CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.

Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.

Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Una uelewa wa jinsi wagombea katika vyama tofauti na CCM wanavyopatikana?
 
Ni ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.

Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.

Mimi napendekeza 2025 Chadema imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.

Maendeleo hayana vyama!
Uchochezi tulisha kubaliana kumwaachia king'aa na badluck &co, Sasa sijui kwanini unafukua makaburi🤔.Huo ni zaidi ya uchochezi ujue.
 
Kwani passport ya kwanza ilipatikanaje na ingine inashindikanaje?Kwani utaratibu mtu akipoteza passport umekaaje?Punguza unywaji gongo bila kula hata msapulo.
Wewe unajua maana ya " kupoteza" passport?

Tafuta baharia mmoja akuelimishe hata Le mutuz tu atakusaidia.
 
Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.

Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.

Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.

Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].

Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
 
Chadema ya sasa hivi ni octopus. Inakwenda kotekote tu bila mwelekeo maalum. Siku zote ni makosa mtu mmoja kukaa na madaraka kwa muda mrefu sana. Mifano ipo mingi sana duniani kuwa absolute power corrupts.
 
Back
Top Bottom