Hiyo mantiki hapa hai apply?Sasa huoni mantiki ya katazo hilo kweli?
TLP+CCM Huyu Mrema hawachanganyi watanzania anawachanganya warundi tuWakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!
View attachment 1584270
Sasa marufuku iko wapi hapo?Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!
View attachment 1584270
Wasipokuwa makini watajiabisha mbele ya watoto mwaka huu. Yetu macho na masikioHa ha
Sasa ; Chama tawala kinashinda kwa kishindo!
hawa wasomi wanahangaika na nin? Upinzani c umeshakufa?
Kuanzia mkurugenzi hadi msajili wanarukaruka nin
CHADEMA waliwahamasisha wapi wakati walikatazwa kufanya siasa?Hao walishafuata sheria inavyosema! Unajua Chadema wanafeli sehemu nyingi sana. Kwa mfano mwaka jana wakati wa kuboresha daftari la wapigakura CCM ilikuwq inahamasisha wanachama wao kwenda kuboresha na kujiandikisha wakati Chadema walikuwa wanawakataza wanachama wao wasishiriki wakitegemea kuwa kutakuwa na Katiba mpya na kwamba hawatashiriki uchaguzi bila Katiba mpya. Sasa uchaguzi umekuja tena hawakumbuki Katiba mpya. Wakishindwa watalalamika kuwa wameibiwa wakati hawakuwaandaa wanachama na washabiki wao!! Chadema ni shidaaa!!
Na cheyo naye anamsupport nani vile?Hivi Mrema alimsupport nani ?
vipi kuhusu mrema na cheyo kumnadi magufuli yenyewe ni halali kwa kuwa mmeshakiri kuwa yeye ni yesu wa chato?Uchaguzi huchagui MTU unachagua kwanza Sera ya chama husika
Sasa ukisema chagua chadema wewe ukiwa ACT wazalendo wakati unajua kabisa Sera za Chadema na ACT wazalendo ziko tofauti na Maalim Seif wa ACT wazalendo hanadi Sera za Chadema mikutano yake ya kampeni na Lisu wa Chadema hanadi Sera za ACT wazalendo hivi ni nini hicho kama sio upumbavu wag mivyama miwili na wagombea wao?
Msajili yuko sahihi hii kitu ilimpa shida hata Lowasa akiwa UKAWA hakujua anadi Sera gani ya chama kipi kikichomo kwenye UKAWA akaishia tu kuongelea vipau mbele vyake binafsi kama yeye
Hao ACT wazalendo na Chadema ni matapeli wa kisiasa
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!
View attachment 1584270
Ulitusikia wana CCM tukishobokea walichokisema?vipi kuhusu mrema na cheyo kumnadi magufuli yenyewe ni halali kwa kuwa mmeshakiri kuwa yeye ni yesu wa chato?
Watu tulijiandudikisha 2015 mpaka Sasa vituo vyetu ni vile vile.Hao walishafuata sheria inavyosema! Unajua Chadema wanafeli sehemu nyingi sana. Kwa mfano mwaka jana wakati wa kuboresha daftari la wapigakura CCM ilikuwq inahamasisha wanachama wao kwenda kuboresha na kujiandikisha wakati Chadema walikuwa wanawakataza wanachama wao wasishiriki wakitegemea kuwa kutakuwa na Katiba mpya na kwamba hawatashiriki uchaguzi bila Katiba mpya.
Sasa uchaguzi umekuja tena hawakumbuki Katiba mpya. Wakishindwa watalalamika kuwa wameibiwa wakati hawakuwaandaa wanachama na washabiki wao!! Chadema ni shidaaa!!
Bado hujajibu swali tena swali rahisi sana "je mwanachama wa tlp (mrema) na wa UDP (cheyo) kumnadi mgombea wa ccm ni halali ila mgombea wa ACT wazalendo kumnadi mgombea wa CHADEMA au wa CHADEMA kumnadi wa ACT ni haramu? hilo tu ndio swali wala sijataka kujua sera zenuUlitusikia wana CCM tukishobokea walichokisema?
Two wrongs don't make a right
Sera zetu tofauti na zao ndio maana huwezi ukatusikia tukisema lolote kwa hayo waliyosema tunaendelea kunadi tu sera zetu za CCM hutatusikia tukimtaja Mrema wala Cheyo kwenye kampeni zetu
Sisi tunajielewa na tunaelewa tofauti za vyama ziko Kwenye sio kwe sura ya kichwa cha Lisu na ya Maalim Seif
hv unajua maana ya mantikiSasa huoni mantiki ya katazo hilo kweli?
Katazo la msajili umlielewa? Kapiga marufuku vyama vyoteBado hujajibu swali tena swali rahisi sana "je mwanachama wa tlp (mrema) na wa UDP (cheyo) kumnadi mgombea wa ccm ni halali ila mgombea wa ACT wazalendo kumnadi mgombea wa CHADEMA au wa CHADEMA kumnadi wa ACT ni haramu? hilo tu ndio swali wala sijataka kujua sera zenu
Sasa wananchi wanachanganywa vipi wakati wanajua hii ni ACT na hii ni CHADEMA. Kwanini wana wasiwasi na hivyo vyama, kwani vipi mbona TLP ya Mrema na UDP ya Cheyo mbona walimsupport John Magufuli? Haya mambo ya kijinga yanashusha status ya nchi yetu kwa ujinga wa CCM. Tangu lini CCM na huyo msajili wanawaonea huruma wananchi wa Tanzania???Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!
View attachment 1584270
===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.
Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.
Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”
Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”
“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”
“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”
Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-
This country is going backwards because of such people who are looking after their stomachs.Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.