Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIMEANDIKA SANA KUHUSU HILI HITAJI LA MUHIMU! MBOWE TAKE ACTION.......Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba Chadema imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu.
Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya television kilio hiki kitapungua makali yake. Ukweli ni kwamba UCHAGUZI ujao wananchi wanahamu Sana na nyinyi na njia mojawapo ya kuwafikia kwa urahisi ni kuhakikisha mnaonekana katika mikutano yenu ya hadhara. Nawaomba muda ni sasa na si kesho kwani kesho mtakuwa mmechelewa. Hakuna ubishi UCHAGUZI ujao utakuwa na ushindani mkali na Wa tija kulingana na Hali inayopitia nchi kwasasa.
Nimewaandikia Chadema Uzi huu kwasababu katika vyama shindani vilivyopo nawaona nyinyi ndiyo chama pekee chenye mwelekeo na nia njema kwa Taifa.
Nimewaangalia katika maeneo yafuatayo:
1. Coverage. Mpo vizuri
2.leadership structure. Mpo vizuri.
3. Propaganda. Mpo vizuri.
4. Party cohesiveness.mpo vizuri
5. Inspiration. Mpo vizuri
6. Direction. Mpo vizuri
7. Agenda setting. Mpo vizuri.
8. Political man ouvre .mpo vizuri.
Fanyieni kazi mambo haya.
1. Kabla ya kumpa mtu mic hakikisheni anatembea kwenye content zenu za chama.
2. Kama kuna tofauti kati yenu na makundi mengine kama sauti ya Watanzania msiweke hadharani tofauti hizo. Mnawapa nguvu washindani wenu Sana. Kama kuna wakati Chadema mnahitaji umoja basi ni wakati huu.
3. Kuna wakati Watanzania Wana waamini Sana lakini mnajichanganya wenyewe kwa kumshambulia Magufuli. Chadema hapa mnafeli. Magufuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania kama Rais mzalendo. Magufuli hayupo Tena Duniani, acheni kumzungumza kwa mabaya yake kwani hamtashindana naye Tena popote. Tumieni fursa yake ya kupendwa kutengeneza chama. Hapa msibwatuke tafadhali ni lazima mjue hasa politics is the game of Dynamics. 2025 mkitumia vizuri fursa ya Magufuli nawaona white house.
Over.
Tanzania kwanza, chama baadae
Ikiwezekana hata tv stationNI kama Chadema hakiko serious kukiondoa CCM madarakani. Ni kama kimeamua tu kuwa chama Cha upinzani lakini si kutaka kushika dola! Kinawwudhi wapenda mageuzi.
Yapo mambo kadhaa ambayo kiukweli kimefanya vizuri na kufanikiwa na kinastahili pongezi.
Kikiwa hakijilikani sana chini ya Dk. Slaa Chadema kilianzisha programu ya kuwashika wanafunzi wa vyuo vikuu ambao waliporudi majumbani "walimwaga simu" kwa wanavijiji kuhusu demokrasia. Ikumbukwe wasomi huaminika sana vijijini. Sumu hii ilizaa uelewa mkubwa kiasi cha Serikali kupiga marufuku siasa vyuoni. Lakini iliwaongezea Chadema kuzama mioyoni mwa Watanzania wengi hususan vijana.
Chadema kilitumia vibaya tangazo la UKUTA. Hii ilikuwa ni fursa muhimu kukiondoa CCM madarakani hata kama damu ingemwahika. Hakuna ukombozi bila ya damu. Kinachomwagiwa damu Mashariki ya Kati baina ya Israeli na Palestina ni ukombozi.
Programu ya Chadema Msingi imekieneza mno Chadema nchini. Kongole kwa waliobuni jambo hilo. Lakini nchi hii ni kubwa mno ndugu zangu. Hamkufika kila mahali na kwa kila mtu.
Nawashauri kwa sasa tumieni fedha kidogo kuanzisha Kituo Cha Redio. Tafiti nyingi zinaonesha Watanzania 67% hupata taarifa kupitia redio. Msihadaike na social media. Matangazo ya urembo kwenye smartphones ni mbwembwe tu. Ni muhimu lakini msidhani mama yangu kule kijijini anaweza kupangusa simu janja kumuona Mbowe kwenye chopa. Sipingi matumizi ya smartphones kueneza chama lakini mjiulize mnawafikia wangapi?
