Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Sio wajawazito tu Wazanzibari huko visiwani wanatibiwa bureeee, vipimo bureeeee,kama una mtu yupo Unguja muulize.
Tanganyika inahitaji uhuru wa pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wajawazito tu Wazanzibari huko visiwani wanatibiwa bureeee, vipimo bureeeee,kama una mtu yupo Unguja muulize.
📌📌📌Hii dunia sio mahali salama kwa MASIKINI!!!Utakuta watu kama nyie mnaosema fanyeni kazi wazazi wenu hawana hata elfu hamsini ndio mlizaliwa mazingira ya umasikini sana lakini mmebahatika kuwa na vijisenti sasa mnawaponda wengine. Wazazi wako walipanga kukuzaa wewe au ulitokea tu wakitarajia ungekuja na baraka zako?
Hamna dada yako, binamu yako au ndugu yako yeyote aliewahi kudungwa mimba bila kupanga? Kumbuka ni wanyama tu wanao mate kwa lengo la kuzaa, sio wanadamu. Huenda hata mimba yako haikupangwa pia.Wanataka kuleta watoto wateseke bila sababu
Chadema ndio ina wajawazito? Kule Kenya raia wangeisha lianzisha bila kungoja Chama. Wacha ujinga kuzania kila kitu lazima kianzishwe na chamaJambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika.
Lakini pale ambapo inatokea viongozi wateuliwa wa CCM kama Chalamila wanatoa kauli za kubeza wananchi, kwa mfano huyu mama aliempigia simu Chalamila kusema analazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili wamhudumie kujifungua, halafu Chalamila anamjibu kama hhutaki kutoa hiyo hela chukua bajaji nenda nyumbani kwako mwambie mumeo achukue kisu na mkasi akutoe mtoto, hizo ni kauli zilizokosa staha, zenye kuonyesha kiburi na majivuno ya uongozi wa CCM kwa wananchi wake.
Sababu ni kwamba Watanzania tunatozwa kodi katika maeneo mengi sana, lakini fedha hizi za kodi zetu zinaonekana kuwanufaisha watu wachache kama kina Chalamila katika matumizi yao ya anasa kutia ndani na mambilioni wanayotumia kama posho, kununua magari ya kifahari nk. Na hata kama wananchi, pamoja na mlolongo wa kodi wanazokatwa, wanatakiwa kuchangia gharama za hospitali, wananchi wanapohoji kitu lazima ajibiwe kwa heshima na ustaarabu.
Tumuulize Chalamila; jibu alilompta huyu mama linaendama na imani ya CCM kwamba kila mtu anastahili heshima? Au huo ndio msimamo wa Raisi Samia ambaye nae ni mwanamke anaejua maana ya kujifungua? Vipi wakati Samia akijifungua mwanae Abdul angepewa jibu la namna hii na mkuu wa mkoa wa wakati huo?
Huduma za kujifungua ni mojawapo ya huduma dharula ambazo hazipaswi kuwekewa masharti ya leta hiki na kile kabla hatujakuhudumia. Hizi tozo nyingi mnazotutoza elekezeni huko badala ya kujibadilishia magari makubwa ya serikali kila baada ya miaka mitatu.
Ni wazi hawa watu wa CCM wamelewa madaraka na kujiamini kwamba hata wakiwatukana wanachi na kuwakebehi, wataendelea kuwa madarakani. Chadema, vitu kama hivi vitumieni kuwaamsha wananchi juu ya ukweli wa aina ya watu wanaojiita viongozi wao
View attachment 3214787
Angalia pia: https://www.jamiiforums.com/data/video/5941/5941542-128f28144764987ee2bf3cd653521c1d.mp4
Point safi sana Mkuu. Hata mie nilivyoelewa ni kwamba uchangiaji kwenye huduma za wajawazito ulikoma, kwa tozo na misaada toka nje kupunguza vifo vya kina mama na watoto. Ndio maana majibu ya huyu mvuta bangi yanatia karaha sana!
Basi hujui siasa wewe.Chadema ndio ina wajawazito? Kule Kenya raia wangeisha lianzisha bila kungoja Chama. Wacha ujinga kuzania kila kitu lazima kianzishwe na chama
Kama tungekuwa tumezaliwa mazingira hayo tungekuwa tunatia huruma kama wewe na kusubiri kudra za serikali.Utakuta watu kama nyie mnaosema fanyeni kazi wazazi wenu hawana hata elfu hamsini ndio mlizaliwa mazingira ya umasikini sana lakini mmebahatika kuwa na vijisenti sasa mnawaponda wengine. Wazazi wako walipanga kukuzaa wewe au ulitokea tu wakitarajia ungekuja na baraka zako?
Kwaiyo inabidi msisitize chadema watoe elimu ya kujitambua na sio siasa za kibwege kama hizoHongera wewe basi uliezaliwa katika familia inayojitambua kifedha na yenye mipango!
