Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Acha kulazimisha mabasha kwa nguvu.Kumbe ile kuhamasisha watu waende kukinukisha ilikuwa ni gheresha tu? Sawa!
Acha kulazimisha mabasha kwa nguvu.Kumbe ile kuhamasisha watu waende kukinukisha ilikuwa ni gheresha tu? Sawa!
Huyo ni G55, lazima atatee upande alioko.Kuendeleza mjadala wa namna hii ni kama kupotezeanaa muda tu. Uchaguzi ulikwishapita. Kuna viongozi wapya, wape nafasi na wao wafanye kazi za chama. Hizo unazoziita "kutofautiana hoja"; hoja za kukijenga chama au kumsaidia CCM? Kama wewe huyaoni hayo, basi tuyaache yalivyo.
Niseme wazi, unanishangaza sana na ung'ang'anizi wako wa jambo lililo wazi kama la hao G55.
Subiri hapo G55 mtakapochukua uongozi wa chama mkirudishe huko CCM. Bila shaka wakati huu mnasubiri kwa hamu kubwa CCM kuwarudishia hicho chama mkiongoze. Hiyo haitakuwa CHADEMA tena.Haulazimiki kuendelea na mjadala. Kama mnaamini kuwa criticism yeyote ni kuisaidia CCM basi hamkitakii mema chama chenu. Mnachotaka ni dictatorship na sio demokrasi kama jina la chama chenu linavyosema.
Jambo la G-55 liko wazi kwa wale wote wanaokitakia mema chama chenu. Kuwafunga mdomo ni kukigeuza chama chenu kuwa cha machawa. Lakini hilo haulioni kwa sababu umo kwenye cult.
Amandla...
Tokea mwanzo kabisa, wakati ule kuelekea kwenye uchaguzi alipokuwa halali kila mara akibandika maandishi marefu sana humu kutetea msimamo wa Mbowe, nilijuwa huyo ni mfaidika wa mipango ya CCM kuinunua CHADEMA.Huyo ni G55, lazima atatee upande alioko.
Sasa tazama mawazo ya mtu kama huyu yalivyo! Unahimiza waTanzania wakauliwe ndiyo iwe furaha yako? Tena unahimiza wafanye hivyo, hata bila ya maandalizi ya kina kujuwa kitaendelea kitu gani baada ya kuwatoa mhanga watu? Hii ni akili ya wapi!Kama mnategemea kuwa kuna siku polisi watakuwa hawana silaha ndio "mpambane" nao basi mtasubiri sana.
Hapo ndipo mnapokosea. Hao G55 ndio waliokifikisha chama chao hapo kilipo mpaka mkakitamani. Mimi naanza kuamini kuwa mmetumwa kukimaliza kabisa.Subiri hapo G55 mtakapochukua uongozi wa chama mkirudishe huko CCM. Bila shaka wakati huu mnasubiri kwa hamu kubwa CCM kuwarudishia hicho chama mkiongoze. Hiyo haitakuwa CHADEMA tena.
Mbona upo sahihi kabisa. Hao G55 ndio hakika waliokiuza chama kwa Samia. Hawa hawakuwa na mchango wowote wa maana wakati CHADEMA ikivuma, kama enzi zile za Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu.Hapo ndipo mnapokosea. Hao G55 ndio waliokifikisha chama chao hapo kilipo mpaka mkakitamani. Mimi naanza kuamini kuwa mmetumwa kukimaliza kabisa.
Amandla...
Mkuu watu kama ninyi ndio vikwazo vikubwa katika haya mapambanoHivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je, madhani mtashinikiza tena hizo reforms kama tu kukabiliana na wanaowashima haki zenu inashindikana?
Turejee nyuma kidogo mpaka tarehe 24, watu walipigwa , watu walikamatwa , wakafedheheshwa kwa killa aina ya ubaya na maumivu, gari limekamata watu ( wengine katika makundi) , sasa hawa waliokuwa katika makundi wakapigwa na kuvunjwa miguu na mikono pamoja , yani walikuwa wanawaangalia tu wapigaji wakiwapiga mpaka kuwavunja mifupa? No, kuna point of no return yaani ama uniue ukishindwa nakuua full stop, kama katika wote hakukuwa na aliyejitetea basi ni wazi ungeni mkono juhudi za CCM na si vinginevyo.
Kama viongozi mnajua mnatafutwa kila kukicha kwa nini mtumie gari lile lile, nyumba zile zile, namba za simu zile zile, mkitegemea mko safe?mmekosa mawazo mbadala kweli?
Tunatarajia chama kina watu wenye mawazo ya namna gani ya kuovercome obstacle za police force bila kutegemea ssheria mahakama ambazo jaji ni mteuliwa. La sivyo mnaoneka hamnazo, Ndiyo maana wakina chalamila wanawakejeli ( anawauliza wako wapi waliotaka kukinukisha?) , polisi wanasema walikua katika hali ya ulinzi tu wa kawaida
Kama mlidhani ukombozi wa mwafrika kutoka koloni la kiafrika ni kazi rahisi mmepotea, acheni taarifa kwa umma na matamko mengi, haki haikuwahi patikana kwa matamko na taarifa kwa umma
Ndio zenu hizo. Ku twist mambo anayosema mtu. Wapi nimehimiza watu wakauliwe. Nilichokuambia ni kuwa Tanpol siku zote watakuwa na silaha kwa hiyo kungojea mpaka watakapokuwa hawana silaha ni kujidanganya. Hayo maandalizi unayotaka kufanya ni yapi?Sasa tazama mawazo ya mtu kama huyu yalivyo! Unahimiza waTanzania wakauliwe ndiyo iwe furaha yako? Tena unahimiza wafanye hivyo, hata bila ya maandalizi ya kina kujuwa kitaendelea kitu gani baada ya kuwatoa mhanga watu? Hii ni akili ya wapi!