Redio hata Mzee pale Kijiji akiwa shambani anapalilia lakini pembeni anayo karedio kake anapata somo la Uraia. Hapo ndipo CCM inapopatia wapiga kura.
Acheni mbwembwe nendeni kijijini kupitia redio kuvuna watu mijini tayari wamesharevuka. Sasa muwe na operesheni "Chadema Vijijini". Tokeni town tayari mnajulikana.
Msihadaike na mikutano mikubwa ya kudai Katiba Mpya. Kupitia redio mtatoa elimu juu ya Katiba Mpya saa 24 na mtaeleweka. Mkutano mmoja mkubwa hautoshi. Mliwahi kumiliki gazeti la Tanzania Daima lakini nalo halikutosha maana lilitoa nakala 10000 kwa Watanzania 60m. Nawaambia anzisheni radio station.
Kuna ushindi ambao hata mwizi wa kura anaogopa na hii hutokana na wingi wa kura unaoweza kutokana na uelewa wa mabadiliko. Hivi mnadhani huko kijijini wazee wangu wanamjua Mdude Nyangali? Nendeni vijijini kupitia redio mnakiondoa CCM madarakani asubuhi sana.
Nimelipigia kelele sana hili...Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.
Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana.
Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama kidogo. Buy an existing TV company if you can
Badala ya kuanzisha TV wao Wamejazana kukodisha Chopa 😀Nimelipigia kelele sana hili...
Tatizo lako ni hilo hilo na la tumehuru. Ukweli ni kwamba vyombo vya habarihavipi kura, ila wajumbe wa tume kila mtu anayo kura moja moja tu. Utashindwa kwa kura si kwa tume. Kuna TV 19 sasa hivi hapa Tanzania, TV ya umma ni TBC pekee, yaani 1 out of 19. Kuna BBC na CNN na DW zote hizi si za CCM. Ni sawa kulalamika hivi ili ujifariji mara pale kura zitakapohesabiwa kuwa Magufuli 83% tundulissu 17%. Too bad.Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.
Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana.
Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama kidogo. Buy an existing TV company if you can
Hili neno!, angalia hili ni bandiko la lini Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.

hivyo alipokuja Mwamba wa Kaskazi nilisema Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!17. Sasa ili kuwafikia Watanzania wote na kuwaamsha waliolala, Chadema haiwezi kuwafikia Watanzania wote kwa kutegemea mikutano ya hadhara na mass media za wengine. Chadema lazima wawe na mass media yake ambayo ita propagate the message of changing the mindset ya Watanzania. Chadema wana all the resource kumiliki media yake lakini very unfortunately they are myopic, hawana vision ya kuona mbali kuangalia nje ya box and see a bigger picture. Hawajui kupanga priorities zao. Bei ya gari moja tuu la M4C linatosha kununua transmitter ya Digital ya redio na TV. Chadema bila media yake, ni kutwanga maji kwenye kinu, CCM ina media yake na TV yake TBCCM, radio zake na magazeti yake, Chadema bila media yake, ikulu wataendelea kuisikia tuu kwenye bomba, 2015 ni CCM tena! .
Wasalaam.
Paskali
Wanabodi,
Ukipiga hesabu ya jumla ya ruzuku yote ambayo Chadema imekuwa ikipokea, ukajumlisha na zile fedha za Sabodo alizoipa Chadema kujenga ofisi za makao makuu zenye hadhi, na kulinganisha ruzuku hiyo imekuwa ikifanyia nini, utakubaliana na mimi, kuwa fedha hiyo, ingetosha kabisa kujenga jengo jingine la maana na lenye hadhi kwenye eneo la kutosha. Hali hii imetokana na upangaji mbovu wa vipaumbele vyake, hali iliyopelekea matumizi mabovu ya ruzuku, kama yalivyofafanuliwa kwenye ripoti ya CAG.
Mabadiliko hayo chanya ya ujio wa Lowassa sio tuu kwa Chadema kumiliki jengo lake lenyewe, bali pia Chadema itamiliki media zake yenyewe kikiwepo kituo chake cha Redio na Televisheni pamoja na magazeti yake yenyewe, kwa sababu Lawassa hapo alipo tayari anamiliki by proxy, familia kubwa ya media, yenye vituo vya Redio, TV na magazeti lukuki!, hivyo sasa pia vitatumiwa kuisupport Chadema kwa kuanzia tuu, wakati mchakato wa umiliki rasmi wa vyombo vyake yenyewe ukiendelea!.
