Pre GE2025 CHADEMA badilikeni au mdondoke kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Inawezekana sijui sana ila CHADEMA yapaswa mbadilike kwenye ungwe hii ya siasa

CHADEMA is a story teller, na watu wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na CHADEMA mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana.

Kinachotakiwa ni ama kama kuna kitu hakiko sawa basi CHADEMA wakiongoze kwa kuishauri Serikali, wakati huo huo wakifanye, kuipata mioyo ya Watanzania, kingine waoneshe kweli wana nia ya kubadilisha uhalisia wa nchi wanaouona sio sawa.

Ila lia lia, kusema vitu visivyokuwepo, ndio kunawapelekea wapigwe, wanyang'anywe na kuumizwa, namuonea huruma Jongwe na yeyote aliyeumizwa ila wanafanya ujinga, lini umeona Trump anapigwa na Polisi, kuna mtu anaongea ujinga kama Trump juu ya Serikali?

Lini umeona Ruto anapigwa na Polisi pale Kenya, hata kama kaita yeye maandamano, CHADEMA ni weekedness wazungu wanasema, nchi ya Tanzania ni ya amani bila kurupushani watumie tu akili. Tunapenda kuwe na democracy. Leo huyu Rais kesho ACT, kesho CUF, lakini sio kwa upuuzi CHADEMA wanaoufanya, alot of time wanapoteza siwaelewi kusema ukweli

Wenzetu vyama pinzani vinashiriki maendeleo, CHADEMA ni kelele tu yaani huyu anatoka chumbani kwake analianzisha.

CCM ikumbukwe nayo ipo mtaani hawaoni CCM wanachofanya, achana na Serikali. CCM kama CCM.

Wajenge nyumba, wawasaidie maskini, wapambane, waone, mfano alichofanya Mwabukusi, it has sounded alot, ndio maana ammefahamika saaana wakati huu tena. He is man of his word.

CHADEMA inatakiwa iwe hivyo. CCM na madudu yote ila ina watu inawafikia sana, ndio maana mnaiona ni unsound, ila inashinda kila siku, na itashinda milele. Na mtapoteza wanachama kila siku, tutajiunga sisi wapuuzi tusiojua chochote bali mkumbo.

Inawezekana hawajashtuka kwaninj Magufuli alipambana apunguze viti vya Wabunge kutoka upinzani, it was the easy way to kill the effort ndio maana katamba sana.

Mnawatumia vijana ndio maana mnaona muamko, tena vijana wadogo sana. Wengi 20-28 wengi wao hata kununua unga wa mama yake hajawahi , hajui chochote kuhusu siasa, ni wafata mkumbo. Badilikeni.

Last , chama kama CHADEMA, mnapoteza nguvu kubwa, kwa watu individual that was to deal na section yenu ya wanasheria, sio mtu kama Lissu au Mbowe. Hiyo mnadeal nayo kinagaubaga kwenye section ya chama ya sheria.

Awadhi anatajwa sana na CHADEMA, yaani amAwadhi anawasumbua. Kujutangaza mumpe wanasheria 20 very discouraging mbowe.

CHADEMA wabadilike. Mimi sio CCM, NA MTU ASINIFATE KWAMBA NIMEANDIKA KAMA CCM. ILA CHADEMA SINA MENGI SIO MWANASIASA ILA MNAFELI.

Nikiorodhesha mambo kwa google tu ambayo CCM au Serikali inafanya, wallahi kama vijana mnaowatumia au wanachama wenu wanakalishwa chini wanaelezwa kama CCM inavyofanya na. Kufanyga kwenye kampeni zake. Wallahi CHADEMA mnatupotezea muda.
Ujenzi, misaada, kuwafikia watu, na mengi.
 
unawaambia ukweli lakini wataishia kupata mihemko, kushupaza shingo na kuporomosha matusi tu :pedroP:
 
Bundle sawa na bure watukane ila wanadisapoint. We want a new challenge, na ni kwaajili ya Tanzania sio chadema wala Ccm wala awadh wala Samia
 
wanaelewa sasa,

kiburi na kujipa umuhimu wasiostahili kunawapumbaza sana na walitegemea watahurumiwa na wananchi, matokeo yake wamepuuzwa mbaya sana :pedroP:
 
In other words una washauri wawe diplomatic kuliko kuwa hardliners? And kiss gov as***?
 
