Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata faida gani?
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia mpaka siku ya mwisho.
Ni heri kuchukua hatua kali zaidi na zenye maumivu makali ambapo utaumia mwaka mmoja lakini utakuwa umeleta ukombozi kamili wa miaka yote kuliko kuchukua hatua nyepesi ambapo utaumia miaka yote.