Ama kweli mgeni njoo, mwenyeji apone!.
Hongera sana Lowassa!.
Hongera Chadema.
Ikulu 2015 ni ya UKAWA!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Wanaamini katika nguvu ya ummma hawana sababu ya kumiliki vyombo vya habari kwani wanao watu wanaoweza ropoko chochote kile kitakacho ,mfano Lema na Lissu ni vyombo vya habari toshaVyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.
Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana.
Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama kidogo. Buy an existing TV company if you can
Sikio la kufa halisikii dawa.Nimelipigia kelele sana hili...
NI kama Chadema hakiko serious kukiondoa CCM madarakani. Ni kama kimeamua tu kuwa chama Cha upinzani lakini si kutaka kushika dola! Kinawwudhi wapenda mageuzi.
Nawashauri kwa sasa tumieni fedha kidogo kuanzisha Kituo Cha Redio. Tafiti nyingi zinaonesha Watanzania 67% hupata taarifa kupitia redio. Msihadaike na social media. Matangazo ya urembo kwenye smartphones ni mbwembwe tu. Ni muhimu lakini msidhani mama yangu kule kijijini anaweza kupangusa simu janja kumuona Mbowe kwenye chopa. Sipingi matumizi ya smartphones kueneza chama lakini mjiulize mnawafikia wangapi?
Redio hata Mzee pale Kijiji akiwa shambani anapalilia lakini pembeni anayo karedio kake anapata somo la Uraia. Hapo ndipo CCM inapopatia wapiga kura.
Acheni mbwembwe nendeni kijijini kupitia redio kuvuna watu mijini tayari wamesharevuka. Sasa muwe na operesheni "Chadema Vijijini". Tokeni town tayari mnajulikana.
Msihadaike na mikutano mikubwa ya kudai Katiba Mpya. Kupitia redio mtatoa elimu juu ya Katiba Mpya saa 24 na mtaeleweka. Mkutano mmoja mkubwa hautoshi. Mliwahi kumiliki gazeti la Tanzania Daima lakini nalo halikutosha maana lilitoa nakala 10000 kwa Watanzania 60m. Nawaambia anzisheni radio station.
Kuna ushindi ambao hata mwizi wa kura anaogopa na hii hutokana na wingi wa kura unaoweza kutokana na uelewa wa mabadiliko. Hivi mnadhani huko kijijini wazee wangu wanamjua Mdude Nyangali? Nendeni vijijini kupitia redio mnakiondoa CCM madarakani asubuhi sana.
Hili neno!, angalia hili ni bandiko la lini Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.
Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana.
Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama kidogo. Buy an existing TV company if you can
hivyo alipokuja Mwamba wa Kaskazi nilisema Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!17. Sasa ili kuwafikia Watanzania wote na kuwaamsha waliolala, Chadema haiwezi kuwafikia Watanzania wote kwa kutegemea mikutano ya hadhara na mass media za wengine. Chadema lazima wawe na mass media yake ambayo ita propagate the message of changing the mindset ya Watanzania. Chadema wana all the resource kumiliki media yake lakini very unfortunately they are myopic, hawana vision ya kuona mbali kuangalia nje ya box and see a bigger picture. Hawajui kupanga priorities zao. Bei ya gari moja tuu la M4C linatosha kununua transmitter ya Digital ya redio na TV. Chadema bila media yake, ni kutwanga maji kwenye kinu, CCM ina media yake na TV yake TBCCM, radio zake na magazeti yake, Chadema bila media yake, ikulu wataendelea kuisikia tuu kwenye bomba, 2015 ni CCM tena! .
Wasalaam.
Paskali
Wanabodi,
Ukipiga hesabu ya jumla ya ruzuku yote ambayo Chadema imekuwa ikipokea, ukajumlisha na zile fedha za Sabodo alizoipa Chadema kujenga ofisi za makao makuu zenye hadhi, na kulinganisha ruzuku hiyo imekuwa ikifanyia nini, utakubaliana na mimi, kuwa fedha hiyo, ingetosha kabisa kujenga jengo jingine la maana na lenye hadhi kwenye eneo la kutosha. Hali hii imetokana na upangaji mbovu wa vipaumbele vyake, hali iliyopelekea matumizi mabovu ya ruzuku, kama yalivyofafanuliwa kwenye ripoti ya CAG.
