#COVID19 CHADEMA: Chanjo tumechanjwa sasa Kazi iendelee

Hatuwezi kuchukua Dola kwa kuogopa Virungu vya Polisi muda ndio huu. No Hate NO FEAR.

"No hate no fear."

Wanajua tunaelekea hapo kusiko hofu. Huko ambako kufungwa si issue tena. Kufa si taabu tena.

Ndiyo maana ni kama huwezi kuwaona hapa.

Wakitokea ni kama huyo kidampa hapo.
 
Brother kahangaikie mkate wa familia na ukoo wako,hakika utajuta ukiyapuuza haya nikuambiayo!!!

Hiki ni kitisho. Natural justice inakataza na pia regulations na guidelines za JF zinakataza.

Mbaya zaidi Mola anakataza.

Jitafakari tafadhali.
 

Hakuna jipya wala geni katika uliyoandika:

"Tulipo kuozea jela na kufa yote sawa."

Zaidi sana kuna na kilinge huku:

Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

Una jingine la kuandika?
 
I salute and support the idea. Let's move.
 
I salute and support the idea. Let's move.

No sane mind can despise the idea. But the insane.

1. We need a strategy that recognizes no threats.
2. We need a strategy that recognizes contribution of all the willing.
3. We need a strategy that is not exploitable to any selfish gains monetary or political.
4. We need a strategy that will make our enemy tremble.

God bless.
 
Mzee wangu unapoteza muda wako, kama unataka kuelewa maana ya ile kauli "watanzania hawataki katiba mpya" anzisha movement yoyote barabarani, uajikuta upo peke yako, utapigwa virungu na kuwekwa ndani na itakayohangaika na kuumia ni wewe na familia yako.

Unahangaika na wanafiki tu, chama chenye mamilioni ya wafuasi, anakamatwa Mwenyekiti wao, tunaambiwa ni makosa ya kubambikiwa, lakini wanakosekana hata viongozi wa kuwaongoza watu elfu kumi wa kushinikiza aachiwe ama kesi isikilizwe kwa haki na haraka.
 
Ma pro government bana,majinga sana

Chanjo milioni moja wananchi wapo milioni 60,eti tumechanjwa wote?

Nigga stop this masterbation

Waliochanjwa ni 1.7% ya wananchi wote

Kuna salio la wananchi 98.3% hawajachanjwa

Mbigirisi nyie

Umesoma mada lakini jombi? Au yale yale ya kurukia treni kwa mbele?

The problem starts when a fellow black calls another a nigga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Anyway put the part of ignorance aside.

Iko hivi chanjo ilianza kutolewa kwa walioitaka waliokuwa kwenye makundi yaliyoainishwa tangia 3 August.

Chadema wote wanajua umuhimu wa chanjo.

Kwa kujua umuhimu wa chanjo Chadema walipisha harakati zao za kudai katiba mpya ili wanaotaka kuchanjwa wachanjwe. Wiki ya 2 leo, ni busara kuamini wote walioitaka wameshanjwa.

Certainly we won't wait till Askofu Rashid is vaccinated. By this you filthy "white man" it's high time to stop dreaming on behalf of others.

As much as we are concerned, the issue of vaccination is done and we are getting back to our call.

You may wish to hate it, but that is more of a problem to you.
 
No such strategy...

You are all lying to yourselves like fools do!

Wewe usiyehitaji katiba mpya kwa sababu ni mnufaika wa iliyopo, mkakati huu unakuhusu wewe kwa lolote kweli?

Au yale yale ya kuwashwa na pili pili wanazokula wengine.

Tulia dada haya hayakuhusu. Kama ni kimo yamekuzidi. Kama ni maji basi haya ni marefu.
 

Ulichoandika ndicho haswa wale waliotufikisha hapa wanapenda kukisikia.

Kama wewe si mmoja wa waliotufikisha hapa ni heri hata ukanyamaza usubirie kula matunda. Kwa sababu haya unayoyasema wewe tulishatoka huko.

Wewe baki salama na familia yako.

Honestly we won't miss any opportunist who wishes to prosper both ways.
 
Mipango miingi hamna lolote.Mbowe anamilikiwa na nyampala wawili kule selo,kopo za rays zilizokutwa selo yake takriban zinafika 75.anachezea mb[emoji535] tu.
 

FYI: As a black it is very stupid of you to call a fellow black, a nigga.

FYI: It is also stupid indeed to fetch or force your own interpretation over any person's core theme.

FYI: Anything that is not related to the theme of the thread at hand is irrelevant and utterly ridiculous.

FYI: You have indeed successfully shown how qualified are you, as an ignorant fool!
 

Majina haya hayako wazi kuonyesha feminine or masculine. Thank you for identifying yourself from now on I will address you correctly as kaka.

Kumbe mada umeielewa hata ukajua inatoka Lumumba? Kwa hiyo mtoka ufipa ni wewe?

Tulishatoka huko zamani kuturudisha wewe? Take it from me Misri haturudi tena!

Hata Mbowe na Lissu tulishaambiwa ni TSIS achilia mbali CCM.

Hoja ni kuwa wanaotaka chanjo wameshapata muda wa kutosha kupata chanjo.

Hiyo ndiyo habari yenyewe. Chagua kusuka au kunyoa.

Wajameni nimesajaliwa ghafla kwa akina Wakudadavuwa na kina johnthebaptist.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Hiiiiii bagosha.

Usajili huo nimeukataa.
 

Sina muda wa kubishana na wewe kwenye mambo ya kipumbavu.

Wanaotaka chanjo ni 60m kama Askofu Rashid naye anataka chanjo!
 

Mtu asiyejua tofauti ya mtu mweusi na Nigga ni kupoteza muda kumkumbusha tofauti ya busara na upumbavu.

Tuna kazi za muhimu jombi.

Mengine haya hayana madhara.

Katiba mpya kwanza!
 

Shhhh! Acha CCM mimi nipiganie katiba mpya kwanza!

Wewe baki na m@vi yako asema mzee baba.
 

Shhhh! Tunashughulika na katiba mpya hapa!

Wafuasi wa Gwajiboy na pia wakataa chanjo, kilinge chetu kipo huku:

Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa
 
Kwahiyo watu 207+ elfu waliochanjwa ni wanachama wa Chadema eehhhh?
Mjihamasishe mchanje wote ili mkikinukisha wakose Cha kuwasingizia mko salama yaani nyie.
 
Kwahiyo watu 207+ elfu waliochanjwa ni wanachama wa Chadema eehhhh?
Mjihamasishe mchanje wote ili mkikinukisha wakose Cha kuwasingizia mko salama yaani nyie.

Labda kama ni kichekesho:

1. Tumetoka kwenye kuaminishwa na waliokuwa mstari wa mbele kuwa Corona haipo bali vita vya kiuchumi.

2. Hao hao walitaka kutuaminisha kwenye maombi, nyungu, mikaratusi, malimao, nk kuwa ni tiba ya Corona.

3. Ni hao hao wenye kutaka kutuaminisha Mbowe ni Gaidi.

4. Hao hao wenye kutuaminisha askofu RC Mwanza akiita polisi kukamata waumini kanisani.

5. Hao hao wenye hadithi ya kutekwa Mo, Nondo na wengine.

6. Nk nk.

Wanaaminika kwa lipi hawa? Kwa idadi wanayotoa sasa kuwa ndiyo ya waliochanjwa?

Kwa hakika kwa 2 weeks hizi kila aliyetaka kuchanjwa atakuwa kapata stahiki yake.

Kwa hali hii kunuka kitu sasa halali kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…