Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kakosea kwenye kuchagua maneno yake.Hata mimi nilitaka tafsiri ya hiyo kauli yake.. Lakini juzi mwandishi wa dk 45 ITV alimhoji swali hilohilo.
Majibu yake yalikuwa atapaza sauti kwa wananchi ikiwemo maandamano na kupiga kampeni wasishiriki chaguzi. Waaiachie ccm yenyewe... Ametumia lugha ya kisheria kwa mbali kumuelewa inabidi uwe na uelewa mpana..
He is doing the right thing the wrong way?Nyani Ngabu tuwaache CHADEMA wafanye kwa sehemu yao. Wamesema kuna njia nyingi za kuzuia uchaguzi.
Tuwaache wafanye kwa sehemu yao. Hakuna ajuaye kesho. Ni Mungu tu.
Hata wa Israel walivofika bahari ya sham hawakuamini kuwa watavuka. Walianza kumhoji Mussa kuwa wanawezaje kuvuka? ila Mungu alifanya muujiza wa kuitenganisha Bahari na wakavuka.
Lissu alisema tufanye kwa sehemu yetu na kuna njia nyingi za kufanikisha hili. Tusipofanikiwa watakuja kufanikiwa watoto wetu. Ila ni kauli imara sana kutoka kwa mpiganaji.
Kikubwa tuwaombee kwa Mungu!
The issue is not if the way is wrong or right!He is doing the right thing the wrong way?
And that is stopping the election from taking place?The issue is not if the way is wrong or right!
The only option available and necessary for the time being is doing what they are doing now.
Of course Ngabu! If I may ask,what is your proposal?And that is stopping the election from taking place?
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe!Naona sasa mnajenga mnara wa Babeli. Mmeanza kukataana wenyewe kwa wenyewe. Ni mwendo wa Lugha gongana tu.
ebu lainisha ulitaka asemejeKakosea kwenye kuchagua maneno yake.
Sidhani kama katumia lugha ya kisheria.
Kakosea tu katika kuchagua maneno ya kutumia.
It’s okay. Hata Lisu huwa anakosea.
Far be it from me to say exactly what it should be, but saying they won’t allow for the election to take place ain’t it.Of course Ngabu! If I may ask,what is your proposal?
Ni Bora kutoshiriki kuliko kuuzuia maana Kwa niijuavyo CCM na vyombo vyake vya dola ni lazima vurugu itatokea hasa kama Lissu ataimiza watu waandamaneMy two cents from a distance.
Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM.
Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli.
Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika.
Hiyo kauli si sahihi kwani inaeleweka na kutafsirika kama vile kutakuwepo na harakati za kutumia nguvu kuufanya huo uchaguzi usifanyike.
Hivi CHADEMA haina wataalamu wa mawasiliano ambao kazi yao ni kuzi fine tune hizo kauli mbiu zao?
Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika mnawachanganya watu maana haieleweki mtauzuiaje huo uchaguzi usifanyike.
Ibadilisheni hiyo kauli mbiu.
Yes.Ni Bora kutoshiriki kuliko kuuzuia maana Kwa niijuavyo CCM na vyombo vyake vya dola ni lazima vurugu itatokea hasa kama Lissu ataimiza watu waandamane
Mnavyokimbiliaga uelewa mpana sasa,utasema mnao kumbe nyumbu tuHata mimi nilitaka tafsiri ya hiyo kauli yake.. Lakini juzi mwandishi wa dk 45 ITV alimhoji swali hilohilo.
Majibu yake yalikuwa atapaza sauti kwa wananchi ikiwemo maandamano na kupiga kampeni wasishiriki chaguzi. Waaiachie ccm yenyewe... Ametumia lugha ya kisheria kwa mbali kumuelewa inabidi uwe na uelewa mpana..