Mabadiliko hayo chanya ya ujio wa Lowassa sio tuu kwa Chadema kumiliki jengo lake lenyewe, bali pia Chadema itamiliki media zake yenyewe kikiwepo kituo chake cha Redio na Televisheni pamoja na magazeti yake yenyewe, kwa sababu Lawassa hapo alipo tayari anamiliki by proxy, familia kubwa ya media, yenye vituo vya Redio, TV na magazeti lukuki!, hivyo sasa pia vitatumiwa kuisupport Chadema kwa kuanzia tuu, wakati mchakato wa umiliki rasmi wa vyombo vyake yenyewe ukiendelea!.
Ama kweli mgeni njoo, mwenyeji apone!.
Hongera sana Lowassa!.
Hongera Chadema.
Ikulu 2015 ni ya UKAWA!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba Chadema imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu.
Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya television kilio hiki kitapungua makali yake. Ukweli ni kwamba UCHAGUZI ujao wananchi wanahamu Sana na nyinyi na njia mojawapo ya kuwafikia kwa urahisi ni kuhakikisha mnaonekana katika mikutano yenu ya hadhara. Nawaomba muda ni sasa na si kesho kwani kesho mtakuwa mmechelewa. Hakuna ubishi UCHAGUZI ujao utakuwa na ushindani mkali na Wa tija kulingana na Hali inayopitia nchi kwasasa.
Nimewaandikia Chadema Uzi huu kwasababu katika vyama shindani vilivyopo nawaona nyinyi ndiyo chama pekee chenye mwelekeo na nia njema kwa Taifa.
Nimewaangalia katika maeneo yafuatayo:
1. Coverage. Mpo vizuri
2.leadership structure. Mpo vizuri.
3. Propaganda. Mpo vizuri.
4. Party cohesiveness.mpo vizuri
5. Inspiration. Mpo vizuri
6. Direction. Mpo vizuri
7. Agenda setting. Mpo vizuri.
8. Political man ouvre .mpo vizuri.
Fanyieni kazi mambo haya.
1. Kabla ya kumpa mtu mic hakikisheni anatembea kwenye content zenu za chama.
2. Kama kuna tofauti kati yenu na makundi mengine kama sauti ya Watanzania msiweke hadharani tofauti hizo. Mnawapa nguvu washindani wenu Sana. Kama kuna wakati Chadema mnahitaji umoja basi ni wakati huu.
3. Kuna wakati Watanzania Wana waamini Sana lakini mnajichanganya wenyewe kwa kumshambulia Magufuli. Chadema hapa mnafeli. Magufuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania kama Rais mzalendo. Magufuli hayupo Tena Duniani, acheni kumzungumza kwa mabaya yake kwani hamtashindana naye Tena popote. Tumieni fursa yake ya kupendwa kutengeneza chama. Hapa msibwatuke tafadhali ni lazima mjue hasa politics is the game of Dynamics. 2025 mkitumia vizuri fursa ya Magufuli nawaona white house.
Over.
Tanzania kwanza, chama baadae
Hili neno!, angalia hili ni bandiko la lini Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.
Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana.
Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama kidogo. Buy an existing TV company if you can
hivyo alipokuja Mwamba wa Kaskazi nilisema Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!17. Sasa ili kuwafikia Watanzania wote na kuwaamsha waliolala, Chadema haiwezi kuwafikia Watanzania wote kwa kutegemea mikutano ya hadhara na mass media za wengine. Chadema lazima wawe na mass media yake ambayo ita propagate the message of changing the mindset ya Watanzania. Chadema wana all the resource kumiliki media yake lakini very unfortunately they are myopic, hawana vision ya kuona mbali kuangalia nje ya box and see a bigger picture. Hawajui kupanga priorities zao. Bei ya gari moja tuu la M4C linatosha kununua transmitter ya Digital ya redio na TV. Chadema bila media yake, ni kutwanga maji kwenye kinu, CCM ina media yake na TV yake TBCCM, radio zake na magazeti yake, Chadema bila media yake, ikulu wataendelea kuisikia tuu kwenye bomba, 2015 ni CCM tena! .
Wasalaam.