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana...

Chadema wafanye kama Serikali kwani wanakusanta kod?

Okay Bei za mafuta zimeoanda CDM wanaweza vipi kuzishusha?
 
In other words una washauri wawe diplomatic kuliko kuwa hardliners? And kiss gov as***?
Hata kuwa hardliners hawajafikia, mfano nini wamefanya?

Umeona mbunge anvyowin watu wake, ndio chama kama chadema inabidi ifanye hvo country wise. Are you known? What are you know. For.

Yaani chadema ya kuwa na vijana chini ya 1000 katika siku ya vijana na haishtuki, they are unpopular.

Hardliners ulipo, tupo, unajenga hospital, kesho tunaingia pale, hujaleta XRay machine, sisi tunaleta au tunakupelekesha mpqka ulete.
 
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana...
Chama chakavu naliona linavyojifukulia kaburi lake kwa kasi,kwa kutumia mikono yake lenyewe.
 
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana.

Kinachotakiwa ni either, kama kuna kitu hakiko sawa basi chadema wakiongoze kwa kuishauri serikali, at the same time wakifanye, kuwin mioyo ya watanzani, kingine waonyeshe kweli wana nia ya kubadirisha uhalisia wa nchi wanaouona sio sawa. Ila lia lia, kuraise vitu visivyokuwepo, ndio kunawapelekea wapigwe, wanyang'anywe na kuumizwa, namuonea huruma jongwe na yyte aliyeumizwa ila wanafanya ujinga, lini umeona trump anapigwa na polisi, kuna mtu anaongea shit kama trump, juu ya serikali, lini umeona ruto anapigwa na polisi pale Kenya, hata kama kaita yeye maandamano, chadema ni weekedness wazungu wanasema, nchi ya Tanzania ni ya amani bila kurupushani, Watumie tu akili, tunapenda kuwe na democracy,leo huyu raisi kesho Act,kesho Cuf, lakini sio kwa upuuzi chadema wanaoufanya, alot of time wanapoteza siwaelewi kusema ukweli, wenzetu vyama pinzani vinshiriki maendeleo, chadema ni kelele tu, yaani huyu anatoka chumbani kwake analianzisha.

CCm ikumbukwe nayo ipo mtaani hawaoni ccm wanachofanya, achana naserikali. Ccm kama ccm.

Wajenge nyumba, wawasaidie maskini, wapambane, waone, mfano alichofanya mwabukusi, it has sounded alot, ndio maana ammefahamika saaana wakati huu tena. He is man of his word.

Chadema inatakiwa iwe hvo. CCm na madudu yte ila ina watu inawafikia sana, ndio maana mnaiona ni unsound, ila inashinda kila siku, na itashinda milele. Na mtapoteza wanachama kila siku, tutajiunga sisi wapuuzi tusiojua chochote bali mkumbo.

Inawezekana hawajashtuka kwann magufulu alipambana apunguze vitu vya wabunge kutoka upinzani, it was the easy way to kill the effort ndio maana katamba sana.
Mnawatumia vijana ndio maana mnaona muamko, tena vijana wadogo sana. Wengi 20-28 wengi wao hata kununua unga wa mama yake hajawahi , hajui chchte kuhusu siasa, ni wafata mkumbo. Badirikeni.
Last , chama kama chadema, mnapoteza nguvu kubwa, kwa watu individual that was to deal na section yenu ya wanasheria, sio mtu kama lisu au mbowe. Hiyo mnadeal nayo kinagaubaga kwenye section ya chama ya sheria. Awadh anatajwa sana na chadema, yaani awadh anawasumbua. Kujutangaza mumpe wanasheria 20 very discouraging mbowe.

