CHADEMA baada ya kufeli kwa Vita yenu dhidi ya Tume ya Jaji Chande, Mmeamua sasa kuja na Maigizo yenu ya kutekana

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Tulishawaeleza Chadema na wana harakati uchwara ambao walishiriki kwa kiasi kikubwa kuhamasisha fujo na vurugu kabla na baada ya uchaguzi mkuu ya kwamba hawatoboi.

Pamoja na kwamba chadema walipata nguvu kubwa kutoka kwa baadhi ya makanisa na wanaharakati uchwara ndani na nje ya nchi mwisho wa siku wameangukia pua.

Walitaka nchi hii isitawalike eti kisa wao tuh wamegomea kushiriki uchaguzi na kuhamasisha vurugu siku ya upigaji kura kwa kudhani eti nia yao ovu itafanikiwa.

Wamefeli,wakaja na propaganda za kuichafua Tume ya Jaji chande ili ionekane haijafanya kazi kwa weledi na kuhamasisha umma usikubaliane na Tume hiyo.

Wamefeli na hilo pia,kwani ile ilikua ni tume ya Rais na inawajibika kwa Rais ambae wao hawamtambui kwahiyo waache ngenga zao.

Baada ya kuona wamechemka katika hila zao zote sasa wameamua kuja na maigizo yao ya kutekana.

Chadema hakuna mjinga ambae anaweza kuwaamini kwa hayo maigizo yenu.

Nchi iko salama na serikali iko imara.

Soma pia
 
Kwa hiyo, pingu zilifunguliwa na CDM? kwa hiyo kila anayetekwa ni CDM.
CCM mnafanya mizaa na mambo serious, mmeingiza nchi kwenye blacklist, mafwele hafanyi kazi kama yeye, anafanyia kazi serikali ya Samia. The game is not over, mtaingizwa kwenye ugaidi kwa ujinga wenu na uchawa.
 
Friends and Our Enemies,

Tulishawaeleza Chadema na wana harakati uchwara ambao walishiriki kwa kiasi kikubwa kuhamasisha fujo na vurugu kabla na baada ya uchaguzi mkuu ya kwamba hawatoboi.

Pamoja na kwamba chadema walipata nguvu kubwa kutoka kwa baadhi ya makanisa na wanaharakati uchwara ndani na nje ya nchi mwisho wa siku wameangukia pua.

Walitaka nchi hii isitawalike eti kisa wao tuh wamegomea kushiriki uchaguzi na kuhamasisha vurugu siku ya upigaji kura kwa kudhani eti nia yao ovu itafanikiwa.

Wamefeli,wakaja na propaganda za kuichafua Tume ya Jaji chande ili ionekane haijafanya kazi kwa weledi na kuhamasisha umma usikubaliane na Tume hiyo.

Wamefeli na hilo pia,kwani ile ilikua ni tume ya Rais na inawajibika kwa Rais ambae wao hawamtambui kwahiyo waache ngenga zao.

Baada ya kuona wamechemka katika hila zao zote sasa wameamua kuja na maigizo yao ya kutekana.

Chadema hakuna mjinga ambae anaweza kuwaamini kwa hayo maigizo yenu.

Nchi iko salama na serikali iko imara.
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Umeongea ukweli
Hata pole pole ajatekwa

Ni maigizo tu
 
Subiri wakandamiza haki wote jipangeni!
 
We jamaa japo ni muislam mwenzangu...ila kumbe hauna akili kabisa! Unatetea mauji!? Unadhani mama yako atatawala milele? Je akija mkristo akawa muuaji pia kwa jamii ya watu wote,hususani wawe waislam wenzio?
 
Una ushahid gani kuwa huyo fala ametekwa na polisi au serikali?
 
Back
Top Bottom