CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,815
MKUTANO WA HADHARA

CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.

Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha

Wananchi wote mnakaribishwa!
 
Mnatakiwa muelewe wazi kabisa kwamba CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa kura na Mwananchi yoyote yule katika nchi hii. Eleweni Jambo hili tafadhalini sana.

Haya yote mnayofanya kama vile kufanya mikutano ya hadhara, kupiga kampeni ya uchaguzi, n.k. ni sawa na kujisumbua nafsi zenu tu, mnapoteza muda na fedha zenu bure kabisa.
 
MKUTANO WA HADHARA

CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.

Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha

Wananchi wote mnakaribishwa!
Kwahiyo agenda za kikao ni ufisadi?
 
Elezeni sera zenu kwa wananchi na ambavyo mtawaletea maendeleo mambo ya ufisadi waachieni TAKUKURU
 
MKUTANO WA HADHARA

CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.

Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha

Wananchi wote mnakaribishwa!
Good
 
Mungu Ibariki CHADEMA [emoji1545][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa unashabikia humu kuwa Magufuli awakandamize kwasababu ni ngome ya Chadema.

Nini kimekukuta ndugu?
Sio kweli nilikua nakemea maandamano yaluyokua yanapoteza muda wa uzalishaji na kudumaza uchumi wa mkoa kwa kuufanya usiwe sehemu salama ya uzalishaji.

Hoja walozokuwa wanahamasishana zinajibika bila vurugu.

Hili la bandari ni nyeti mno kwani linagusa maslahi ya Taifa kwa vizazi na vizazi.
 
Bora kupoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga .sukuma gang wanapata tabu sana
 
Walisahau ule msemo wa kutesa kwa zamu.
Nawaona Sukuma gangz wote wamekuwa wakosoaji wakubwa wa Raisi aliyepo wakati wao walikuwa wakiporomosha matusi ya nguoni kwa yeyote anaemkosoa Magufuli🤣 bhagoosha!!
 
Sio kweli nilikua nakemea maandamano yaluyokua yanapoteza muda wa uzalishaji na kudumaza uchumi wa mkoa kwa kuufanya usiwe sehemu salama ya uzalishaji.

Hoja walozokuwa wanahamasishana zinajibika bila vurugu.

Hili la bandari ni nyeti mno kwani linagusa maslahi ya Taifa kwa vizazi na vizazi.
Ulikuwa kimya wakati Lissu anashambuliwa kwa risasi na ulikuwa unamkingia kifua dikteta.
 
Back
Top Bottom