Napinga kwa sababu uwezo wa kuzuia uchaguzi hamna. Na mpaka sasa hivi hamjaweka wazi namna mtakavyohakikisha hamna uchaguzi. Njia zilizopo ni mbili tu:Sasa mbona unapinga "kuzuia uchaguzi bila kuwepo na marekebisho kwenye taratibu za uchaguzi", huoni kuwa huko ndiko kwenye mapambano zaidi ya hayo unayolilia ya kuwatoa tambiko kwa CCM wanachama na wapenzi wa CCM ili nyinyi mpate nafasi za kuingilia mlango wa nyuma?
Msio na subira ni nyie. Hivi kweli mlitegemea CCM itakubali mabadiliko ya katiba miezi 7 kabla ya uchaguzi. Wenye njaa ni nyie ambao mko tayari kuwalaghai raia wa nchi hii ili tu mlambe pesa za tone tone ( ambazo pamoja na ahadi yenu ya transparency mnawaficha wanachama wenu kuhusu mapato na matumizi yake). Bado unaniwekea maneno mdomoni. Wapi nilipo himiza fujo?Nyinyi sasa mmejipambanua waziwazi kabisa kuwa ni maadui wakubwa wa mabadiliko. Nyinyi ni zaidi hata ya CCM; kwa sababu inaonekana mnayo njaa kubwa zaidi kiasi kwamba hata subira hamna. Hamtumii tena akili kufikiri matokeo ya mnayohimiza yafanyike, huku nyinyi mkiwa pembeni mkishangilia.
Mbona umechelewa? Maana wanaonidharau ni wengi sana.Nimeanza kukudharau.
Unajichanganya na haujui ulisemalo. Chadema ilivuma sana baada ya Slaa kuondoka. Ilikuwa inakisumbua chama tawala ndani na nje ya Bunge. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Mbona upo sahihi kabisa. Hao G55 ndio hakika waliokiuza chama kwa Samia. Hawa hawakuwa na mchango wowote wa maana wakati CHADEMA ikivuma, kama enzi zile za Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu.
CHADEMA ambayo ilikuwa chini ya Mbowe aliyesambaratishwa na Samia ingepata mwanya wa kuwa serikalini, hawa G55 wangekuwa ni wabovu zaidi hata kuliko CCM ilivyo sasa hivi.
Na wanafanya hivyo kwa haki kabisa. Kwa bahati mbaya nilichelewa kutambua hilo. Nilidhani kuwa pengine una hata chembe ndogo tu ya 'objectivity' ndani ya akili yako, kumbe hakuna kitu!Mbona umechelewa? Maana wanaonidharau ni wengi sana.
Na wanaofanya hivyo hata hawajanibadilisha hata kidogo. Wengi wao huishia kunitukana kama unavyojaribu kufanya. Hata hivyo sidhani kama unajua maana ya objectivity. Unadhani objectivity ni kukubaliana na wewe hata kama ni wazi haujui usemacho.Na wanafanya hivyo kwa haki kabisa. Kwa bahati mbaya nilichelewa kutambua hilo. Nilidhani kuwa pengine una hata chembe ndogo tu ya 'objectivity' ndani ya akili yako, kumbe hakuna kitu!
Na sasa kumbe unajitambulisha kuwa "Fundi Utumbo"! Hongera kwa ukweli huu.
I'm done with you.Na wanaofanya hivyo hata hawajanibadilisha hata kidogo. Wengi wao huishia kunitukana kama unavyojaribu kufanya. Hata hivyo sidhani kama unajua maana ya objectivity. Unadhani objectivity ni kukubaliana na wewe hata kama ni wazi haujui usemacho.
Amandla...
Good riddance. Siku nyingine hautaniomba nichangie bandiko lako.I'm done with you.
There is no value in engaging you any further.
Mimi na familia yangu tutaenda kupiga kura kwa iyari na tunaomba polisi na jwtz watuwekee usalama wa kutosha.Hivi siku ya kupiga kura, polisi watakuja kuwatoa watu majumbani wakapige kura? mana wamefanikiwa kutumia nguvu kushurutisha raia kufuata matakwa ya watawala
kampigie baba arudi bungeni, koo za wanufaika na mfumo waende, bebeni na wajukuu mliowaandikisha nchi huru hiiMimi na familia yangu tutaenda kupiga kura kwa iyari na tunaomba polisi na jwtz watuwekee usalama wa kutosha.
Hakuna lolote nyie, ni longolongo na porojo za mitandaoni tu. Hata lisu asipochanganya za zake atajiumiza bure tu.Acha kulazimisha mabasha kwa nguvu.