#COVID19 CHADEMA: Chanjo tumechanjwa sasa Kazi iendelee

#COVID19 CHADEMA: Chanjo tumechanjwa sasa Kazi iendelee

Hatuwezi kuchukua Dola kwa kuogopa Virungu vya Polisi muda ndio huu. No Hate NO FEAR.

"No hate no fear."

Wanajua tunaelekea hapo kusiko hofu. Huko ambako kufungwa si issue tena. Kufa si taabu tena.

Ndiyo maana ni kama huwezi kuwaona hapa.

Wakitokea ni kama huyo kidampa hapo.
 
Brother kahangaikie mkate wa familia na ukoo wako,hakika utajuta ukiyapuuza haya nikuambiayo!!!

Hiki ni kitisho. Natural justice inakataza na pia regulations na guidelines za JF zinakataza.

Mbaya zaidi Mola anakataza.

Jitafakari tafadhali.
 
Chadema Hamna tofauti na mzee yusuph mwimbaji be wa taarabu,nyimbo za nini ??? nyie ingieni mitaani mkaidai hiyo katiba utadhani mitaani ndo Kuna watu wanaohusika kuandaa hiyo katiba mnayoitaka.

Ila niwaambieni tu kuwa badala ya kusisitiza serikali ipanue magereza, mngewahimiza wafuasi wenu wapate Bima ya afya kwanza pamoja na pesa za kuendeshea misiba,nawambie kuwa kitakacho wakuta hakika hakijawahi kutokea katika nchi hii.

Msiseme kuwa sikuwaonya.

Hakuna jipya wala geni katika uliyoandika:

"Tulipo kuozea jela na kufa yote sawa."

Zaidi sana kuna na kilinge huku:

Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

Una jingine la kuandika?
 
Lilikuwa jambo la msingi kusimama kwa muda kupisha zoezi la chanjo kuanza bila ya kutatizika.

Muda wa kuitumia karata ya wingi wetu vizuri ili kuyajaza magereza yao sawa sawa umewadia.

Ni muhimu sana tukawaweka wazi wakatuelewa pasi na shaka kuwa:

"hatuogopi kukamatwa na tuko tayari mno kukamatwa kuliko hata kubakia majumbani mwetu."

Huu pia ni muda muafaka wa kuziweka tofauti zetu ndogo ndogo pembeni na wote wenye uhitaji wa katiba mpya kama sisi.

Tuombane misamaha faraghani na hadharani. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko yeyote mwenye akili zake kichwani.

Tushirikiane sote, tuyashirikishe makundi na vyama vyote tunavyoweza kushirikiana navyo. Hayupo mmoja mwenye umuhimu zaidi kwenye mpambano mtakatifu huu kuliko mwingine.

Aboubakar Mbowe atafarijika mno kusikia tunaendelea kwa kasi ile ile.

Mkakati wa kuwahami wahanga ni wa muhimu sana. Umekuwa ukiombwa huu kwa muda sasa pasipo na mrejesho.

Ifahamike kuwa ni muhimu mapambano ya kudai katiba mpya yakaeleweka kuwa ni kwa kujitolea kwa hali na mali. Hii isifanywe kuwa fursa na mtu yeyote na kwa namna yoyote (hasa na mawakili).

Miito ya kujitolea iwe wazi kwa wote wakiwamo Sirro na serikali kwa ujumla wao. Wajue kuwa tunataka tume huru sasa na si vinginevyo.

Ni Lazima kuwapo uratibu wa karibu ili kuhakikisha wahanga wanatunzwa sawa sawa kama askari wetu mashujaa wa mstari wa mbele.

Wananchi wako tayari wanachohitaji ni organization na uongozi thabiti kuendelea na mapambano muda wote bila kujali nani watakuwa wamekamatwa. Wananchi hawawezi kuamka kama mvua bila uongozi uliodhamiria.

