Mkuu una silaha za aina yoyote ili tujibu mashambulizi, sisis bado tunategemea hamasa wakati wanaotuumiza wako na silaha. Tupe vitendea kazi maana tayari hamasa tunayo.Hivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je, madhani mtashinikiza tena hizo reforms kama tu kukabiliana na wanaowashima haki zenu inashindikana?
Turejee nyuma kidogo mpaka tarehe 24, watu walipigwa , watu walikamatwa , wakafedheheshwa kwa killa aina ya ubaya na maumivu, gari limekamata watu ( wengine katika makundi) , sasa hawa waliokuwa katika makundi wakapigwa na kuvunjwa miguu na mikono pamoja , yani walikuwa wanawaangalia tu wapigaji wakiwapiga mpaka kuwavunja mifupa? No, kuna point of no return yaani ama uniue ukishindwa nakuua full stop, kama katika wote hakukuwa na aliyejitetea basi ni wazi ungeni mkono juhudi za CCM na si vinginevyo.
Kama viongozi mnajua mnatafutwa kila kukicha kwa nini mtumie gari lile lile, nyumba zile zile, namba za simu zile zile, mkitegemea mko safe?mmekosa mawazo mbadala kweli?
Tunatarajia chama kina watu wenye mawazo ya namna gani ya kuovercome obstacle za police force bila kutegemea ssheria mahakama ambazo jaji ni mteuliwa. La sivyo mnaoneka hamnazo, Ndiyo maana wakina chalamila wanawakejeli ( anawauliza wako wapi waliotaka kukinukisha?) , polisi wanasema walikua katika hali ya ulinzi tu wa kawaida
Kama mlidhani ukombozi wa mwafrika kutoka koloni la kiafrika ni kazi rahisi mmepotea, acheni taarifa kwa umma na matamko mengi, haki haikuwahi patikana kwa matamko na taarifa kwa umma
Haihitaji silaha mkuu, silaha ni organisation yenu ndani ya chama, kwanza kuna mamluki wanawauza, hawa pigeni chini, msihamasishane kwa uwazi kama mnavyofanya, zen shikamaneni muwe kitu kimoja.Mkuu una silaha za aina yoyote ili tujibu mashambulizi, sisis bado tunategemea hamasa wakati wanaotuumiza wako na silaha. Tupe vitendea kazi maana tayari hamasa tunayo.
Ushirikiano si kitu cha shuruti. Hata hivyo hawakamatwi wala kupigwa na wanacdm wenzao, bali polisi. Ni kama unataka kuonyesha unajua tatizo lilipo, lakini uko kiupotoshaji zaidi.Haihitaji silaha mkuu, silaha ni organisation yenu ndani ya chama, kwanza kuna mamluki wanawauza, hawa pigeni chini, msihamasishane kwa uwazi kama mnavyofanya, zen shikamaneni muwe kitu kimoja.
Kwani chadema ina wanachama wangapi? Sasa kwa nini mnakuwa scattered kiasi kwamba mnawapa mwanya adui zenu?
Mkuu , hakuna haja ya silaha bali hamna ushirikiano
Hivi zile silaha alizosema mwenyekiti hazijafika tu? Au alikuwa anawachombeza tu ili kuamsha hamasa?Mkuu una silaha za aina yoyote ili tujibu mashambulizi, sisis bado tunategemea hamasa wakati wanaotuumiza wako na silaha. Tupe vitendea kazi maana tayari hamasa tunayo.
Hazijafika, nadhani zikifika atakupa taarifa uje utupe mrejesho.Hivi zile silaha alizosema mwenyekiti hazijafika tu? Au alikuwa anawachombeza tu ili kuamsha hamasa?
Kwa hiyo hata wewe kwenye kukinukisha haitakuwepo utaniacha peke yangu ili nikinukishe halafu nije kuwapa mrejesho? Kama ni hivyo basi na mimi nimeghairi somo. Kumbe mnataka kutukwevesha tu.Hazijafika, nadhani zikifika atakupa taarifa uje utupe mrejesho.
Nyie wasichana mmbaki nyumbani hadi tuikomboe nchi.Kwa hiyo hata wewe kwenye kukinukisha haitakuwepo utaniacha peke yangu ili nikinukishe halafu nije kuwapa mrejesho? Kama ni hivyo basi na mimi nimeghairi somo. Kumbe mnataka kutukwevesha tu.
