mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,517
- 6,074
Hivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je, madhani mtashinikiza tena hizo reforms kama tu kukabiliana na wanaowashima haki zenu inashindikana?
Turejee nyuma kidogo mpaka tarehe 24, watu walipigwa , watu walikamatwa , wakafedheheshwa kwa killa aina ya ubaya na maumivu, gari limekamata watu ( wengine katika makundi) , sasa hawa waliokuwa katika makundi wakapigwa na kuvunjwa miguu na mikono pamoja , yani walikuwa wanawaangalia tu wapigaji wakiwapiga mpaka kuwavunja mifupa? No, kuna point of no return yaani ama uniue ukishindwa nakuua full stop, kama katika wote hakukuwa na aliyejitetea basi ni wazi ungeni mkono juhudi za CCM na si vinginevyo.
Kama viongozi mnajua mnatafutwa kila kukicha kwa nini mtumie gari lile lile, nyumba zile zile, namba za simu zile zile, mkitegemea mko safe?mmekosa mawazo mbadala kweli?
Tunatarajia chama kina watu wenye mawazo ya namna gani ya kuovercome obstacle za police force bila kutegemea ssheria mahakama ambazo jaji ni mteuliwa. La sivyo mnaoneka hamnazo, Ndiyo maana wakina chalamila wanawakejeli ( anawauliza wako wapi waliotaka kukinukisha?) , polisi wanasema walikua katika hali ya ulinzi tu wa kawaida
Kama mlidhani ukombozi wa mwafrika kutoka koloni la kiafrika ni kazi rahisi mmepotea, acheni taarifa kwa umma na matamko mengi, haki haikuwahi patikana kwa matamko na taarifa kwa umma