Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama;
1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano.
2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa.
3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa
4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni kutukana tu (Mdude na Lema)
 
Ww leo ndio uko zamu kuhusu cdm nini? Naona kila baada ya dakika chache ni uzi wa cdm! Na umepangiwa kuweka nyuzi ngapi kwa leo? Je utakuwa na uzi mwingine wa kuongelea chama kingine cha upinzani, au nogwa ya ccm ni cdm tu?
 
5.
6.
7.
9
8.
9.
10 .

Endelea kujaza namba hapo juu maana umeandika mambo manne tu mkuu ..ongezea ongezea
 
Cc:Benjamin Netanyahu
 
toa mifano y hayo uliyoyaandika.

By the way CCM sera yenu ni Umasikini kwa wote, chadema is not in that belief!
 
..kamati kuu ya Chadema iwe inakutana IKULU ya Dsalaam.

..serikali ibebe gharama za vikao hivyo.

..Ccm pamoja na ruzuku ya BIL 3.2 kila mwezi bado vikao vya Kamati Kuu na NEC vinafanyika IKULU.
 
Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama;
1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano.
2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa.
3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa
4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni kutukana tu (Mdude na Lema)

Magari ni yao binafsi chama sio cha mtu. Wewe unaongelea chama au viongozi binafsi. Unataka watoe mali zote za familia kwa chama! Hata Trump anachangiwa uchaguzi US na ni billionaire
 
toa mifano y hayo uliyoyaandika.

By the way CCM sera yenu ni Umasikini kwa wote, chadema is not in that belief!
Hivi wewe makamu mwenyekiti ulichangia kweli?sisi ambao sio chadema tulimchangia kwa maana ni Mtanzania mwenzetu pia hata kama anaropoka sana pamoja na kuwa anazo akili nyingi pia.
 
Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama;
1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano.
2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa.
3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa
4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni kutukana tu (Mdude na Lema)
Mdude kapotelea wapi sijui
 
5.
6.
7.
9
8.
9.
10 .

Endelea kujaza namba hapo juu maana umeandika mambo manne tu mkuu ..ongezea ongezea
5: Wanaiga mfumo wa kuendesha chama mfano Bawacha ambao wemejeuka kuwa vibaka wa kuchoma nguo hadharani🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama;
1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano.
2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa.
3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa
4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni kutukana tu (Mdude na Lema)
UWT mpka mpate akili wajinga nyie
 
Ww leo ndio uko zamu kuhusu cdm nini? Naona kila baada ya dakika chache ni uzi wa cdm! Na umepangiwa kuweka nyuzi ngapi kwa leo? Je utakuwa na uzi mwingine wa kuongelea chama kingine cha upinzani, au nogwa ya ccm ni cdm tu?
Na wewe upo zamu ya kujibu mashambulizi ulipwa bei gani Kwa kila jibu?
 
Back
Top Bottom