Uchaguzi 2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.

Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.

Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!

===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.

Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”

Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”

“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”

“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”

Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-

Tukiacha mambo ya ushabiki kisiasa,,,,
Tathmini inaonyesha 60% mpaka 65% ya wakiristo nchini watapigia kura CHADEMA
Kurata turufi ambayo CCM wanaitegemea ni ya waswahili waislamu wenzangu
Lissu pamoja na kuzungumzia dhulma za magufuli kwa mashekh zetu amefanikiwa kutupata wachache alhamdulillah
Mtu ambae anaweza Kuja kusomba kura zetu sooote ni Maalim Seif
Maalim seif Leo akienda Tanga au Lindi. Mtwara. Tabora akae kidogo kwenye kijiwe cha kahawa na alkasuswi...
Akutane na zitto kabwe....kule kigoma
Waswahili Woote
Takbirr
Allah Akbar
CCM madhalim
Magufuli Hana chake
 
Yote haya kisa mtiti wa Lissu na Maalim Self.

ccm hebu acheni uwoga...!!
 
Kwahio wakati wa Kampeni mgombea hawezi kuona kwamba hii kazi siiwezi/siitaki au fulani anaweza kuifanya vema kuliko mimi kwahio tumpe yeye...., kipi bora niendelee kuwaambia wananchi wanichague mimi wakati sitaki au niwaambie nani anafaa kuliko mimi?
Ina maana huko mtu mpaka unagombea URAIS unakuwa hujajipima?
This is very dangerous.
Ndo maana Msajili anasema huko ni kuwachanganya wananchi.
 
Anatusemea ?, mimi kama mmoja wa wananchi sijachanganywa?, watakaochanganywa watapigia kura mtu ambaye yupo kama hayupo..., ndio picha yake itakuja na jina lake lipo (ile yeye/chama wamesema yule mwingine ndio anatosha kwa sasa) kwanini tuwalazimishe
 
wewe ni muelewa, lakini kumbuka wananchi wengi hawana uelewa kama wako. hao ndio watakaochanganyikiwa watakapoona aliyempigia kampeni mwenzake naye yupo kwenye karatasi la wagombea.
 
wee
Kwa sababu hata akina ZItto na Mbowe wanapanda ndege na kupita kwenye maflyover yanayojengwa kutokana na sera za CCM.
Sasa akina Seif na Lisu wanaombana kura wakati wote vipofu? hawana hata offisi tu.
zwazwa mara ya mwisho kupanda ndege na mumeo ilikuwa lini.. na kama ulipanda ulilipiwa na bwanawako au ulipanda bure?
 
Anatusemea ?, mimi kama mmoja wa wananchi sijachanganywa?, watakaochanganywa watapigia kura mtu ambaye yupo kama hayupo..., ndio picha yake itakuja na jina lake lipo (ile yeye/chama wamesema yule mwingine ndio anatosha kwa sasa) kwanini tuwalazimishe
No mimi sisemei ki siasa nasema kwa kua waislamu wenzangu wengi ni darasa la saba...
Hatujaona udhalimu wa magufuli
Lakini maalim seif akiongea tutamsikiliza maana kila kufuli ina funguo zake
Kama CHADEMA wanamuunga mkono maalim sefu na seif nae akimuunga mkono atatupata wengi sio wote
Usitegemee Seleman Jafo au Ummy Mwalimu atamuelewa Seif
Hao hawana machungu ya mashekh wanaoteswa na magufuli mradi mikono Yao inaenda kinywani
Don't judge me wrong this is a reality
 
wewe ni muelewa, lakini kumbuka wananchi wengi hawana uelewa kama wako. hao ndio watakaochanganyikiwa watakapoona aliyempigia kampeni mwenzake naye yupo kwenye karatasi la wagombea.
Sasa uchanganyikiwa kwetu haimhusu msajili sisi tunasema hatuwezi kuchanganyikiwa
Wewe ni nani ututukane
Mwambie asajili vyama...... hata Tukiwa vichaa kabisa tutaenda mirembe
 
Hao walishafuata sheria inavyosema! Unajua Chadema wanafeli sehemu nyingi sana. Kwa mfano mwaka jana wakati wa kuboresha daftari la wapigakura CCM ilikuwq inahamasisha wanachama wao kwenda kuboresha na kujiandikisha wakati Chadema walikuwa wanawakataza wanachama wao wasishiriki wakitegemea kuwa kutakuwa na Katiba mpya na kwamba hawatashiriki uchaguzi bila Katiba mpya.

Sasa uchaguzi umekuja tena hawakumbuki Katiba mpya. Wakishindwa watalalamika kuwa wameibiwa wakati hawakuwaandaa wanachama na washabiki wao!! Chadema ni shidaaa!!
Kwa hiyo milioni 29 ni wana CCM?
Kweli ni bora utembee uchi kuliko kunyofolewa ubongo.
 
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.

Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.

Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!

===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.

Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”

Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”

“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”

“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”

Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-

Ya kumnadi mgombea wa CDM au ACT sioni kosa hapo mwananchi atachanganyikiwa kivipi yaani Mccm wameshikwa pabaya
 
Kwa hiyo milioni 29 ni wana CCM?
Kweli ni bora utembee uchi kuliko kunyofolewa ubongo.
Mimi sijawahi kua chadema
Bado ninakadi ya CCM
LAKINI
Pombe hapati kura yangu wala ya Familia yangu
Kanana na Makamba ni CCM magufuli No
Watoto na wajukuu wa Nyerere ni CCM magufuli NO
Mzee Warioba CCM Magufuli NO
Tupo wengi Sana
Hata Lumumba na Chimwaga wapo
 
Hao walishafuata sheria inavyosema! Unajua Chadema wanafeli sehemu nyingi sana. Kwa mfano mwaka jana wakati wa kuboresha daftari la wapigakura CCM ilikuwq inahamasisha wanachama wao kwenda kuboresha na kujiandikisha wakati Chadema walikuwa wanawakataza wanachama wao wasishiriki wakitegemea kuwa kutakuwa na Katiba mpya na kwamba hawatashiriki uchaguzi bila Katiba mpya.

Sasa uchaguzi umekuja tena hawakumbuki Katiba mpya. Wakishindwa watalalamika kuwa wameibiwa wakati hawakuwaandaa wanachama na washabiki wao!! Chadema ni shidaaa!!
Ni taasisi ipi inatakiwa kuhamasisha watu kuhusu suala la daftari ya wapiga kura? NEC au vyama vya siasa ?
 
Ina maana huko mtu mpaka unagombea URAIS unakuwa hujajipima?
This is very dangerous.
Ndo maana Msajili anasema huko ni kuwachanganya wananchi.

..yapo maeneo wananchi wanapigia vyama tofauti kura za uraisi, ubunge, na udiwani.

..hii habari ya kusema chadema na act wanawachanganya wananchi ni uzushi tu.
 
Kwa mara ya kwanza huenda tangu dunia iumbwe tume ya uchaguzi tunaiona inachanganyikiwa kwa niaba ya wapiga kura! Matokeo ya kura za Rais Tanzania hazihojiwi na mtu yoyote duniani hivyo wanayomamlaka ya kutangaza mshindi badala ya kila siku kutoa kauli tata.
 
Hawana hata aibu , inawahusu nini sasa , waendelee tu na ujuha wao jamani CCM mmekataliwa nchi nzima hata mfanyeje vipi .
IMG_20200929_104954.jpg
 
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.

Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.

Yani hii ofisi ya msajili imekuja na kituko cha aina yake!

===
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza ahudhuria kipindi cha Clouds360 kinachoendeshwa na Clouds Media na kuongea masuala mbalimbali wakati huu nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Aidha, katika mahojiano hayo, Sisty aliulizwa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo suala zima la Vyama vya Siasa kuungana na kushirikiana katika uchaguzi.

Akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala hili Mh. Sisty Nyahoza alisema “Vyama pekee vimewahi kuungana ni ASP na TANU viliungana ikawa CCM. Kilichofanyika 2015 kwa jina la UKAWA ule ni ushirikiano kwamba wote mnabakia mna status ya kisheria kama chama cha siasa halafu mnashirikiana kwenye shughuli za kisiasa”

Ameongeza kuwa "Kisiasa kuna ushirikiano wa aina mbili, wa kwanza ni Coalition mnashirikiana kwa malengo ya kushinda uchaguzi. Halafu kuna Alliance mnashirikiana katika mambo yanayojitokeza tu katika siasa halafu kila mmoja anaendelea na shughuli zake, Coalition imewekewa masharti”

“Ni vyema haya mambo ya ushirikiano vile vyama vinataka kushirikiana viingie mkataba wakubaliane sera zetu zitakuwa zipi, tutawekaje wagombea, tutaundaje Serikali, tutagawanaje vipi ruzuku. Baada ya hayo makubaliano wayalete kwa msajili wa vyama vya siasa”

“Waliokuwa wameshasema wanaunga mkono wa chama kingine wanachopaswa wanatakiwa wabakie kama walivyobakia baada ya uteuzi wa Wagombea, baada ya uteuzi wa wagombea Urais Agosti 25 hawawezi kuteua tena mgombea Urais”

Aidha akiweka bayana kuhusu ushirikiano unaofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ACT Wazalendo Sisty Nyahoza amesema “Wao (CHADEMA, ACT) hawapaswi kwenda hadharani na kumsapoti mgombea yule kwa sababu ukiwa unamnadi mgombea wa chama kingine na wewe una chama na sera zako, wananchi hawajui baada ya uchaguzi mtaunda Serikali moja au utatekeleza ya kwako. Mnawachanganya wananchi”-

Kwani kampeni maana yake nini? Tukizubaa watazuia hata kwa watu binafsi kumpigia debe mgombea.

Muhimu sana kukataa kuchezeshwa ngoma yao. Kila kanuni, taratibu na sheria zao mpya hazina maslahi na mwingine bali wao tu:

Uchaguzi 2020 - Mshindani anapoasisi sheria kwa washindani wengine kufuata
 
Back
Top Bottom