Chadema wabadirike. Mimi sio CCM, NA MTU ASINIFATE KWAMBA NIMEANDIKA KAMA CCM. ILA CHADEMA SINA MENGI SIO MWANASIASA ILA MNAFERI.😡😡😡😡🤬🤬🤬🤬
Nikiorodhesha mambo kwa google tu ambayo CCm au serikali inafanya, wallahi kama vijana mnaowatumia auu wanachama wenu wanakalishwa chini wanaelezwa kama CCm inavyofanya na. Kufanyga kwenye kampeni zake. Wallahi chadema mnatupotezea muda.
Ujenzi, misaada, kuwafikia watu, na mengi.
BADIRIKENI ❌❌
BADILIKENI ✅✅
1) Elimu
2) Elimu
3) Elimu
 
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana...
Nimeona umeongea mengi sana, sijui ulitaka kufikisha ujumbe gani, kwani upizani ni CDM peke yake. Umeingolea CDM kwakuwa ndiyo chama ambacho kiko front. Ningezani ungewashauri wapiganie zaidi katiba mpya yenye tija kwa uhai wa Demokrasia, siyo kuwananga, CDM ipo vizuri nyanja zote tatizo lake ni moja tu, hawezi kutoboa kutokana na mfumo wa nchi uliopo. Mpaka hivi sasa hakuna hata mwananchi mmoja wakawaida anaye jua kuwa mwaka huu kunauchaguzi.
 
ila jamaa wanajua kusimulia mno simulizi za kubuni, kwa hilo nimependa sana :pedroP:
Simulizi hizi sii ngeni,zinafanana 100kwa 100 na zile za misimu ile mibovu zaidi za chafuzi chafu zaidi zilizowahi tokea hapa kwetu.Hivyo hakuna cha kubuni wala maigizo ila uhalisia.
 
Nimeona umeongea mengi sana, sijui ulitaka kufikisha ujumbe gani, kwani upizani ni CDM peke yake. Umeingolea CDM kwakuwa ndiyo chama ambacho kiko front. Ningezani ungewashauri wapiganie zaidi katiba mpya yenye tija kwa uhai wa Demokrasia, siyo kuwananga, CDM ipo vizuri nyanja zote tatizo lake ni moja tu, hawezi kutoboa kutokana na mfumo wa nchi uliopo. Mpaka hivi sasa hakuna hata mwananchi mmoja wakawaida anaye jua kuwa mwaka huu kunauchaguzi.
I am concerned with CHADEMA Hapa, sijataka kuongelea vyama nisivyovielewa zaidi, yaani mimi niwaongelee CAF au ACT au NCCR mageuzi am i mad. Mimi nawaongelea chadema hapa, na hayo ndio maoni yangu.
Cha mwisho, okay hivo kwsababuMfumo hauwezi hivo chadema hamna kitu, ndio maoni yako?
 
BADIRIKENI ❌❌
BADILIKENI ✅✅
1) Elimu
2) Elimu
3) Elimu
Ndugu humo sio kukosea hilo tu, ningeweka na matusi i am very disappointed. Sasa pitia yote andika makosa ya uandishi uliyoyaona.
Ili thread iendelee watanzania wenzako au chadema waelewe na WABADIRIKE.
 
Simulizi hizi sii ngeni,zinafanana 100kwa 100 na zile za misimu ile mibovu zaidi za chafuzi chafu zaidi zilizowahi tokea hapa kwetu.Hivyo hakuna cha kubuni wala maigizo ila uhalisia.
Wewe ni mwanachama wa chadema?
 
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana.

