Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Inawezekana sijui sana ila CHADEMA yapaswa mbadilike kwenye ungwe hii ya siasa
CHADEMA is a story teller, na watu wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na CHADEMA mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana.
Kinachotakiwa ni ama kama kuna kitu hakiko sawa basi CHADEMA wakiongoze kwa kuishauri Serikali, wakati huo huo wakifanye, kuipata mioyo ya Watanzania, kingine waoneshe kweli wana nia ya kubadilisha uhalisia wa nchi wanaouona sio sawa.
Ila lia lia, kusema vitu visivyokuwepo, ndio kunawapelekea wapigwe, wanyang'anywe na kuumizwa, namuonea huruma Jongwe na yeyote aliyeumizwa ila wanafanya ujinga, lini umeona Trump anapigwa na Polisi, kuna mtu anaongea ujinga kama Trump juu ya Serikali?
Lini umeona Ruto anapigwa na Polisi pale Kenya, hata kama kaita yeye maandamano, CHADEMA ni weekedness wazungu wanasema, nchi ya Tanzania ni ya amani bila kurupushani watumie tu akili. Tunapenda kuwe na democracy. Leo huyu Rais kesho ACT, kesho CUF, lakini sio kwa upuuzi CHADEMA wanaoufanya, alot of time wanapoteza siwaelewi kusema ukweli
Wenzetu vyama pinzani vinashiriki maendeleo, CHADEMA ni kelele tu yaani huyu anatoka chumbani kwake analianzisha.
CCM ikumbukwe nayo ipo mtaani hawaoni CCM wanachofanya, achana na Serikali. CCM kama CCM.
Wajenge nyumba, wawasaidie maskini, wapambane, waone, mfano alichofanya Mwabukusi, it has sounded alot, ndio maana ammefahamika saaana wakati huu tena. He is man of his word.
CHADEMA inatakiwa iwe hivyo. CCM na madudu yote ila ina watu inawafikia sana, ndio maana mnaiona ni unsound, ila inashinda kila siku, na itashinda milele. Na mtapoteza wanachama kila siku, tutajiunga sisi wapuuzi tusiojua chochote bali mkumbo.
Inawezekana hawajashtuka kwaninj Magufuli alipambana apunguze viti vya Wabunge kutoka upinzani, it was the easy way to kill the effort ndio maana katamba sana.
Mnawatumia vijana ndio maana mnaona muamko, tena vijana wadogo sana. Wengi 20-28 wengi wao hata kununua unga wa mama yake hajawahi , hajui chochote kuhusu siasa, ni wafata mkumbo. Badilikeni.
Last , chama kama CHADEMA, mnapoteza nguvu kubwa, kwa watu individual that was to deal na section yenu ya wanasheria, sio mtu kama Lissu au Mbowe. Hiyo mnadeal nayo kinagaubaga kwenye section ya chama ya sheria.
Awadhi anatajwa sana na CHADEMA, yaani amAwadhi anawasumbua. Kujutangaza mumpe wanasheria 20 very discouraging mbowe.
CHADEMA wabadilike. Mimi sio CCM, NA MTU ASINIFATE KWAMBA NIMEANDIKA KAMA CCM. ILA CHADEMA SINA MENGI SIO MWANASIASA ILA MNAFELI.
Nikiorodhesha mambo kwa google tu ambayo CCM au Serikali inafanya, wallahi kama vijana mnaowatumia au wanachama wenu wanakalishwa chini wanaelezwa kama CCM inavyofanya na. Kufanyga kwenye kampeni zake. Wallahi CHADEMA mnatupotezea muda.
Ujenzi, misaada, kuwafikia watu, na mengi.