CHADEMA baada ya kuona slogan yao si lolote, waigeukia CCM. Tuwapuuze

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.

Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.

Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda, hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo, watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.

In short chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu Makalla, asihusike katika kujibizana nao, watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.

CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli, wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo, wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana CCM.

--Alhamdulilah, wasalaam.
 
CCM ijifunze kwa CHADEMA, waliendesha uchaguzi wao wa Mwenyekiti kwa uhuru na uwazi. Mpaka mkaona aibu ikabidi muifungie kufanya siasa na kuinyima ruzuku.
 
Chawa mnatafuta wasifu wenu
 
Maana ya upinzani ni nini..? Kuwafichua maovu yenu ni kazi yao. Na wanacholilia kina uhusiano na madudu yenu yanayoanzia ndani kabisa ya chama. Chadema wanadeal na kiini cha tatzo ambacho ni fisiemu. Acheni kuruka ruka kama maharage au bisi. Weka reforms mpaka ndani ya chama chakavu uone
 
Ulitegemee utoe mchango gani wakati ww ni ccm
 
Tetesi zinaeleza:- jinsi kunguni zilivyotumwa,zikisaidiana na wanafiki ndani ya ccm,Ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu,anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga,
Jambo ambalo ni gumu sana,ukizingatia Bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100, ,
Bado vipo viporo ambavyo ukamolifu wake unahitaji muda,hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo,watu hawa na ambao wengine watajiyokeza,wasijibiwe,
Inshort chama kisiwe na muda nao,hata ndugu yangu makalla,asihusike katika kujibizana nao,watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga,
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli,wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo,wajengwe kisaikolojia mapema,kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana ccm.
--Alhamdulilah,wasalaam.
We kweli ng'ombe wa mama!!! Kilichofanya akashindwa kutimiza kwa 100% ahadi walizoahidi ni nini?

Kama alishindwa kutimiza katika kipindi alichoaminiwa na kukabidhiwa nchi, ni nini kitakachomfanya aweze kutimiza hizo ahadi sasa? Mnafikiri Tanzania ni shamba la bibi yenu?

Kwa taarifa yako, mnyukano huu ni wa wana CCM wenyewe! Tumechoshwa na uhuni!
 
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.

Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.

Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda,hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo,watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.

Inshort chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu makalla,asihusike katika kujibizana nao,watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.

CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli,wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo,wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana ccm.

--Alhamdulilah,wasalaam.
Tunakupuuza wewe.
 
Tunakupuuza wewe maiti unayetembea. Zombie
 
Mbona nyie mliingilia uchaguzi wa ndani wa chadema , tutawakabili mnavyo kuja
 
Umeniwahi tuu Kuandika hii mada.

Wako busy na stori za CCM na kusahau habari za tonetone,sijui no election na kumtelekeza kibaraka wao Mkuu jela 🤣🤣
Just simply,lema ameona akapumzike akale na kunywa,tetesi zinasema kila asubuhi hupiga simu ofisini kuulizia posho za tone tone zimeingia kiasi gani?
#hello_tanzania,CHEERS!
1753192935859.jpg
 
Lengo la kila chama cha siasa ni kushika dola... na umaskini wako ndo mtaji wao..
 
CCM ijifunze kwa CHADEMA, waliendesha uchaguzi wao wa Mwenyekiti kwa uhuru na uwazi. Mpaka mkaona aibu ikabidi muifungie kufanya siasa na kuinyima ruzuku.
Na aliyefanikisha huo uchaguzi ndio huyo anayepopolewa mawe na waliomrithi!

Amandla...
 
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.

Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.

Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda, hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo, watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.

In short chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu Makalla, asihusike katika kujibizana nao, watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.

CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli, wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo, wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana CCM.

--Alhamdulilah, wasalaam.
Chadema itabidi waungane na sisi CCM na Mgombea Urais wetu kwasababu wahenga wanasema," If you cannot fight them, join them"!
 
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.

Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.

Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda, hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo, watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.

In short chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu Makalla, asihusike katika kujibizana nao, watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.

CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli, wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo, wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana CCM.

--Alhamdulilah, wasalaam.
Screenshot_20250721-171617~2.png
 
Back
Top Bottom