Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Uwe sehemu ya hizo vurugu kama Kenya walivyo na utayari kwa lolote, wabongo wengi tukishaandika maneno ya kijasiri yenye kufanana na hayo ya kwako siku ya maandamano tunajificha vyumbani mwetu huku tukifungulia mtandao wa instagram kuangalia zile video mpya za kinachoendelea mitaani.Kuna mambo yanashangaza sana
unaogopa maandamano et yataleta vurugu
at the same time hutaki mabadiliko yaan maanake umekubali kunyonywa na watawala walioamua kukutawala milele kwa kukukandamiza haki zako za msingi..
Kama kutumia vurugu kudai haki yangu kikatiba ni kosa basi kwangu ni njia sahihi.
Mikia inakuwa imesharudi tumboni kwa uoga tunaokuwa nao siku hiyo.