Uongozi una gharama ni muhimu wenye hofu wakaachia ngazi sasa. Hizi ni zama mpya.

Ifahamike mafanikio ya Zambia au uwepo wa nchi marafiki hakutatusaidia lolote kama tutaendelea kutegeana.

Habari hii iwafikie kwa ufasaha pale ufipa kabla uvumilivu wetu haujafika mwisho.

Ninawasilisha.
I salute and support the idea. Let's move.
 
I salute and support the idea. Let's move.

No sane mind can despise the idea. But the insane.

1. We need a strategy that recognizes no threats.
2. We need a strategy that recognizes contribution of all the willing.
3. We need a strategy that is not exploitable to any selfish gains monetary or political.
4. We need a strategy that will make our enemy tremble.

God bless.
 
Mzee wangu unapoteza muda wako, kama unataka kuelewa maana ya ile kauli "watanzania hawataki katiba mpya" anzisha movement yoyote barabarani, uajikuta upo peke yako, utapigwa virungu na kuwekwa ndani na itakayohangaika na kuumia ni wewe na familia yako.

Unahangaika na wanafiki tu, chama chenye mamilioni ya wafuasi, anakamatwa Mwenyekiti wao, tunaambiwa ni makosa ya kubambikiwa, lakini wanakosekana hata viongozi wa kuwaongoza watu elfu kumi wa kushinikiza aachiwe ama kesi isikilizwe kwa haki na haraka.
 
Ma pro government bana,majinga sana

Chanjo milioni moja wananchi wapo milioni 60,eti tumechanjwa wote?

Nigga stop this masterbation

Waliochanjwa ni 1.7% ya wananchi wote

Kuna salio la wananchi 98.3% hawajachanjwa

Mbigirisi nyie

Umesoma mada lakini jombi? Au yale yale ya kurukia treni kwa mbele?

The problem starts when a fellow black calls another a nigga 😂😂😂😂! Anyway put the part of ignorance aside.

Iko hivi chanjo ilianza kutolewa kwa walioitaka waliokuwa kwenye makundi yaliyoainishwa tangia 3 August.

Chadema wote wanajua umuhimu wa chanjo.

Kwa kujua umuhimu wa chanjo Chadema walipisha harakati zao za kudai katiba mpya ili wanaotaka kuchanjwa wachanjwe. Wiki ya 2 leo, ni busara kuamini wote walioitaka wameshanjwa.

Certainly we won't wait till Askofu Rashid is vaccinated. By this you filthy "white man" it's high time to stop dreaming on behalf of others.

As much as we are concerned, the issue of vaccination is done and we are getting back to our call.

You may wish to hate it, but that is more of a problem to you.
 
No such strategy...

You are all lying to yourselves like fools do!

Wewe usiyehitaji katiba mpya kwa sababu ni mnufaika wa iliyopo, mkakati huu unakuhusu wewe kwa lolote kweli?

Au yale yale ya kuwashwa na pili pili wanazokula wengine.

Tulia dada haya hayakuhusu. Kama ni kimo yamekuzidi. Kama ni maji basi haya ni marefu.
 
Mzee wangu unapoteza muda wako, kama unataka kuelewa maana ya ile kauli "watanzania hawataki katiba mpya" anzisha movement yoyote barabarani, uajikuta upo peke yako, utapigwa virungu na kuwekwa ndani na itakayohangaika na kuumia ni wewe na familia yako.

Unahangaika na wanafiki tu, chama chenye mamilioni ya wafuasi, anakamatwa Mwenyekiti wao, tunaambiwa ni makosa ya kubambikiwa, lakini wanakosekana hata viongozi wa kuwaongoza watu elfu kumi wa kushinikiza aachiwe ama kesi isikilizwe kwa haki na haraka.

Ulichoandika ndicho haswa wale waliotufikisha hapa wanapenda kukisikia.

