CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

MKUTANO WA HADHARA

CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.

Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha

Wananchi wote mnakaribishwa!
Tuombe Mungu mkutano huo usifungiwe.
 
Tuombe Mungu mkutano huo usifungiwe.
Samia hayuko hivyo unajua pia kuna presha kali za Sukuma gang juu yake ili ajitoe kwenye maridhiano na sisi Chadema lakini amewapotezea.
 
MKUTANO WA HADHARA

CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.

Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na ufisadi katika jiji la Arusha

Wananchi wote mnakaribishwa!
Mkuu turekebishie tarehe
 
Porojo
 
Back
Top Bottom