Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Umemkosea heshima Pascal.Nyani Ngabu tuwaache CHADEMA wafanye kwa sehemu yao. Wamesema kuna njia nyingi za kuzuia uchaguzi.
Tuwaache wafanye kwa sehemu yao. Hakuna ajuaye kesho. Ni Mungu tu.
Hata wa Israel walivofika bahari ya sham hawakuamini kuwa watavuka. Walianza kumhoji Mussa kuwa wanawezaje kuvuka? ila Mungu alifanya muujiza wa kuitenganisha Bahari na wakavuka.
Lissu alisema tufanye kwa sehemu yetu na kuna njia nyingi za kufanikisha hili. Tusipofanikiwa watakuja kufanikiwa watoto wetu. Ila ni kauli imara sana kutoka kwa mpiganaji.
Kikubwa tuwaombee kwa Mungu!
Hapo Juu umejibu kwa staha👆Nyani Ngabu kwa Ushauri huo huo ambao ameutoa Mzee wetu Pascal Mayalla Kwamba;
Mwenyekiti wetu CHADEMA, aitathmini kauli mbiu ya chama kuelekea uchaguzi 2025.
Tatizo lipo wapi hapo?
..nadhani unataka tutilie mashaka na hatimaye tumvue dhifa ya U GT mzee wetu Pascal
Hapa chini umeandika kinafiki Unafiki.👇 Why? Kwa sababu ni ya Mzee wetu Pascal Mayalla ?
Interested Observer.Mmeshalipwa hela huko saivi mmeanza kujitoa ufahamu?
Tunajua hizi ni sehemu za mbinu za CCM na wajinga wachache waliopo huko TISS kufanya spinning na kueneza propaganda mfu ili kuwakatisha tamaa Watanzania wanaotaka mabadiliko ya kweli.