Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kunguni na chawa hawa wote ni mantanyai kazi yao ni moja tu.Ahaaa matusi ya nn sasa mkuu ?.
Kwahiyo Chadema wanawanyonya sio ?.Kunguni na chawa hawa wote ni mantanyai kazi yao ni moja tu.
We kweli ng'ombe wa mama!!! Kilichofanya akashindwa kutimiza kwa 100% ahadi walizoahidi ni nini?Tetesi zinaeleza:- jinsi kunguni zilivyotumwa,zikisaidiana na wanafiki ndani ya ccm,Ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu,anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga,
Jambo ambalo ni gumu sana,ukizingatia Bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100, ,
Bado vipo viporo ambavyo ukamolifu wake unahitaji muda,hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo,watu hawa na ambao wengine watajiyokeza,wasijibiwe,
Inshort chama kisiwe na muda nao,hata ndugu yangu makalla,asihusike katika kujibizana nao,watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga,
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli,wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo,wajengwe kisaikolojia mapema,kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana ccm.
--Alhamdulilah,wasalaam.
Tunakupuuza wewe.Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.
Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.
Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda,hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo,watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.
Inshort chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu makalla,asihusike katika kujibizana nao,watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli,wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo,wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana ccm.
--Alhamdulilah,wasalaam.
Tunakupuuza wewe maiti unayetembea. ZombieTetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.
Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.
Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda,hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo,watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.
Inshort chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu makalla,asihusike katika kujibizana nao,watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli,wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo,wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana ccm.
--Alhamdulilah,wasalaam.
Mbona nyie mliingilia uchaguzi wa ndani wa chadema , tutawakabili mnavyo kujaTetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.
Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.
Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda,hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo,watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.
Inshort chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu makalla,asihusike katika kujibizana nao,watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli,wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo,wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana ccm.
--Alhamdulilah,wasalaam.
Just simply,lema ameona akapumzike akale na kunywa,tetesi zinasema kila asubuhi hupiga simu ofisini kuulizia posho za tone tone zimeingia kiasi gani?Umeniwahi tuu Kuandika hii mada.
Wako busy na stori za CCM na kusahau habari za tonetone,sijui no election na kumtelekeza kibaraka wao Mkuu jela 🤣🤣
Na aliyefanikisha huo uchaguzi ndio huyo anayepopolewa mawe na waliomrithi!CCM ijifunze kwa CHADEMA, waliendesha uchaguzi wao wa Mwenyekiti kwa uhuru na uwazi. Mpaka mkaona aibu ikabidi muifungie kufanya siasa na kuinyima ruzuku.
Chadema itabidi waungane na sisi CCM na Mgombea Urais wetu kwasababu wahenga wanasema," If you cannot fight them, join them"!Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.
Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa hazijakamilika kwa asilimia 100.
Bado vipo viporo ambavyo ukamilifu wake unahitaji muda, hasa kwa kipindi chake alichobakiza, watanzania wazalendo, watu hawa na ambao wengine watajiyokeza, wasijibiwe.
In short chama kisiwe na muda nao, hata ndugu yangu Makalla, asihusike katika kujibizana nao, watachoka na hatimaye watakuja jigundua ni wajinga.
CCM tusonge mbele kwa maandalizi ya uchaguzi kwa ngazi zote husika kwani kazi ni kubwa kweli, wale wanaoingia kwenye kinyanganyiro wanaposhindwa wajenge tabia ya uvumilivilu kwani kushindwa kupo, wajengwe kisaikolojia mapema, kwani matukio ya aibu yameanza kujitokeza watu kupigana na kurushiana mawe, ambao huu siyo utamaduni wetu wana CCM.
--Alhamdulilah, wasalaam.
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.