Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
uko sahihi 100% comrade👊Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.
Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.
Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda, hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo, watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.
In short chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu Makalla, asihusike katika kujibizana nao, watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli, wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo, wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana CCM.
--Alhamdulilah, wasalaam.
vibaka na matapeli wa kisiasa nchini hususani wa hicho chama cha mropokaji mkaazi wa ubeligiji na kibaraka wa magharibi, ni vema wakapuuzwa, ili serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.samia suluhu hassan ipate fursa na nafasi nzur za ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa,kijamii na kiuchumi 🐒