Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Acheni kuwa mnaongea pumba bana
👇
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ilikuwa na mashiko lkn ilikosewa (ilikuwa na technical error) ndiyo unaweza kuirejesha. Lkn ikiwa haina mashiko (michosho) hata ikirejeshwa itatupwa tenaKwani application ikiwa struck out huwezi kufile tena?
Basi sawa mkuu. Acha tusubiri mwisho wa mchezoAhaaa. So ni suala la locus standi amabayo ni ishu ndogo sana kisheria.
Vp tunaongozwa na Utawala wa Sheria?Acheni kuwa mnaongea pumba bana
👇View attachment 2270817
Au tumeshatekwa hawataki kututangazia?Wapi mahakama imetamka sio wabunge?
Kwani application ikiwa struck out huwezi kufile tena?
Acheni kuwa mnaongea pumba bana
👇View attachment 2270817
Wapi mahakama imetamka sio wabunge?
Alisema anasubiri hukumu ya mahakama,siku ya pili imepita amejikausha tu kama hajui kinachoendelea!
Sasa kutoweka Registered trustees ukaandika Board of trustees we unaonaje hapa?
baada ya kuwa struckout si outmaticay ubunge wao umekoma hadi hapo wataapo file upya?Kwani application ikiwa struck out huwezi kufile tena?
Spika akiwaondoa akina mdee bungeni, bunge litakosa uhalali wa kuendelea kuwepo.Acheni kuwa mnaongea pumba bana
👇View attachment 2270817
Mzimu unawatesa watu sana.Vp tunaongozwa na Utawala wa Sheria?
Au Kuna kundi la watu mahala wameshatuweka mtu kati?
Au Bado yule jamaa hajafa?
Spika akiwaondoa akina mdee bungeni, bunge litakosa uhalali wa kuendelea kuwepo.
Kwa hiyo kuliko bunge kukosa uhalali wa uwepo wake, bora spika afanye figisu figisu kama wanavyofanyiwa wavaa lubega kule mbugani
Labda anasubiri maelekezo toka ngazi za juu.Alisema anasubiri hukumu ya mahakama,siku ya pili imepita amejikausha tu kama hajui kinachoendelea!
Jiwe alikuwa muuaji, mwizi na muongo kama shetani. Kuja kusahaulika kwake itachuka moingo na miongo. Lakini kama taifa tumepata funzoMzimu unawatesa watu sana.
Yaani kwa sasa ni utawala mwingine ila wengi hawakutegemea kuona yanayotokea ila wanamtupia lawama marehemu utadhani chama alichokuwepo ni tofauti na hiki.
Mpandisha uzi una akili timamu?Acheni kuwa mnaongea pumba bana
👇View attachment 2270817