CHADEMA bado mnajadili Rais Samia kupewa uchifu?

CHADEMA bado mnajadili Rais Samia kupewa uchifu?

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Mwaka 2021 Mhe. Rais Samia Suluhu alisimikwa kuwa Chifu mkuu na Umoja wa Watemi wa Kisukuma kwa kushirikiana na Umoja wa Machifu Tanzania, katika tamasha la Utamaduni wa Mtanzania na kumpa jina la Hangaya, lenye maana ya Nyota inayong’aa asubuhi.

Baada ya tukio hilo upinzani wakiongozwa na CHADEMA waliponda na kusema nchi inarudi kwenye utawala wa makabila na kudai kile kilichofanyika ni Ushirikina. Je kilichofanyika jana kwa mwenyekiti wao ni nini? Bado wanaendelea kumjadili Chifu Hangaya na Uchifu wake?

FqCN9p1WwAEdf9V
 
Haya mambo ya kimila watu wanatumia nguvu sana hata mimi nilisimikwa uchifu uchagani na hata si jambo kubwa kivile mpaka watu wamsumbue mama. Hata wewe unaweza kuwa chief. .

Mbali na kuwa chief hakuna anayeheshimu madaraka yangu. Viongozi wa kimila wanaheshimika zaid yang 😔 😟 🙁
 
Back
Top Bottom