Kama wewe si mmoja wa waliotufikisha hapa ni heri hata ukanyamaza usubirie kula matunda. Kwa sababu haya unayoyasema wewe tulishatoka huko.

Wewe baki salama na familia yako.

Honestly we won't miss any opportunist who wishes to prosper both ways.
 
Mipango miingi hamna lolote.Mbowe anamilikiwa na nyampala wawili kule selo,kopo za rays zilizokutwa selo yake takriban zinafika 75.anachezea mb[emoji535] tu.
 
Kusoma na kuelewa ninavyotaka mimi na sio wewe ni jukumu langu,unanipangia tena?

Wewe umeandika,wasomaji ni sisi,na tunasoma na kuelewa tunavyotaka sisi na sio wewe unavyotaka

Kama umeona jibu ambalo hulipendi,too bad for you!Jiandikie majibu unayopenda ujisomee ukenue mimeno binafsi yako

Nimeelewa au sijaelewa,nimedandia kwa mbele au kwa nyuma kwendana na mtazamo wako ywewe,thats your business not mine!

Kwahiyo wewe ni whiteman?

You are a black man,a nigga!

I called you exact who you are,a black man,a nigga...I dont call black people white men,I call them niggas,exactly!

How do you know this?

Walikuambia?

Au ni ubongo wako umejituma na kujiambia unachohisi kuhusu CDM?

Again,Im not a white man

Im a black man,you are talking to a wrong person!

Find yourself a whiteman and talk this nonsense to him!

Only 1.8% is vaccinated,bado 98.2%

Wewe kusema hakuna cha vaccination tena unawasemea 98.2% wamekutuma tangu lini?

Unatoa maamuzi ya watu milioni 59 wewe kama nani?

Au umejituma pekee yako?

FYI: As a black it is very stupid of you to call a fellow black, a nigga.

FYI: It is also stupid indeed to fetch or force your own interpretation over any person's core theme.

FYI: Anything that is not related to the theme of the thread at hand is irrelevant and utterly ridiculous.

FYI: You have indeed successfully shown how qualified are you, as an ignorant fool!
 
Got it wrong again

Mimi sio dada,mimi ni kaka

Address people properly walao wakuelewe what nonsense you have been spewing!

Wewe ni mwana CCM,umekuja na makala ya contraction hapa kujifanya eti wewe ni pro CDM wakati your makala kiini chake ni unafiki kuhusu CDM

Chadema wanataka Chanjo mpaka watu wote 60mil waishe,wewe unakuja na hoja eti hao milioni 1 wanatosha

Contradiction!

Halafu unadhani hatutakustukia?

Majina haya hayako wazi kuonyesha feminine or masculine. Thank you for identifying yourself from now on I will address you correctly as kaka.

Kumbe mada umeielewa hata ukajua inatoka Lumumba? Kwa hiyo mtoka ufipa ni wewe?

Tulishatoka huko zamani kuturudisha wewe? Take it from me Misri haturudi tena!

Hata Mbowe na Lissu tulishaambiwa ni TSIS achilia mbali CCM.

Hoja ni kuwa wanaotaka chanjo wameshapata muda wa kutosha kupata chanjo.

Hiyo ndiyo habari yenyewe. Chagua kusuka au kunyoa.

Wajameni nimesajaliwa ghafla kwa akina Wakudadavuwa na kina johnthebaptist.

😂😂😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha.

Usajili huo nimeukataa.
 
nashindwa kukuelewa

wanaotaka chanjo ni milioni 60,chanjo zimekuja 1mil

watu milioni 59 bado,wewe unafunga mlango kama nani?

sisi tunamsikiliza rais maana walao wananchi milioni 59 ndio wamempa mamlaka ya kuwasemea sio wewe....

1mil ni ya watu wachache sana..bado hao wengine

Sina muda wa kubishana na wewe kwenye mambo ya kipumbavu.

Wanaotaka chanjo ni 60m kama Askofu Rashid naye anataka chanjo!
 
