA wakubali ujinga huu, hiyo ndiyo siku itakayo kuwa imeimaliza CHADEMA.
CHADEMA hawahitaji kualikwa kwenye meza ya uchafu wa CCM. CHADEMA inacho hitaji ni kuimarisha juhudi zake na waTanzania, ambao ndio pekee watakao iondoa madarakani CCM, itake isitake.
Hiyo iliisha fail, watafute njia mbadala, au teseme labda wameamua KULIALIA ndio njia mbadala kwao.
Watanzania waliisha ikubali CHADEMA.

CCM/Serikali ina waondoa wagombea wao kwa hila na hawana pakwenda, wanaambiwa waende mahakamani, si ujinga huo?
 
Uko sahihi mleta mada. Huu ni muda wa kuchapana na kuuwana ili tuheshimiane
Hii ni kuwapa ujiko CCM, na ndicho hasa wanacho kitafuta kwa juhudi kubwa. Kuna njia bora zaidi ya huku unako kuita kuchapana,; bila ya kueleza huko kuchapana kutaanzia wapi na kutawahusu nani.
Kuyasema haya maneno bila ya kuyaa tafakari inayo hitajika ni rahisi sana. Kila mtu anaweza kuyasema maneno kama hayo. Hii haimsaidii yeyote kuondokana na tatizo linalo tukabili.
 
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Tatizo la Watanzania Wengi ni kwamba wanaona huu uchafu unaofanywa na CCM as if wao hauwahusu kama Wewe ulivyoandika hapa
 
Mimi nimeshachukua hatua zangu huku niliko. Always, ukitaka kuchukua hatua kali dhidi ya dhuluma, kamwe usimwambie mtu yeyote awaye yote, yaani hata awe mke au mme wako. Chukua hatua kimya kimya, watu waone tu matokeo. Wakishayaona hayo matokeo, hakika wataacha dhuluma wenyewe tena bila shuruti. Huku kwetu wameshaiona show, kwa hiyo sidhani kama watafanya hujuma siku ya uchaguzi.
Hiii Idea yako niliwahi pia kuwa nayo. Hakika umesema vyema Sana sana
 
Back
Top Bottom