THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
- #41
THE BIG FOOL, uliwahi kuona wapi mtu anajiteka?
Mtu atajifungaje pingu na kuzikaza namna hii?
Jiulize hao policcm walioenda kumfungua pingu walitoa wapi funguo zake.
View attachment 3593309
Hiyo ni michezo ya kitoto sana
Kavalishwa kanga hapo anauliza suruali yako iko wapi?anasema imenasa kwenye miba...wakati anapambana kutoka kichakani
Kwann isinase hiyo flan yake inase suruali...hao mafala hizo movie zao zimeshafeli