Mwenye email ya huyu Mkuu wa WHO amtumie hiyo clip ya Chalamila amwambie alivyodanganywa na viongozi wahuni wa Tanzania, hela zote za msaada kwa wajawazito zimenunua mabasi ya CCM!😀View attachment 3214822
News Single|Ministry of Health
www.moh.go.tz
Huyo hapo week iliyopita tu alikuwa anamfanyia mazingaombwe mkurugenzi wa WHO wana huduma nzuri ya uzazi na wamepunguza vifo.
Siku chache baadae, mkuu wa mkoa baada ya bange zake anatoa kejeli kwa raia.
Huko serikalini sijui kama kuna hata mmoja ataiona pepo unafiki wa hawa watu sio wa dunia hii.
KIla mtoto anakuja na baraka yake! Kwanza umesahau tuliambiwa tuzae tu, tufyatue? Si hao hao kina Chalamila walisema tufanye hivyo?Wewe huna elfu 5 ya groves huyo mtoto utamlisha Nini?
Ni ujinga mkubwa mtu unajijua hohehae na bado unashindwa kutumia CONDOM ukazuia kupata zambi ya kuja kutesa kizazi chako.Wanataka kuleta watoto wateseke bila sababu
Ni lugha imetumika vibaya tu, watu wasifurahie tu ngono, wawajibike na kinachofuata baada ya hapo.Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika.
Lakini pale ambapo inatokea viongozi wateuliwa wa CCM kama Chalamila wanatoa kauli za kubeza wananchi, kwa mfano huyu mama aliempigia simu Chalamila kusema analazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili wamhudumie kujifungua, halafu Chalamila anamjibu kama hhutaki kutoa hiyo hela chukua bajaji nenda nyumbani kwako mwambie mumeo achukue kisu na mkasi akutoe mtoto, hizo ni kauli zilizokosa staha, zenye kuonyesha kiburi na majivuno ya uongozi wa CCM kwa wananchi wake.
Sababu ni kwamba Watanzania tunatozwa kodi katika maeneo mengi sana, lakini fedha hizi za kodi zetu zinaonekana kuwanufaisha watu wachache kama kina Chalamila katika matumizi yao ya anasa kutia ndani na mambilioni wanayotumia kama posho, kununua magari ya kifahari nk. Na hata kama wananchi, pamoja na mlolongo wa kodi wanazokatwa, wanatakiwa kuchangia gharama za hospitali, wananchi wanapohoji kitu lazima ajibiwe kwa heshima na ustaarabu.
Tumuulize Chalamila; jibu alilompta huyu mama linaendama na imani ya CCM kwamba kila mtu anastahili heshima? Au huo ndio msimamo wa Raisi Samia ambaye nae ni mwanamke anaejua maana ya kujifungua? Vipi wakati Samia akijifungua mwanae Abdul angepewa jibu la namna hii na mkuu wa mkoa wa wakati huo?
Huduma za kujifungua ni mojawapo ya huduma dharula ambazo hazipaswi kuwekewa masharti ya leta hiki na kile kabla hatujakuhudumia. Hizi tozo nyingi mnazotutoza elekezeni huko badala ya kujibadilishia magari makubwa ya serikali kila baada ya miaka mitatu.
Ni wazi hawa watu wa CCM wamelewa madaraka na kujiamini kwamba hata wakiwatukana wanachi na kuwakebehi, wataendelea kuwa madarakani. Chadema, vitu kama hivi vitumieni kuwaamsha wananchi juu ya ukweli wa aina ya watu wanaojiita viongozi wao
View attachment 3214787
Angalia pia: https://www.jamiiforums.com/data/video/5941/5941542-128f28144764987ee2bf3cd653521c1d.mp4
Namna nzuri ya kufundisha kwa vitendo ni kuwaacha wapambane na hali zao.Elfu 50 sio elfu tano. Watanzania wengi sana bado hawana elimu ya kutambua ukiwa huna uwezo usizae sana au usizae kabisa - bado wanaishi kwa filosofia kwamba kila mtoto anakuja na baraka zake. Kwa hiyo viongozi wanapaswa kuchululia level yao ya kuelimika into context.
Mbona wanafurahia u-semi illiteracy wao wa kisiasa kwenye kupiga kura?
Wanadamu sio wanyama kwamba ngono ni tendo la kuzaa tu. Kuna mimba za kutotarajia. Wewe na mimi huenda mimba zetu hazikutarajiwa. Kwani wewe ulishawahi muuliza mama yako kama mimba yako aliipanga akakuhakikishia kuwa ndivyo ilivyokuwa?Ni lugha imetumika vibaya tu, watu wasifurahie tu ngono, wawajibike na kinachofuata baada ya hapo.
Huu msemo ndo maskini wote walimezeshwa😂😂😂KIla mtoto anakuja na baraka yake!
Hapana. Huo ni mtazamo wa Ki-CCM wasiojali wananchi. Bado wananchi wa Tanzania zaidi ya 60% ambao hawahusianishi kuzaa na hali za kipato chao. Bado kwa kaya nyingi za Tanzania wana msimamo kuwa kila mtoto anakuja na baraka zakeNamna nzuri ya kufundisha kwa vitendo ni kuwaacha wapambane na hali zao.