Mimi ninawasiwasi sana kuwa waliowapiga wanachama wa CHADEMA sio polisi tu , nadhani kuna mchanganyiko wa UVCCM na wajeda kwa mgongo wa uniform za polisi, kwa nini Muliro awakane?Ushirikiano si kitu cha shuruti. Hata hivyo hawakamatwi wala kupigwa na wanacdm wenzao, bali polisi. Ni kama unataka kuonyesha unajua tatizo lilipo, lakini uko kiupotoshaji zaidi.
Aliekwambia chadema ipo scattered, ni nani, ?Haihitaji silaha mkuu, silaha ni organisation yenu ndani ya chama, kwanza kuna mamluki wanawauza, hawa pigeni chini, msihamasishane kwa uwazi kama mnavyofanya, zen shikamaneni muwe kitu kimoja.
Kwani chadema ina wanachama wangapi? Sasa kwa nini mnakuwa scattered kiasi kwamba mnawapa mwanya adui zenu?
Mkuu , hakuna haja ya silaha bali hamna ushirikiano
Eti wanawaambia wafuasi wasibebe chochote zaidi ya kufunga kitambaa cheupe, kuchukua chupa ya maji na simu!Hivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je, madhani mtashinikiza tena hizo reforms kama tu kukabiliana na wanaowashima haki zenu inashindikana?
Turejee nyuma kidogo mpaka tarehe 24, watu walipigwa , watu walikamatwa , wakafedheheshwa kwa killa aina ya ubaya na maumivu, gari limekamata watu ( wengine katika makundi) , sasa hawa waliokuwa katika makundi wakapigwa na kuvunjwa miguu na mikono pamoja , yani walikuwa wanawaangalia tu wapigaji wakiwapiga mpaka kuwavunja mifupa? No, kuna point of no return yaani ama uniue ukishindwa nakuua full stop, kama katika wote hakukuwa na aliyejitetea basi ni wazi ungeni mkono juhudi za CCM na si vinginevyo.
Kama viongozi mnajua mnatafutwa kila kukicha kwa nini mtumie gari lile lile, nyumba zile zile, namba za simu zile zile, mkitegemea mko safe?mmekosa mawazo mbadala kweli?
Tunatarajia chama kina watu wenye mawazo ya namna gani ya kuovercome obstacle za police force bila kutegemea ssheria mahakama ambazo jaji ni mteuliwa. La sivyo mnaoneka hamnazo, Ndiyo maana wakina chalamila wanawakejeli ( anawauliza wako wapi waliotaka kukinukisha?) , polisi wanasema walikua katika hali ya ulinzi tu wa kawaida
Kama mlidhani ukombozi wa mwafrika kutoka koloni la kiafrika ni kazi rahisi mmepotea, acheni taarifa kwa umma na matamko mengi, haki haikuwahi patikana kwa matamko na taarifa kwa umma
Anawakana ili kulisafisha jeshi la polisi, nalo pia hajafanikiwa. Na kama ni uvccm, basi ni kwa uratibu wa jeshi la polisi.Mimi ninawasiwasi sana kuwa waliowapiga wanachama wa CHADEMA sio polisi tu , nadhani kuna mchanganyiko wa UVCCM na wajeda kwa mgongo wa uniform za polisi, kwa nini Muliro awakane?
Watu wa aina ya huyo ni kupoteza muda kuwajibu.Mkuu una silaha za aina yoyote ili tujibu mashambulizi, sisis bado tunategemea hamasa wakati wanaotuumiza wako na silaha. Tupe vitendea kazi maana tayari hamasa tunayo.
Inajulikana kikundi hicho kiko chini ya uongozi wa Awadh; yule polisi aliyewavuruga viongozi wa CHADEMA kule Mbeya mwaka jana. Hicho ni kikundi maalum, kisichokuwa rasmi ndani ya jeshi la polisi. Hawa hawawajibiki kwa viongozi wa polisi moja kwa moja, ndiyo maana Muliro hana lolote la kusema juu yake.Anawakana ili kulisafisha jeshi la polisi, nalo pia hajafanikiwa. Na kama ni uvccm, basi ni kwa uratibu wa jeshi la polisi.