CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Acheni kuwa mnaongea pumba bana
👇
Screenshot_20220624-184243.jpg
 
Majaji wamesema maombi ya akina Halima yalikuwa michosho tu.

That the application is frivolous, vexatious and an abuse of court
process.
 
Sasa kutoweka Registered trustees ukaandika Board of trustees we unaonaje hapa?

Kasome hukumu jaji alichosema. Huwezi kushtaki board of trustees baadala ya registered trustees. Yani Halima na Wenzake vilaza kweli.
 
Kwani application ikiwa struck out huwezi kufile tena?
baada ya kuwa struckout si outmaticay ubunge wao umekoma hadi hapo wataapo file upya?
Katiba iheshimiwe kinachofanyika ni uvunjifu wa katiba ulio dhahiri
 
Vp tunaongozwa na Utawala wa Sheria?
Au Kuna kundi la watu mahala wameshatuweka mtu kati?
Au Bado yule jamaa hajafa?
Mzimu unawatesa watu sana.

Yaani kwa sasa ni utawala mwingine ila wengi hawakutegemea kuona yanayotokea ila wanamtupia lawama marehemu utadhani chama alichokuwepo ni tofauti na hiki.
 
Spika akiwaondoa akina mdee bungeni, bunge litakosa uhalali wa kuendelea kuwepo.
Kwa hiyo kuliko bunge kukosa uhalali wa uwepo wake, bora spika afanye figisu figisu kama wanavyofanyiwa wavaa lubega kule mbugani

Ungetaja basi na kipengele husika cha sheria au katiba siyo kupayuka kama vile umepakia kimpumu.
 
Mzimu unawatesa watu sana.

Yaani kwa sasa ni utawala mwingine ila wengi hawakutegemea kuona yanayotokea ila wanamtupia lawama marehemu utadhani chama alichokuwepo ni tofauti na hiki.
Jiwe alikuwa muuaji, mwizi na muongo kama shetani. Kuja kusahaulika kwake itachuka moingo na miongo. Lakini kama taifa tumepata funzo
 
Back
Top Bottom