Paskali
Wanabodi,
Ukipiga hesabu ya jumla ya ruzuku yote ambayo Chadema imekuwa ikipokea, ukajumlisha na zile fedha za Sabodo alizoipa Chadema kujenga ofisi za makao makuu zenye hadhi, na kulinganisha ruzuku hiyo imekuwa ikifanyia nini, utakubaliana na mimi, kuwa fedha hiyo, ingetosha kabisa kujenga jengo jingine la maana na lenye hadhi kwenye eneo la kutosha. Hali hii imetokana na upangaji mbovu wa vipaumbele vyake, hali iliyopelekea matumizi mabovu ya ruzuku, kama yalivyofafanuliwa kwenye ripoti ya CAG.
Mabadiliko hayo chanya ya ujio wa Lowassa sio tuu kwa Chadema kumiliki jengo lake lenyewe, bali pia Chadema itamiliki media zake yenyewe kikiwepo kituo chake cha Redio na Televisheni pamoja na magazeti yake yenyewe, kwa sababu Lawassa hapo alipo tayari anamiliki by proxy, familia kubwa ya media, yenye vituo vya Redio, TV na magazeti lukuki!, hivyo sasa pia vitatumiwa kuisupport Chadema kwa kuanzia tuu, wakati mchakato wa umiliki rasmi wa vyombo vyake yenyewe ukiendelea!.
Ama kweli mgeni njoo, mwenyeji apone!.
Hongera sana Lowassa!.
Hongera Chadema.
Ikulu 2015 ni ya UKAWA!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Actually, Tundu Lissu ni GENIOUS. Ila hawezi kufurukuta kwa waliomzunguka.Wanaamini katika nguvu ya ummma hawana sababu ya kumiliki vyombo vya habari kwani wanao watu wanaoweza ropoko chochote kile kitakacho ,mfano Lema na Lissu ni vyombo vya habari tosha
Bwna moshi wewe ni wa kaskazini unaonaje mkaitisha harambee kwa ajili ya kmchangia kamanda mbowe ili cdm ianzishe TV yake?Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM.
Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana.
Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama kidogo. Buy an existing TV company if you can
WAZO ZURI SANAKwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu.
Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya television kilio hiki kitapungua makali yake.
Ukweli ni kwamba UCHAGUZI ujao wananchi wanahamu Sana na nyinyi na njia mojawapo ya kuwafikia kwa urahisi ni kuhakikisha mnaonekana katika mikutano yenu ya hadhara.
Nawaomba muda ni sasa na si kesho kwani kesho mtakuwa mmechelewa. Hakuna ubishi UCHAGUZI ujao utakuwa na ushindani mkali na Wa tija kulingana na Hali inayopitia nchi kwasasa.
Nimewaandikia Chadema Uzi huu kwasababu katika vyama shindani vilivyopo nawaona nyinyi ndiyo chama pekee chenye mwelekeo na nia njema kwa Taifa.
Nimewaangalia katika maeneo yafuatayo:
1. Coverage. Mpo vizuri
2. Leadership structure. Mpo vizuri.
3. Propaganda. Mpo vizuri.
4. Party cohesiveness.mpo vizuri
5. Inspiration. Mpo vizuri
6. Direction. Mpo vizuri
7. Agenda setting. Mpo vizuri.
8. Political man ouvre .mpo vizuri.
Fanyieni kazi mambo haya.
1. Kabla ya kumpa mtu mic hakikisheni anatembea kwenye content zenu za chama.
2. Kama kuna tofauti kati yenu na makundi mengine kama sauti ya Watanzania msiweke hadharani tofauti hizo. Mnawapa nguvu washindani wenu Sana. Kama kuna wakati Chadema mnahitaji umoja basi ni wakati huu.
3. Kuna wakati Watanzania Wana waamini Sana lakini mnajichanganya wenyewe kwa kumshambulia Magufuli. Chadema hapa mnafeli. Magufuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania kama Rais mzalendo. Magufuli hayupo Tena Duniani, acheni kumzungumza kwa mabaya yake kwani hamtashindana naye Tena popote.
Tumieni fursa yake ya kupendwa kutengeneza chama. Hapa msibwatuke tafadhali ni lazima mjue hasa politics is the game of Dynamics. 2025 mkitumia vizuri fursa ya Magufuli nawaona white house.
Over.
Tanzania kwanza, chama baadae