Kinachotakiwa ni either, kama kuna kitu hakiko sawa basi chadema wakiongoze kwa kuishauri serikali, at the same time wakifanye, kuwin mioyo ya watanzani, kingine waonyeshe kweli wana nia ya kubadirisha uhalisia wa nchi wanaouona sio sawa. Ila lia lia, kuraise vitu visivyokuwepo, ndio kunawapelekea wapigwe, wanyang'anywe na kuumizwa, namuonea huruma jongwe na yyte aliyeumizwa ila wanafanya ujinga, lini umeona trump anapigwa na polisi, kuna mtu anaongea shit kama trump, juu ya serikali, lini umeona ruto anapigwa na polisi pale Kenya, hata kama kaita yeye maandamano, chadema ni weekedness wazungu wanasema, nchi ya Tanzania ni ya amani bila kurupushani, Watumie tu akili, tunapenda kuwe na democracy,leo huyu raisi kesho Act,kesho Cuf, lakini sio kwa upuuzi chadema wanaoufanya, alot of time wanapoteza siwaelewi kusema ukweli, wenzetu vyama pinzani vinshiriki maendeleo, chadema ni kelele tu, yaani huyu anatoka chumbani kwake analianzisha.

CCm ikumbukwe nayo ipo mtaani hawaoni ccm wanachofanya, achana naserikali. Ccm kama ccm.

Wajenge nyumba, wawasaidie maskini, wapambane, waone, mfano alichofanya mwabukusi, it has sounded alot, ndio maana ammefahamika saaana wakati huu tena. He is man of his word.

Chadema inatakiwa iwe hvo. CCm na madudu yte ila ina watu inawafikia sana, ndio maana mnaiona ni unsound, ila inashinda kila siku, na itashinda milele. Na mtapoteza wanachama kila siku, tutajiunga sisi wapuuzi tusiojua chochote bali mkumbo.

Inawezekana hawajashtuka kwann magufulu alipambana apunguze vitu vya wabunge kutoka upinzani, it was the easy way to kill the effort ndio maana katamba sana.
Mnawatumia vijana ndio maana mnaona muamko, tena vijana wadogo sana. Wengi 20-28 wengi wao hata kununua unga wa mama yake hajawahi , hajui chchte kuhusu siasa, ni wafata mkumbo. Badirikeni.
Last , chama kama chadema, mnapoteza nguvu kubwa, kwa watu individual that was to deal na section yenu ya wanasheria, sio mtu kama lisu au mbowe. Hiyo mnadeal nayo kinagaubaga kwenye section ya chama ya sheria. Awadh anatajwa sana na chadema, yaani awadh anawasumbua. Kujutangaza mumpe wanasheria 20 very discouraging mbowe.

Chadema wabadirike. Mimi sio CCM, NA MTU ASINIFATE KWAMBA NIMEANDIKA KAMA CCM. ILA CHADEMA SINA MENGI SIO MWANASIASA ILA MNAFERI.😡😡😡😡🤬🤬🤬🤬
Nikiorodhesha mambo kwa google tu ambayo CCm au serikali inafanya, wallahi kama vijana mnaowatumia auu wanachama wenu wanakalishwa chini wanaelezwa kama CCm inavyofanya na. Kufanyga kwenye kampeni zake. Wallahi chadema mnatupotezea muda.
Ujenzi, misaada, kuwafikia watu, na mengi.

..ukitaka Chadema wafanye hayo unayoshauri inabidi kwanza uwapigie kura za ubunge, na udiwani, walau waongoze HALMASHAURI.

..Chadema wakiweza kuongoza Halmashauri watakuwa na fungu la mapato la kuwekeza ktk maeneo kama elimu, afya, masoko, nk.

..Katika mazingira hayo utaweza kuona tofauti kati ya utekelezaji wa SERA za Chadema kulinganisha na za Ccm.
 
Bado hujaelewa siasa mkuu, before that you have to do the given. Kwa nchi kama Tanzania lazma ujitoe ushinde.
 
Back
Top Bottom