Stupid ni wewe mtu mweusi unapokasirika pale unapoitwa mtu mweusi kwa jina lingine linaloitwa "nigga" lenye maana hiyo hiyo ya "mtu mweusi"

My interpretation is mine not yours..

Wewe ndio unaforce watu waelewe unavyotaka wewe wakati sio kazi yako ni yao

Stupid indeed kujipa kazi zisizokuhusu

Yaani mtoa uzi na wewe hapo hapo ni judge wa kupitisha hukumu

Yaani unapitisha hukumu kwenye reactions za hadhira kwenye uzi wako

Yaani wewe ulitaka reactions ziwe unavyotaka wewe

Huna haja ya kua na watu kutoa reactions zao,ungeandika uzi halafu ujichatishe mwenyewe kama member usome majibu unayataka wewe binafsi

Utterly ridiculous mofo!

Mtu asiyejua tofauti ya mtu mweusi na Nigga ni kupoteza muda kumkumbusha tofauti ya busara na upumbavu.

Tuna kazi za muhimu jombi.

Mengine haya hayana madhara.

Katiba mpya kwanza!
 
Nigga ni term of endearment among blacks

You didnt know,now you know

Hapa vita ya mwenyewe na ignorant usiejua chochote!

Jombi ni mavi gani?

Hebu tumia Kiswahili fasaha,hii lugha ya chooni huko ndio inafanya watu wanakuona kichaa tu na usie serious.

Umepelekwa shule kusoma Kiswahili,hiki ndio ulichotoka nacho shule?Like,really?

Kukataa chanjo umeunganisha na katiba

Nigga you are so confused.

Shhhh! Acha CCM mimi nipiganie katiba mpya kwanza!

Wewe baki na m@vi yako asema mzee baba.
 
Nigga ni term of endearment among blacks

You didnt know,now you know

Hapa vita ya mwenyewe na ignorant usiejua chochote!

Jombi ni mavi gani?

Hebu tumia Kiswahili fasaha,hii lugha ya chooni huko ndio inafanya watu wanakuona kichaa tu na usie serious.

Umepelekwa shule kusoma Kiswahili,hiki ndio ulichotoka nacho shule?Like,really?

Kukataa chanjo umeunganisha na katiba

Nigga you are so confused.

Shhhh! Tunashughulika na katiba mpya hapa!

Wafuasi wa Gwajiboy na pia wakataa chanjo, kilinge chetu kipo huku:

Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa
 
Kwahiyo watu 207+ elfu waliochanjwa ni wanachama wa Chadema eehhhh?
Mjihamasishe mchanje wote ili mkikinukisha wakose Cha kuwasingizia mko salama yaani nyie.
 
Kwahiyo watu 207+ elfu waliochanjwa ni wanachama wa Chadema eehhhh?
Mjihamasishe mchanje wote ili mkikinukisha wakose Cha kuwasingizia mko salama yaani nyie.

Labda kama ni kichekesho:

1. Tumetoka kwenye kuaminishwa na waliokuwa mstari wa mbele kuwa Corona haipo bali vita vya kiuchumi.

2. Hao hao walitaka kutuaminisha kwenye maombi, nyungu, mikaratusi, malimao, nk kuwa ni tiba ya Corona.

3. Ni hao hao wenye kutaka kutuaminisha Mbowe ni Gaidi.

4. Hao hao wenye kutuaminisha askofu RC Mwanza akiita polisi kukamata waumini kanisani.

5. Hao hao wenye hadithi ya kutekwa Mo, Nondo na wengine.

6. Nk nk.

Wanaaminika kwa lipi hawa? Kwa idadi wanayotoa sasa kuwa ndiyo ya waliochanjwa?

Kwa hakika kwa 2 weeks hizi kila aliyetaka kuchanjwa atakuwa kapata stahiki yake.

Kwa hali hii kunuka kitu sasa halali kabisa.
 
Back
Top Bottom