CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"

Uwe sehemu ya hizo vurugu kama Kenya walivyo na utayari kwa lolote, wabongo wengi tukishaandika maneno ya kijasiri yenye kufanana na hayo ya kwako siku ya maandamano tunajificha vyumbani mwetu huku tukifungulia mtandao wa instagram kuangalia zile video mpya za kinachoendelea mitaani.

Mikia inakuwa imesharudi tumboni kwa uoga tunaokuwa nao siku hiyo.
 
Kuzuia si kuwaambia watu wasishiriki. Kwani unazani kuna lipi lingine,kwahiyo kutakuwa na wale wanaosema tutashiriki na wale wale wanaosema hatutashiriki. kwahiyo wale watakao kuwa wengi ndiyo washindi. Ila swala la uchaguzi ni swala la muafaka siyo swala la kuvutana maswalaa ya mivutano inazaa migogoro na migogoro izaa kudorola kwa uchumi na uchumi ukiwa mbovu inasababisha watu kuichukia serikali yao hapo ndipo kunakuja kuibuka pande kuu zinazizovutana na maadui wanapata mwanya wakupesheza sumu. Mimi nishauri kuwe na muafaka wakitaifa swala la uchaguzi lakini ccm ikitegemea kujaza masanduku ya kura kura feki ikiwa watu hawatajitookeza itegemee kuongoza ktk hali ngumu sanac, kwasababu kilavmtu hata yule aliye piga kura mambo yakiwa magumu naye atajiunga na wale ambao hawakuupiga nakusema mimi sikuwapigia.
 
Mtu mwenye akili unaweza kuzingatia kauli za hao nyumbu? You must be crazy. Nchi hii kuna vyama vingi na vimeshatangaza wagombea wao. Hao hawana specialty yoyote kutokushiriki ni uamuzi wao ila wasije kujaribu kusumbua wengine watajua kwanini kuku hakojoi. Wasiseme "no election" waseme "we'll not participate"
 
Ukio
Naona sasa mnajenga mnara wa Babeli. Mmeanza kukataana wenyewe kwa wenyewe. Ni mwendo wa Lugha gongana tu.
Ukiona watu wa chama kimoja cha siasa wanakubaliana Kwa kila kitu miaka nenda miaka rudi ujue kunashida sehemu fulani ndani ya chama hicho. Ukiona wanapingana kwa hoja ujue wapo katika mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…