- Thread starter
- #41
Wewe ni fake CDM
CDM wanaamini kila mwananchi apewe chanjo.wewe unakataa
CDM wanaamini kwenye katiba mpya,wewe unadai unataka katiba mpya,of which i dont trust u with this.
Mimi fake wewe real taabu iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni fake CDM
CDM wanaamini kila mwananchi apewe chanjo.wewe unakataa
CDM wanaamini kwenye katiba mpya,wewe unadai unataka katiba mpya,of which i dont trust u with this.
Shida ni feki kurudi kwa mlango wa nyuma na ku-claim eti ni real,hiyo ndio shida!
Mengine sina nayo shida kabisa,ni uhuru wa kujieleza
Wahamasishe chadema wenzio wachanjwe kwanza acha porojo bwasheeLabda kama ni kichekesho:
1. Tumetoka kwenye kuaminishwa na waliokuwa mstari wa mbele kuwa Corona haipo bali vita vya kiuchumi.
2. Hao hao walitaka kutuaminisha kwenye maombi, nyungu, mikaratusi, malimao, nk kuwa ni tiba ya Corona.
3. Ni hao hao wenye kutaka kutuaminisha Mbowe ni Gaidi.
4. Hao hao wenye kutuaminisha askofu RC Mwanza akiita polisi kukamata waumini kanisani.
5. Hao hao wenye hadithi ya kutekwa Mo, Nondo na wengine.
6. Nk nk.
Wanaaminika kwa lipi hawa? Kwa idadi wanayotoa sasa kuwa ndiyo ya waliochanjwa?
Kwa hakika kwa 2 weeks hizi kila aliyetaka kuchanjwa atakuwa kapata stahiki yake.
Kwa hali hii kunuka kitu sasa halali kabisa.
Msaada kwenye tuta
Nilijiregister kwa ajili ya Chanjo.
Bahati mbaya nikaambiwa Sina vigezo nikawa nasubiri awamu nyingine.Sasa wameruhusu kila mtu kuchanja.Tatizo lililopo nikitaka kuingia kwenye akaunti Yangu nikiingiza namba ya NIDA step inayofuata naambiwa niingize Reference number.
Tatizo lipo kwenye reference namba nikijaribu kuingiza naambiwa Ni wrong number nimeikosea.Je Kuna namba ya kuwasiliana na watu wa chanjo ili nifanye booking upya na nipewe reference namba mpya?
Wahamasishe chadema wenzio wachanjwe kwanza acha porojo bwashee